Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,176
- 93,483
Shenzi kabisa
Kwani Polepole ni polisi? Aende akaripoti police sio kubwabwajaKatika hali ya kushangaz dada wa Pius mpweza aliekuwa msaidizi wa polepole ameibuka nakudai kaka yake haonekani. Wamemtafuta bila mafanikio yoyote, akitoa taarifa kutoka kwao kigamboni suzan kadai Pius aliaga anakwenda kazini lakini hakufika nyumbani wakati wa kurudi. Badae ,wafanya kazi wenzake nao walianza kumtafuta baada ya kutoonekana kazini lakini hakupatikana hata kwa njia za mawasiliano na juhudi kubwa imefanywa bila mafanikio.
Ikumbukwe siku za nyuma Pius aliekuwa msaidizi wa Humphrey polepole aliibuka na kudai polepole alikuwa akifanya zinaa na wanawake tofautitofauti na anapaswa kuwaomba msamaha wanawake hao kwani kawachezea sana, ilo lilikua ni Moja ya mambo alio kuwa anayasema kuhusu polepole na mambo mabaya yake ya siri.
Anadai BAADA ya hayo alianza kupokea vitusho kutoka kwa polepole kwa kupigiwa simu na kutumiwa jumbe kwamba ata potezwa asipo acha kumfatilia, lakini Pius hakuacha, pia alirekodi vitisho vyote nakuwaonesha wafanyakazi wenzake na ndugu na vimehifadhiwa hivo polepole asipo toa maelezo juu ya ndugu yao alipo wataweka wazi na wametoa masaa 24 tu polepole ajitokeze kufafanua kuhusu ndugu yao lasivyo hatua za kisheria zitafat.
Je huu ni michezo wa kumtia ndege tunduni ili iwe nafuu kumtafuta kwa udi na uvumba na kumshika bwana Humphrey polepole kama muuwaji au mtekaji?
Tusubiri muda waliotoa ndugu uishe tuone watafanya nini? Vyanzo le mutuz tv, bingo media
Nipen Deal of million dollars, kwishaaaaa
Wanawake ambao jamaa ndo alikua chawa muunganishaji, mfano we ni demu, mi nitumwe kuunga we uchapwe na jamaa, mkosane we unipe mi lawama kuwa nilikuunga kwa mtu sio poa, mi nichoshwe na lawama nisukume mzigo kwa mlengwa AmBAR ni boss wangu wa zamani ye Tena anigeuzie kibaoMtoa lawama ni nani?
Sio kutekwa nahisi jamaa anaweza jificha piaHiyo movie watakua wameitengea budget ndoto maana inaonekana kama wametungiwa watoto...
Badala watoke hao Wanawake kulalamika anatoka mwanaume kulalamika si wangewalipa tu hata wanawake wawili watatu wakawamezesha script?
Lakini pia kama ni mtu katekwa Kwa Nini familia ndio itoe masaa 24 Ina maana nchi Haina jeshi la polisi?... ..watuombe radhi watazamaji haraka
Achana na Hilo pia jamaa anaweza jificha pia, maana na mashaka na akili za jamaaHiyo trick siyo tishio kwa polepole ni tishio kwa huyo jamaa anaye tumika ...huyo jamaa kaamua kushirikiana na chui dhidi ya simba huku wote hao ,simba na chui ...yeye ni chakula kwao....watanzania tumieni akili zenu vizuri kutambua michezo kuna michezo unachezeshwa ili ugeuzwe kafara ...huu mchezo unafanana na ule wa ben saa8
Huyu Pius ni mpumbavu na wewe ni mpumbavu na wale wote wanye mamlaka wabinafsi wapumbavu.Katika hali ya kushangaz dada wa Pius mpweza aliekuwa msaidizi wa polepole ameibuka nakudai kaka yake haonekani. Wamemtafuta bila mafanikio yoyote, akitoa taarifa kutoka kwao kigamboni suzan kadai Pius aliaga anakwenda kazini lakini hakufika nyumbani wakati wa kurudi. Badae ,wafanya kazi wenzake nao walianza kumtafuta baada ya kutoonekana kazini lakini hakupatikana hata kwa njia za mawasiliano na juhudi kubwa imefanywa bila mafanikio.
Ikumbukwe siku za nyuma Pius aliekuwa msaidizi wa Humphrey polepole aliibuka na kudai polepole alikuwa akifanya zinaa na wanawake tofautitofauti na anapaswa kuwaomba msamaha wanawake hao kwani kawachezea sana, ilo lilikua ni Moja ya mambo alio kuwa anayasema kuhusu polepole na mambo mabaya yake ya siri.
Anadai BAADA ya hayo alianza kupokea vitusho kutoka kwa polepole kwa kupigiwa simu na kutumiwa jumbe kwamba ata potezwa asipo acha kumfatilia, lakini Pius hakuacha, pia alirekodi vitisho vyote nakuwaonesha wafanyakazi wenzake na ndugu na vimehifadhiwa hivo polepole asipo toa maelezo juu ya ndugu yao alipo wataweka wazi na wametoa masaa 24 tu polepole ajitokeze kufafanua kuhusu ndugu yao lasivyo hatua za kisheria zitafat.
Je huu ni michezo wa kumtia ndege tunduni ili iwe nafuu kumtafuta kwa udi na uvumba na kumshika bwana Humphrey polepole kama muuwaji au mtekaji?
Tusubiri muda waliotoa ndugu uishe tuone watafanya nini? Vyanzo le mutuz tv, bingo media
Nipen Deal of million dollars, kwishaaaaa
Akijificha bado anachekelea mchezo mimi naongelea hasara inayo weza kumpata kwa kugeuzwa kafara ...kwa sababu mbiliAchana na Hilo pia jamaa anaweza jificha pia, maana na mashaka na akili za jamaa
Nipen deal of million dollars, kwishaa
Kaka mi sijui hii taarifa imesambaa tu, Inasemekana Pius ni kijana wa polepole Yani alikua msaidizi wake, Pius alikua anatoa Siri za polepole, jamaa KACHUKIA sasa kamtumia vitisho kuwa atampoteza, haija pita siku Pius kapotea kweli ndugu wakadai Wana ushahidi mtuhumiwa wa kwanza ni polepoleHuu uongo waambien wajinga werevu hii haiingii akilini polepole hayupo nchini kamutekaje pia hao watekaji wa siku nyingi je wamekufa?
Nawe unaesoma hapa ni mprumbavru, kubwa jingra kwanini usome upumbavuHuyu Pius ni mpumbavu na wewe ni mpumbavu na wale wote wanye mamlaka wabinafsi wapumbavu.
Msituchoshe pumbavu nyinyi, msitufanye hatuna akili matrako nyinyi. Shenzi kabisa
Katika hali ya kushangaz dada wa Pius mpweza aliekuwa msaidizi wa polepole ameibuka nakudai kaka yake haonekani. Wamemtafuta bila mafanikio yoyote, akitoa taarifa kutoka kwao kigamboni suzan kadai Pius aliaga anakwenda kazini lakini hakufika nyumbani wakati wa kurudi. Badae ,wafanya kazi wenzake nao walianza kumtafuta baada ya kutoonekana kazini lakini hakupatikana hata kwa njia za mawasiliano na juhudi kubwa imefanywa bila mafanikio.
Ikumbukwe siku za nyuma Pius aliekuwa msaidizi wa Humphrey polepole aliibuka na kudai polepole alikuwa akifanya zinaa na wanawake tofautitofauti na anapaswa kuwaomba msamaha wanawake hao kwani kawachezea sana, ilo lilikua ni Moja ya mambo alio kuwa anayasema kuhusu polepole na mambo mabaya yake ya siri.
Anadai BAADA ya hayo alianza kupokea vitusho kutoka kwa polepole kwa kupigiwa simu na kutumiwa jumbe kwamba ata potezwa asipo acha kumfatilia, lakini Pius hakuacha, pia alirekodi vitisho vyote nakuwaonesha wafanyakazi wenzak
e na ndugu na vimehifadhiwa hivo polepole asipo toa maelezo juu ya ndugu yao alipo wataweka wazi na wametoa masaa 24 tu polepole ajitokeze kufafanua kuhusu ndugu yao lasivyo hatua za kisheria zitafat.