Polepole Amuonya Chalamila. Asema Amemtukana Rais

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
6,519
Reaction score
15,126
Polepole amemuonya Chalamila kuwa hana mamlaka wala uwezo wa kujibu hoja zake. Yeye Polepole alikuwa mjumbe wa kamati kuu akiwa na majukumu maalum, anayejua mambo mengi.

Kaeleza kuwa Chalamila indirectly amemtukana Rais aliposema kuwa eti yeye Chalamila anaenda kufuata mafaili ya Polepole huko nje (means kwa wanamtandao). Polepole anasema kuwa maneno hayo ya Chalamila ni kumdharaulisha Rais kuwa taarifa muhimu za wateule wake hanazo bali wanazo watu wengine. Akaongeza kuwa yeye Polepole, taarifa zake zote, na mafaili yanayomhusu anayo Samia. Akaeleza kuwa yeye Polepole kwenye suala la uadilifu hana doa, na ndiyo maana ana uwezo wa kusimama na kukosoa bila ya kuwa na hofu. Yeye anamtegemea Mungu, na katika maisha yake binafsi ya kibinadamu, hana uchafu.

Amemwagiza Chalamila aisikilize clip yake juu ya maneno yake aliyoyasema, maneno yaliyomdharaulisha Samia, na hakika atajutia.
 
Alichofanya Chalamila ndicho kinatakiwa kufanya na kila mwanaCCM mwenye uchungu na CCM , haiwezekani mtu mmoja ajione mkubwa kuliko Chama.

Wakiibuka wakina Chalamila kama watano Polepole atanyoosha mikono. Natamani kazi ya kumjibu Polepole ,hapo napiga shoka moja mbuyu Chini.
 
Duh! Naona Comrade Polepole umeamua liwalo na liwe. Nadhani ni jambo zuri huu upinzani ndani ya chama ukiendelea kushamiri, ili tuone matokeo yake siku zijazo.
 
Alichofanya Chalamila ndicho kinatakiwa kufanya na kila mwanaCCM mwenye uchungu na CCM , haiwezekani mtu mmoja ajione mkubwa kuliko Chama.

Wakiibuka wakina Chalamila kama watano Polepole atanyoosha mikono. Natamani kazi ya kumjibu Polepole ,hapo napiga shoka moja mbuyu Chini.
Ujinga mtupu
 
Polepole amemuonya Chalamila kuwa hana mamlaka wala uwezo wa kujibu hoja zake. Yeye Polepole alikuwa mjumbe wa kamati kuu akiwa na majukumu maalum, anayejua mambo mengi.

Kaeleza kuwa Chalamila indirectly amemtukana Rais aliposema kuwa eti yeye Chalamila anaenda kufuata mafaili ya Polepole huko nje (means kwa wanamtandao). Polepole anasema kuwa maneno hayo ya Chalamila ni kumdharaulisha Rais kuwa taarifa muhimu za wateule wake hanazo bali wanazo watu wengine. Akaongeza kuwa yeye Polepole, taarifa zake zote, na mafaili yanayomhusu anayo Samia. Akaeleza kuwa yeye Polepole kwenye suala la uadilifu hana doa, na ndiyo maana ana uwezo wa kusimama na kukosoa bila ya kuwa na hofu. Yeye anamtegemea Mungu, na katika maisha yake binafsi ya kibinadamu, hana uchafu.

Amemwagiza Chalamila aisikilize clip yake juu ya maneno yake aliyoyasema, maneno yaliyomdharaulisha Samia, na hakika atajutia.
Polepole hatekeki au vipi mpaka Leo wanalumbana TU😀😀😀😀wakati kina Roma MKATOLIKI ilikuwa dakika sifuri
 
Alichofanya Chalamila ndicho kinatakiwa kufanya na kila mwanaCCM mwenye uchungu na CCM , haiwezekani mtu mmoja ajione mkubwa kuliko Chama.

Wakiibuka wakina Chalamila kama watano Polepole atanyoosha mikono. Natamani kazi ya kumjibu Polepole ,hapo napiga shoka moja mbuyu Chini.
Uchungu wa kitu Gani😝😝😝 MAFISADI MMEANIKWA SASA MNA UCHUNGU EEEH
 
Hoja z pole pole zijibiwe Kwa hoja na singinevyo sw ma CCM.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Ndugu yangu Humphrey polepole mimi nafahamu uzalendo wako si wakinafiki, ninachokuomba ni kuwa, kubali kupokea asali ndugu yangu.

Tunapata tabu sana kuona unapewa asali wewe unaimwaga, tunaumia sana maana ni kama umeamua kuwazindua watu.

Nakusihi uache maramoja ili tuendelee kufaidi keki ya taifa bila bugudha wala minong'ono.

Asante kwa kunielewa. Tusaidie kwa hilo.

By Ponjoro wa Kinondoni
Kwasasa niko safarini toka Kizimkazi uelekeo ni Kongwa.
 
Alichofanya Chalamila ndicho kinatakiwa kufanya na kila mwanaCCM mwenye uchungu na CCM , haiwezekani mtu mmoja ajione mkubwa kuliko Chama.

Wakiibuka wakina Chalamila kama watano Polepole atanyoosha mikono. Natamani kazi ya kumjibu Polepole ,hapo napiga shoka moja mbuyu Chini.
Kama unatumia Chalamila haweze kujibu akili kubwa kama za Polepole basi ccm yangu imeshiwa watu, ccm yenye kukimbilia kutisha watu na kuvua watu uanachama badala kujenga hoja kisa mipishano ya mitazamo.
 
Back
Top Bottom