Polepole kufungwa au kunyongwa ikiwa tu...

Katika hali ya kushangaz dada wa Pius mpweza aliekuwa msaidizi wa polepole ameibuka nakudai kaka yake haonekani. Wamemtafuta bila mafanikio yoyote, akitoa taarifa kutoka kwao kigamboni suzan kadai Pius aliaga anakwenda kazini lakini hakufika nyumbani wakati wa kurudi. Badae ,wafanya kazi wenzake nao walianza kumtafuta baada ya kutoonekana kazini lakini hakupatikana hata kwa njia za mawasiliano na juhudi kubwa imefanywa bila mafanikio.

Ikumbukwe siku za nyuma Pius aliekuwa msaidizi wa Humphrey polepole aliibuka na kudai polepole alikuwa akifanya zinaa na wanawake tofautitofauti na anapaswa kuwaomba msamaha wanawake hao kwani kawachezea sana, ilo lilikua ni Moja ya mambo alio kuwa anayasema kuhusu polepole na mambo mabaya yake ya siri.

Anadai BAADA ya hayo alianza kupokea vitusho kutoka kwa polepole kwa kupigiwa simu na kutumiwa jumbe kwamba ata potezwa asipo acha kumfatilia, lakini Pius hakuacha, pia alirekodi vitisho vyote nakuwaonesha wafanyakazi wenzake na ndugu na vimehifadhiwa hivo polepole asipo toa maelezo juu ya ndugu yao alipo wataweka wazi na wametoa masaa 24 tu polepole ajitokeze kufafanua kuhusu ndugu yao lasivyo hatua za kisheria zitafat.

Je huu ni michezo wa kumtia ndege tunduni ili iwe nafuu kumtafuta kwa udi na uvumba na kumshika bwana Humphrey polepole kama muuwaji au mtekaji?

Tusubiri muda waliotoa ndugu uishe tuone watafanya nini? Vyanzo le mutuz tv, bingo media

Nipen Deal of million dollars, kwishaaaaa
Kama ni kweli basi huyo jamaa hakujua kuwa wauaji wa serikali wanatafuta matukio kama hayo ...hapo kama jamaa kapotea ni mkono wa samia ili wajaribu kumtatanisha polepole ilitakiwa jamaa atambue kuwa wanao mtumia kumchafua Polepole wanaweza kumtumia kumuua yeye ili kumchafua Polepole kwa kuwa itatengeneza taswira kuwa Polepole ndiyo kausika moja kwa moja
 
Haya mambo ya kutokuongelea issues na kujikita kwenye hizi tamthiliya ndio shida yake sasa badala ya kuongelea kinachoongelea issue tunaongelea ni nani alisema nini na uchafu au usafi wake badala ya uzito wa kinachosemwa...

Na hili hata Polepole alilitaka kwa kufanya it is about him na sio about what he is saying at any given time au kwanini usemaje wake unakuja kutokana na hali ya hewa....

Anyway tusiache kuliongelea kila jambo at it's own merit (tupinge utekaji wakati huo huo tukiangalia shutuma zinazoletwa kama zina mashiko no matter hata kama aliyeleta ni mzinzi)
 
Haya ndo madhara ya kutumika na oppressors. Wanaweza kukutumia hata maiti yako.
Watu walikuwa wanahoji mbona serikali haimujibu polepole, jibu ndo Hilo Moja tu hali ya hewa imechafuka

Nipen deal of million dollar, kwishaaa
 
Kama ni kweli basi huyo jamaa hakujua kuwa wauaji wa serikali wanatafuta matukio kama hayo ...hapo kama jamaa kapotea ni mkono wa samia ili wajaribu kumtatanisha polepole ilitakiwa jamaa atambue kuwa wanao mtumia kumchafua Polepole wanaweza kumtumia kumuua yeye ili kumchafua Polepole kwa kuwa itatengeneza taswira kuwa Polepole ndiyo kausika moja kwa moja
Nahisi walishindwa kumkamata polepole kwa sababu ya kigezo hivo bomu lilikua linasukwa kitendo cha mwendokasi kureact tu, case closed, ilikua kosa kubwa sana

Nipen deal of million dollars, kwishaaa
 
Kuna mmoja alidharau katiba Kwa kusema NI KAJITABU TU INABIDI afungwe
 
Katika hali ya kushangaz dada wa Pius mpweza aliekuwa msaidizi wa polepole ameibuka nakudai kaka yake haonekani. Wamemtafuta bila mafanikio yoyote, akitoa taarifa kutoka kwao kigamboni suzan kadai Pius aliaga anakwenda kazini lakini hakufika nyumbani wakati wa kurudi. Badae ,wafanya kazi wenzake nao walianza kumtafuta baada ya kutoonekana kazini lakini hakupatikana hata kwa njia za mawasiliano na juhudi kubwa imefanywa bila mafanikio.

Ikumbukwe siku za nyuma Pius aliekuwa msaidizi wa Humphrey polepole aliibuka na kudai polepole alikuwa akifanya zinaa na wanawake tofautitofauti na anapaswa kuwaomba msamaha wanawake hao kwani kawachezea sana, ilo lilikua ni Moja ya mambo alio kuwa anayasema kuhusu polepole na mambo mabaya yake ya siri.

Anadai BAADA ya hayo alianza kupokea vitusho kutoka kwa polepole kwa kupigiwa simu na kutumiwa jumbe kwamba ata potezwa asipo acha kumfatilia, lakini Pius hakuacha, pia alirekodi vitisho vyote nakuwaonesha wafanyakazi wenzake na ndugu na vimehifadhiwa hivo polepole asipo toa maelezo juu ya ndugu yao alipo wataweka wazi na wametoa masaa 24 tu polepole ajitokeze kufafanua kuhusu ndugu yao lasivyo hatua za kisheria zitafat.

Je huu ni michezo wa kumtia ndege tunduni ili iwe nafuu kumtafuta kwa udi na uvumba na kumshika bwana Humphrey polepole kama muuwaji au mtekaji?

Tusubiri muda waliotoa ndugu uishe tuone watafanya nini? Vyanzo le mutuz tv, bingo media

Nipen Deal of million dollars, kwishaaaaa
Huu ni mtego watanzania tegueni
 
Haya mambo ya kutokuongelea issues na kujikita kwenye hizi tamthiliya ndio shida yake sasa badala ya kuongelea kinachoongelea issue tunaongelea ni nani alisema nini na uchafu au usafi wake badala ya uzito wa kinachosemwa...

Na hili hata Polepole alilitaka kwa kufanya it is about him na sio about what he is saying at any given time au kwanini usemaje wake unakuja kutokana na hali ya hewa....

Anyway tusiache kuliongelea kila jambo at it's own merit (tupinge utekaji wakati huo huo tukiangalia shutuma zinazoletwa kama zina mashiko no matter hata kama aliyeleta ni mzinzi)
Mkuu tuwe wavumilivu ushahidi upo na ndugu wametoa masaa 24 polepole ajitokeze haraka kujibi shutuma la sivyo wanakichafua kumbuka hapo serikali haijahusika mpaka kufikia hapa

Nipen deal of millions dollars, kwishaa
 
Kuna mmoja alidharau katiba Kwa kusema NI KAJITABU TU INABIDI afungwe
Mkuu mada ni mtu katekwa, anaetuhumiwa ni anae Pinga utekaji

Nipen deal of million dollars, kwishaaa
 
Huu ni mtego watanzania tegueni
Kaka mtego umejaa vibaya, polepole alituma ujumbe na jumbe zikahifadhiwa, pagum hapo

Nipen deal of million dollars, kwishaaa
 
Katika hali ya kushangaz dada wa Pius mpweza aliekuwa msaidizi wa polepole ameibuka nakudai kaka yake haonekani. Wamemtafuta bila mafanikio yoyote, akitoa taarifa kutoka kwao kigamboni suzan kadai Pius aliaga anakwenda kazini lakini hakufika nyumbani wakati wa kurudi. Badae ,wafanya kazi wenzake nao walianza kumtafuta baada ya kutoonekana kazini lakini hakupatikana hata kwa njia za mawasiliano na juhudi kubwa imefanywa bila mafanikio.

Ikumbukwe siku za nyuma Pius aliekuwa msaidizi wa Humphrey polepole aliibuka na kudai polepole alikuwa akifanya zinaa na wanawake tofautitofauti na anapaswa kuwaomba msamaha wanawake hao kwani kawachezea sana, ilo lilikua ni Moja ya mambo alio kuwa anayasema kuhusu polepole na mambo mabaya yake ya siri.

Anadai BAADA ya hayo alianza kupokea vitusho kutoka kwa polepole kwa kupigiwa simu na kutumiwa jumbe kwamba ata potezwa asipo acha kumfatilia, lakini Pius hakuacha, pia alirekodi vitisho vyote nakuwaonesha wafanyakazi wenzake na ndugu na vimehifadhiwa hivo polepole asipo toa maelezo juu ya ndugu yao alipo wataweka wazi na wametoa masaa 24 tu polepole ajitokeze kufafanua kuhusu ndugu yao lasivyo hatua za kisheria zitafat.

Je huu ni michezo wa kumtia ndege tunduni ili iwe nafuu kumtafuta kwa udi na uvumba na kumshika bwana Humphrey polepole kama muuwaji au mtekaji?

Tusubiri muda waliotoa ndugu uishe tuone watafanya nini? Vyanzo le mutuz tv, bingo media

Nipen Deal of million dollars, kwishaaaaa
WAna MTANDAO MITAPELI wamekupa vijisenti, UNATUMIKA tu kama ZUZU halafu wao Wanaendesha Ma-BUGATTI.

BongoLALA
 
Kama ni kweli basi huyo jamaa hakujua kuwa wauaji wa serikali wanatafuta matukio kama hayo ...hapo kama jamaa kapotea ni mkono wa samia ili wajaribu kumtatanisha polepole ilitakiwa jamaa atambue kuwa wanao mtumia kumchafua Polepole wanaweza kumtumia kumuua yeye ili kumchafua Polepole kwa kuwa itatengeneza taswira kuwa Polepole ndiyo kausika moja kwa moja
Kosa ni polepole kumtishia jamaa, mbona ange kausha tuu maana ana windwa ye hakujua Hilo?

Nipen deal of million dollars, kwishaaa
 
Ukosefu wa akili ni mzigo mkubwa sana. Hata script ndogo namna hii inawashinda kutengeneza??!!!
 
  • Kicheko
Reactions: naa
Katika hali ya kushangaz dada wa Pius mpweza aliekuwa msaidizi wa polepole ameibuka nakudai kaka yake haonekani. Wamemtafuta bila mafanikio yoyote, akitoa taarifa kutoka kwao kigamboni suzan kadai Pius aliaga anakwenda kazini lakini hakufika nyumbani wakati wa kurudi. Badae ,wafanya kazi wenzake nao walianza kumtafuta baada ya kutoonekana kazini lakini hakupatikana hata kwa njia za mawasiliano na juhudi kubwa imefanywa bila mafanikio.

Ikumbukwe siku za nyuma Pius aliekuwa msaidizi wa Humphrey polepole aliibuka na kudai polepole alikuwa akifanya zinaa na wanawake tofautitofauti na anapaswa kuwaomba msamaha wanawake hao kwani kawachezea sana, ilo lilikua ni Moja ya mambo alio kuwa anayasema kuhusu polepole na mambo mabaya yake ya siri.

Anadai BAADA ya hayo alianza kupokea vitusho kutoka kwa polepole kwa kupigiwa simu na kutumiwa jumbe kwamba ata potezwa asipo acha kumfatilia, lakini Pius hakuacha, pia alirekodi vitisho vyote nakuwaonesha wafanyakazi wenzake na ndugu na vimehifadhiwa hivo polepole asipo toa maelezo juu ya ndugu yao alipo wataweka wazi na wametoa masaa 24 tu polepole ajitokeze kufafanua kuhusu ndugu yao lasivyo hatua za kisheria zitafat.

Je huu ni michezo wa kumtia ndege tunduni ili iwe nafuu kumtafuta kwa udi na uvumba na kumshika bwana Humphrey polepole kama muuwaji au mtekaji?

Tusubiri muda waliotoa ndugu uishe tuone watafanya nini? Vyanzo le mutuz tv, bingo media

Nipen Deal of million dollars, kwishaaaaa
Kama ni njama basi walioset trap hawapo smart kabisa.
 
WAna MTANDAO MITAPELI wamekupa vijisenti, UNATUMIKA tu kama ZUZU halafu wao Wanaendesha Ma-BUGATTI.

BongoLALA
Kaka sio Mimi walio chukua fedha huenda ni wanandugu na Pius mwenyewe

Nipen deal of million dollars, kwishaa
 
Mkuu tuwe wavumilivu ushahidi upo na ndugu wametoa masaa 24 polepole ajitokeze haraka kujibi shutuma la sivyo wanakichafua kumbuka hapo serikali haijahusika mpaka kufikia hapa

Nipen deal of millions dollars, kwishaa
Kama taifa kuanza kujadili Polepole au Shutuma zinazomuhusu ni kupoteza rasilimali muda (ni yeye na mahakama) lakini kama taifa inabidi tukisikia lolote kuhusu mali za UMMA haliendi ndivyo sivyo ni jukumu letu kama walipa kodi kusikiliza; na ili kuepuka kuchezewa kila siku it is about time tukawa na full transparency kwenye mali za UMMA

Similar Discussions

Back
Top Bottom