UJINGA TU.Kaka ye KADAI polepole ni kioo cha jamii hakupaswa kufanya hayo, kutumika mamlaka vibaya je dada yako naye ange pituwa ungesema hivi?
Nipen deal of million dollars, kwishaaa
Hata Mdude hajapatikanaunacheka? je Pius asipo patikana?
Nipen deal of million dollars, kwishaaa
Mkuu shida sio mademu kuliwa, shida INAANZIA BAADA ya mademu kuliwa mpambe wa boss kavujisha siri, boss badala akaushe KAANZA kumtishia kijana atampoteza kabisa, kama ataendelea na hizo pumba zake, kijana kamrekodi kaonyesha ndugu kua anatishiwa maisha, hawajakaa sawa kijana kapoteKuliwa aliwe mwingine Miguno atoe mwingine, Hizi ni Nyeghe au 😀
Mkuu huyo ndo alikua mpambe mtumwaji, lawama zote zikamuangukia NAE akafaulisha kwa mlengwa kila mtu abebe mzigo wake mlengwa KACHUKIA katoa vitishoHalafu anayelalamika au kudai huo msamaha, si mwanamke aliyefanya naye zinaa, bali mwanaume ambaye hata hakuwepo eneo la tukio..!!! Ushoga is real..!!
Siyo kosa kumtishia muhalifu ...huyo jamaa kama kaanza kuyasema hayo baada ya polepole kukosoa serikali maana yake huyo jamaa anatumiwa na watu wa serikali....hapo anaweza kutumiwa na watu wa serikali kumuua ili waseme ni polepole jamaa kajiingiza kwenye kifo kijinga sana pande zote mbili zinaweza kumtumia kwa kumuua ....very stupidKosa ni polepole kumtishia jamaa, mbona ange kausha tuu maana ana windwa ye hakujua Hilo?
Nipen deal of million dollars, kwishaaa
Mtoa lawama ni nani?Mkuu huyo ndo alikua mpambe mtumwaji, lawama zote zikamuangukia NAE akafaulisha kwa mlengwa kila mtu abebe mzigo wake mlengwa KACHUKIA katoa vitisho
Nipen deal of million dollars ,kwishaaa
Sio Mimi ni Pius, Pius alikua mpambe mtumwaji lawama zikamuangukia yeye naye akasukuma mzigo kwa mlengwa, mlengwa KACHUKIA katoa vitishoEti alikuwa anawachezea wadada labda walitaka wenyewe mbona unalalama wewe sa
Hakika ni za kwetuKatika hali ya kushangaz dada wa Pius mpweza aliekuwa msaidizi wa polepole ameibuka nakudai kaka yake haonekani. Wamemtafuta bila mafanikio yoyote, akitoa taarifa kutoka kwao kigamboni suzan kadai Pius aliaga anakwenda kazini lakini hakufika nyumbani wakati wa kurudi. Badae ,wafanya kazi wenzake nao walianza kumtafuta baada ya kutoonekana kazini lakini hakupatikana hata kwa njia za mawasiliano na juhudi kubwa imefanywa bila mafanikio.
Ikumbukwe siku za nyuma Pius aliekuwa msaidizi wa Humphrey polepole aliibuka na kudai polepole alikuwa akifanya zinaa na wanawake tofautitofauti na anapaswa kuwaomba msamaha wanawake hao kwani kawachezea sana, ilo lilikua ni Moja ya mambo alio kuwa anayasema kuhusu polepole na mambo mabaya yake ya siri.
Anadai BAADA ya hayo alianza kupokea vitusho kutoka kwa polepole kwa kupigiwa simu na kutumiwa jumbe kwamba ata potezwa asipo acha kumfatilia, lakini Pius hakuacha, pia alirekodi vitisho vyote nakuwaonesha wafanyakazi wenzake na ndugu na vimehifadhiwa hivo polepole asipo toa maelezo juu ya ndugu yao alipo wataweka wazi na wametoa masaa 24 tu polepole ajitokeze kufafanua kuhusu ndugu yao lasivyo hatua za kisheria zitafat.
Je huu ni michezo wa kumtia ndege tunduni ili iwe nafuu kumtafuta kwa udi na uvumba na kumshika bwana Humphrey polepole kama muuwaji au mtekaji?
Tusubiri muda waliotoa ndugu uishe tuone watafanya nini? Vyanzo le mutuz tv, bingo media
Nipen Deal of million dollars, kwishaaaaa
Hujaielewa kipi? Tuliza kichwa chako mkuu Iko hivi, huyu Pius ni mpambe kumuungia boss mbunye, ye kapewa lawama labda kawatelekeza mademu, ye kaona isIWE kesi kumpelekea malalamiko mlengwa, mlengwa KACHUKIA katoa vitisho hujaielewa kipiEti alikuwa anawachezea wadada labda walitaka wenyewe mbona unalalama wewe sa
Hiyo trick siyo tishio kwa polepole ni tishio kwa huyo jamaa anaye tumika ...huyo jamaa kaamua kushirikiana na chui dhidi ya simba huku wote hao ,simba na chui ...yeye ni chakula kwao....watanzania tumieni akili zenu vizuri kutambua michezo kuna michezo unachezeshwa ili ugeuzwe kafara ...huu mchezo unafanana na ule wa ben saa8Nahisi walishindwa kumkamata polepole kwa sababu ya kigezo hivo bomu lilikua linasukwa kitendo cha mwendokasi kureact tu, case closed, ilikua kosa kubwa sana
Nipen deal of million dollars, kwishaaa