Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 7,078
- 10,553
Dah kwakweliWakati akiwa hai nilikuwa namuona John Pombe Magufuli pamoja na kutaka aonekane mzalendo, niliona kuwa ni mtu asiye na nia njema Kwa Taifa letu na mtaka sifa.
Lakini baada ya Polepole kuelezea mambo mengi yaliyokuwa yanafanyika nyuma ya pazia, sasa nimeanza kuelewa kuwa Magufuli alikuwa na dhamira njema kwa Tanzania.
Kumbe Magufuli baada ya kugundua fedha zinachotwa serikalini, yeye akaamua kuziwekeza kwenye miradi ili kama ni madeni ni bora watanzania walipe lakini wakiwa wana miundombinu inayowasaidia kuendesha maisha yao.
Zile hotuba zake kama anapambana na mara majeshi au watumishi wa Serikali, Leo zinaleta mantiki zaidi kuliko wakati akizitoa.
Magufuli alikuwa anajua yupo peke yake kwenye harakati za kuijenga Tanzania maana hata watu kama Makonda kumbe nao Wana vimelea vya CCM mtandao.
Ukweli utajulikana siku moja.
Bado ujajibu swali langu nani kampeleka JPM top5 kama sio Jakaya kwani mbona walikuwa wengi kwanini wabaki wa5 ninani kachagua iyo top 5 alikuwa Edward Lowassa!!!!!!!!!!Akili yako kisoda, waliomtowa Membe asikanyage tano bora ni nani?
Kama JK alimshindisha Magufuli alishindwa vipi kumshindisha mrithi wake aliyemuandaa Benard Membe?
Ubongo wako ni wa kuvukia barabara tu.
Wewe akili zinakuruka, JK angepata wapi ubavu wa kumkata Magufuli wakati Mkapa yupo?Bado ujajibu swali langu nani kampeleka JPM top5 kama sio Jakaya kwani mbona walikuwa wengi kwanini wabaki wa5 ninani kachagua iyo top 5 alikuwa Edward Lowassa!!!!!!!!!!
Walipitia vigezo vip wengine wote wakose vigezo wabaki wa5 na jina la JPM lipo.!!!
Shida yako umekalilishwa na wengi km ww mnashida ya kufanana!!!
kutumia akili zenu hamtaki unategemea mwengine ndio anawaza kwaajili yako!!!!
changamsha akili yako zaidi na zaidi !!!
Chukua iyoo rip Bernard MEMBE ni Jasusi mwelevu zaid nchini!!!
Kwapamoja na Jakaya ndio wamepanga mipango yote hadi kukatwa kwake yote ni mipango yao watu 2 kuuzima mtandao wa rip Edward Lowassa!!!!
lengo lao ni moja tu kukatwa kwa Lowassa lkn Chama kibaki Salama na umoja wake iyo ndio project kuu!!!
kuwa Jakaya au Membe walikuwa na mpango wa Urais 2015 kiakili tu ingekuwa ngumu!!!
vip Benjamin William Mpaka atoke kusini na Membe atoke kusini ndani ya muda mchache kama ule!!!!
Jakaya kaweka nguvu kwa Membe lengo likiwa kupambana na nguvu za Edward Lowassa kwenye Chama kufanya wanaccm kuamini kuna vigogo wa2 wanapambana na wenye uzito wa kufanana kishaaaa
kisu woteeeeee!!!!!😇😇
Wakose woteeee 😇😇
na tunavunja makundi yote.
Bila iyo project kutengenezwa Membe kishindani kweli kweli leo CCM ingekuwa sawa na NCCR Washagawana fito !!!
Jakaya Kikwete master plan hatari sana
Ugomvi wa rip. JPM na rip. Membe ni kiini macho cha wajinga tu kufunika kombe..
Msikilize Polepole lakini kuwa makini UsipotokeLakini baada ya Polepole kuelezea mambo mengi yaliyokuwa yanafanyika nyuma ya pazia, sasa nimeanza kuelewa kuwa Magufuli alikuwa na dhamira njema kwa Tanzania.
Wewe umejizima data au una upofu wa akili. Na ukiwa kipofu hata surgery haiwezi kukusaidia labda upewe fimbo nyeupe ya kukusaidia kupishana na watuKadanganye wajinga wenzako kwenye kahawa uko. Nonsense kabisa.
Basi namna yake ya kudeal nao ilikuwa mbovu. Ningekuwa Mimi ndio Magufuli na ninajua kwamba labda upinzani wanatumika kunikwamisha ningekuwa nawashtakia kwa Wananchi tena kwa facts sio porojo. Hili darasa analotoa Polepole Mimi ningetoa maradufu huku naendelea kufanya yanipasayo kwa maslahi mapana ya Taifa bila kuyumbishwa na kelele zozote zenye nia ovu. Wakati huo huo mapendekezo na hoja zote za msingi za "wapinzani" ningekuwa nazifanyia kazi. Yeye alikuwa anajipa stress za bure tu kwa kuendekeza ubabe kwenye mambo ya kutumia akili za kawaida kabisa.Aliminya kwakua alijua hao pia wanatumiwa na siyo demokrasia kama inavyodaiwa...Mbona mnaelezwa hizo proxies zilizoundwa Kwa sababu maalumu? Au hata kumwelewa Slow slow bado?
Wewe unajua unacheza na midoli ambayo inakupiga makwenzi hatari utaendelea kuwapa good time tu Ili wakukwamishe?
Alishindwa vipi kujisafisha?Shida hakusema, tungemwelewa na kumlinda, pia Ile kutekwa na kuuwawa watu ulinifanya nizidi kumchukia. Yawezekana yalifanyika kumchafua pia
Kwa hiyo ripoti zake zilikuwa za uongo?Wewe jamaa mjinga sana huyo CAG alitumika pia na wanamtandao
Mbona rahisi sana. Washitakie kwa Wananchi kwa ushahidi usio na shaka kama kweli wana nia ovu!Kwa nchi ilipofikia hakuwa na namna nyingine..... and of course kuna viongozi wa CDM pia kwao maendeleo ya nchi si kitu kikubwa chama chao kichukue dola....Hawa ungewezaje kudeal nao
Polepole sio mjinga. Anajua fika Kati ya Samia na Magufuli nani yupo kwenye mioyo ya Wananchi wengi zaidi. Anapigia hapo hapo. Jomba is very tactical😀Polepole anapozidi kumshambulia Samia kwa kumtafutia huruma JPM anachoshindwa kuelewa ni ukweli kwamba kwa kufanya hivyo anazidi kujenga mazingira ya kumchafua pia hayati JPM.
Anatumia siasa za hatari kwa kuangalia upande mmoja tu.
Ni slowest🙄
Hao ni "slow learner "
hampendi haki,ukabila kivipi?,ukanda Kwa maana gani,mwizi ukimzuia kuiba lzm atakuona hufai,ndiyo maana tuliona maajabu wakati wake hatujawahi ona.Shida yake kubwa ilikuwa ni ukabila na ukanda, pamoja na kushindwa kukubali kukosolewa
Naelewa hisia zako. Lakini binadamu wa Tanzania hawajafikia hatua ya kuwa tayari kuhatarisha maisha yao kiasi hicho. Na dola imejiandaa kikamilifu.Nakuapia ni organization tu. Wakijitokeza watu wengi kwa wakati mmoja, hawatathubutu kuua wengi. Anyways, hata tukiogopa kuuawa bado kuna mambo mengi tu yanayosababishwa na utawala mbovu ambayo yanaua watu kila siku tena zaidi ya kuuawa na dola kwa kuandamana. BTW ni kwa sababu hatuna maarifa tu, siyo lazima kuandamana. Hebu fikiria hili: sasa hivi wanasomba watu kwa maelfu kwenda kujaza mikutano ya Samia. Kwa nini tusikubali kusombwa kwa wingi kabisa na wengine tujitokeze, halafu ghafla anapoonza kuhutubia tumgeuzie kibao, tuanze kuzomea na ku-charge kuelekea jukwaani?
Haya maisha haya🥲Picha inaongea mengiView attachment 3460459
Lala SLAMA MAGU, Makamu wako alishirikiana na mafedhuli kuondoa uhai wako.Wakati akiwa hai nilikuwa namuona John Pombe Magufuli pamoja na kutaka aonekane mzalendo, niliona kuwa ni mtu asiye na nia njema Kwa Taifa letu na mtaka sifa.
Lakini baada ya Polepole kuelezea mambo mengi yaliyokuwa yanafanyika nyuma ya pazia, sasa nimeanza kuelewa kuwa Magufuli alikuwa na dhamira njema kwa Tanzania.
Kumbe Magufuli baada ya kugundua fedha zinachotwa serikalini, yeye akaamua kuziwekeza kwenye miradi ili kama ni madeni ni bora watanzania walipe lakini wakiwa wana miundombinu inayowasaidia kuendesha maisha yao.
Zile hotuba zake kama anapambana na mara majeshi au watumishi wa Serikali, Leo zinaleta mantiki zaidi kuliko wakati akizitoa.
Magufuli alikuwa anajua yupo peke yake kwenye harakati za kuijenga Tanzania maana hata watu kama Makonda kumbe nao Wana vimelea vya CCM mtandao.
Ukweli utajulikana siku moja.
Unapomtukana SSH inabidi uwe na moyo wa kishujaa sana kwani unapopambana na rais ambaye anacho cha kuonyesha. Ataishia kuonekana ana chuki kwa mtu anayepima yanayoendelea.Polepole sio mjinga. Anajua fika Kati ya Samia na Magufuli nani yupo kwenye mioyo ya Wananchi wengi zaidi. Anapigia hapo hapo. Jomba is very tactical😀
Alijitetea kwa kusema wanaouliza alikuwa wapi je,wao walikuwa wapi?Unapomtukana SSH inabidi uwe na moyo wa kishujaa sana kwani unapopambana na rais ambaye anacho cha kuonyesha. Ataishia kuonekana ana chuki kwa mtu anayepima yanayoendelea.
Wapo wanaohoji kuhusu unyama alioufanya hayati na yeye akaishia kukaa kimya akiwa ndio mwenezi wa CCM wakati huo.
Atulize tu akili yake,awamu ya JPM ilishapita. Huwezi kuishi milele yote ukikumbushia siku zilizopita, zimeshapita watu wanaangalia leo na kesho.Alijitetea kwa kusema wanaouliza alikuwa wapi je,wao walikuwa wapi?