Kimbesa11
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 4,652
- 2,696
Husika na mada tajwa hapo juu:
Tukio alilolifanya Polepole ni ukosefu wa hekima na busara, ni uvunjivu wa Maadili ya mtumishi wa umma, ni kusaliti kiapo chake, ni uongo ni upotoshaji kwahyo yafaa afunguliwe kesi.
Huwezi ukasema kwasababu uliteuliwa hadharani basi na barua yako ya kujihudhuru iwe hadharani haya syo maadili ya kiutumishi mbona barua yake au mikataba yake ya kimasilahi hukuiweka hadharani?
Mbona mshahara wake hakuweka hadharani? Polepole yafaa afunguliwe kesi.
Tujitokeze kwa wingi kwenye uchaguzi October.
Kauli yetu ni moja tu
OCTOBER TUNATIKI ✅ narudia tena OCTOBER TUNATIKI ✅
Tuwe na Sabato njema