Pole sana Waziri Salum Rajab - kimekurambaaa!

Pole sana Waziri Salum Rajab - kimekurambaaa!

Watanzania ujinga ninkama kopo na funiko,sasa uzi gani huu umekaa kimbea mbea hauna fact
🤣🤣🤣🤣
Ndo aina ya nyuzi wazipendazo haters wa Samia. Kwao haijalishi kitu kinasemajwe au kina uhalisia gani, Ili muradi tu kina upondaji wa Samia au watu wake ndani yake basi watakishobokea mpaka utabaki unajiuliza, "hivi Wana akili hawa kweli?!!! Au ni watoto?!!!"
 
Mkapa alikua mtu smart?? Huwa mnatumiaga vigezo gani?
Kwa haters wa Samia, yaani TEC na chadema, Kila Raisi aliyepita, isipokuwa Mwinyi na Kikwete, ni smart. Hivyo ndivyo walivyokubaliana katika vikao vyao......kama Kuna sababu zaidi ya kisiasa mi sijui.
 
Wewe kataa kwenda Ubalozi.

Danganya unataka kuendesha biashara zako binafsi (utaeleza ni biashara gani).

Danganya pia kuwa unauguliwa na kaka yako.

Ukiweza, wambie siafu (chawa) wako kuwa umeamua kujiuzulu.

View attachment 3523795

Tangu umefika ofisi kuu, umesababisha ujinga mwingi sana nchini. Umeumiza wengi. Kibri kilitamalaki!

Uliwadanganya wengi kuwa wewe ndo unaendesha mfumo - kiko wapi?

Na wote uliokuwa ukiwahonga tutawaanika. Na pesa ulizoficha Dubai zitafikiwa!

Kila mmoja atachanganyikiwa kwa wakati wake

View attachment 3523797
Msidanganyike mkawa pleased na sijui kuwanyofoa wasaidizi, hiyo haiwezi kubadilisha mfumo wa ukatili wa kuua watu. Ukisha ona vyombo vya usalama vinanguvu kuliko Rais mwenyewe ujue Raia lazima wakione cha mtemakuni. Tanzania haitatokea ikatulia bila Tume ya uchaguzi kurekebishwa na ikatenda haki.
 
Wewe kataa kwenda Ubalozi.

Danganya unataka kuendesha biashara zako binafsi (utaeleza ni biashara gani).

Danganya pia kuwa unauguliwa na kaka yako.

Ukiweza, wambie siafu (chawa) wako kuwa umeamua kujiuzulu.

View attachment 3523795

Tangu umefika ofisi kuu, umesababisha ujinga mwingi sana nchini. Umeumiza wengi. Kibri kilitamalaki!

Uliwadanganya wengi kuwa wewe ndo unaendesha mfumo - kiko wapi?

Na wote uliokuwa ukiwahonga tutawaanika. Na pesa ulizoficha Dubai zitafikiwa!

Kila mmoja atachanganyikiwa kwa wakati wake

View attachment 3523797
Wakuu msitutoe relini
Samia ni mhaini
Samia ni muuaji
 
List ni fupi inamaana hicho cheo ni mara chache sana Rais kubadilisha au ni nani hasa anaeteua, naona ni wanaume tu.

Tupate elimu kidogo

..Ni nafasi nyeti sana, na mhusika hufahamu mambo mengi ya Raisi.

..Raisi akichaguliwa mtu wa kwanza kumteua nadhani huwa ni Katibu Myeka, halafu wa pili ni Mwanasheria Mkuu wa serikali.
 
Watanzania ujinga ninkama kopo na funiko,sasa uzi gani huu umekaa kimbea mbea hauna fact
Wakati mwingine, nawe ili u - fit ktk scenario fulani fulani, weka akili yako ikae kimbea...

Kuna jumbe zingine zinawasiishwa kwa lugha ya mficho, lugha ya picha ili ushughulishe akili yako...

Jiongeze🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️
 
1767337346521.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom