Pole sana Waziri Salum Rajab - kimekurambaaa!

Pole sana Waziri Salum Rajab - kimekurambaaa!

Lichawi hilo, au siku hizi uchawi ndio usmati?
Uchawi ni utaalamu mkuu! Ila wazungu walitu-brainwash tu tukaona ni kitu kibaya wakati wao wakasifia kazi zao kama kujiita watalii lakini nyinyi mkienda kwao mnaitwa wakimbizi. Walijiita missionaries nyinyi mkafikiri ni watu wa maana kumbe walikuwa na mission ya kuwatawala na kuwaibia rasilimali zenu. Jitambueni sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom