Pole sana Waziri Salum Rajab - kimekurambaaa!

Pole sana Waziri Salum Rajab - kimekurambaaa!

Huyu bwana ana wadhifa gani hapo jumba jeupe?
Unataka kumjua?

IMG_1215.jpeg
IMG_1216.jpeg

Msome hapa - Ni nani huyu Waziri Rajab Salum, Katibu binafsi wa Rais Samia?

Halafu, nisome hapa - The Network: Abdul kiungo muhimu kati ya Rostam Aziz na Mukhsin Patel upande mmoja na Sameer Karim Alibhai na W. Salum upande mwingine
 
Wewe kataa kwenda Ubalozi.

Danganya unataka kuendesha biashara zako binafsi (utaeleza ni biashara gani).

Danganya pia kuwa unauguliwa na kaka yako.

Ukiweza, wambie siafu (chawa) wako kuwa umeamua kujiuzulu.

View attachment 3523795

Tangu umefika ofisi kuu, umesababisha ujinga mwingi sana nchini. Umeumiza wengi. Kibri kilitamalaki!

Uliwadanganya wengi kuwa wewe ndo unaendesha mfumo - kiko wapi?

Na wote uliokuwa ukiwahonga tutawaanika. Na pesa ulizoficha Dubai zitafikiwa!

Kila mmoja atachanganyikiwa kwa wakati wake

View attachment 3523797
Mtoa mada ni mole wa mfumo
 
Huyu bwana ana wadhifa gani hapo jumba jeupe?

..Katibu Myeka wa Rais.

..Private Secretary to the President.

..nchi nyingine humuita Chief of Staff, President's Office.

..Ni mtu muhimu sana ktk ofisi ya Rais.

..ndiye anayewasimamia wasaidizi wa Raisi, kupanga ratiba zote za Raisi.

..watangulizi katika nafasi hiyo ni wafuatao.

1. Major Joseph Butiku wakati wa Nyerere

2. Andrew Daraja -- Mzee Mwinyi

3. Patrick Mombo -- Mzee Mkapa

4. David Jairo / Prosper Mbena -- Mzee Kikwete.

5. Eng. Samike -- Mzee Magufuli.
 
..Katibu Myeka wa Rais.

..Private Secretary to the President.

..nchi nyingine humuita Chief of Staff, President's Office.

..Ni mtu muhimu sana ktk ofisi ya Rais.

..ndiye anayewasimamia wasaidizi wa Rais, kupanga ratiba zote za Rais.

..watangulizi katika nafasi hiyo ni wafuatao.

1. Major Joseph Butiku wakati wa Nyerere

2. Andrew Daraja -- Mzee Mwinyi

3. Patrick Mombo -- Mzee Mkapa

4. David Jairo / Mbena -- Mzee Kikwete.

5. Eng. Samike -- Mzee Magufuli.
List ni fupi inamaana hicho cheo ni mara chache sana Rais kubadilisha au ni nani hasa anaeteua, naona ni wanaume tu.

Tupate elimu kidogo
 
..Katibu Myeka wa Raisi.

..Private Secretary to the President.

..nchi nyingine humuita Chief of Staff Presidents Office.

..Ni mtu muhimu sana ktk ofisi ya Raisi.

..ndiye anayewasimamia wasaidizi wa Raisi, kupanga ratiba zote za Raisi.

..watangulizi katika nafasi hiyo ni wafuatao.

1.Major.Joseph Butiku wakati wa Nyerere

2.Andrew Daraja -- Mzee Mwinyi

3.Patrick Mombo -- Mzee Mkapa

4.David Jairo / Mbena -- Mzee Kikwete.

5.Eng.Samike -- Mzee Magufuli.
Mbena malumbi sijui kwanini aliuwawa hivi vyeo hivi kujua mengi pia ni hatari kwako.
 
..Katibu Myeka wa Rais.

..Private Secretary to the President.

..nchi nyingine humuita Chief of Staff, President's Office.

..Ni mtu muhimu sana ktk ofisi ya Rais.

..ndiye anayewasimamia wasaidizi wa Rais, kupanga ratiba zote za Rais.

..watangulizi katika nafasi hiyo ni wafuatao.

1. Major Joseph Butiku wakati wa Nyerere

2. Andrew Daraja -- Mzee Mwinyi

3. Patrick Mombo -- Mzee Mkapa

4. David Jairo / Mbena -- Mzee Kikwete.

5. Eng. Samike -- Mzee Magufuli.
Mombo kumbe Alifanya kazi na mtu smart kama mkapa Sasa kwanini kamuharibia kizimkazi?
 
Wewe kataa kwenda Ubalozi.

Danganya unataka kuendesha biashara zako binafsi (utaeleza ni biashara gani).

Danganya pia kuwa unauguliwa na kaka yako.

Ukiweza, wambie siafu (chawa) wako kuwa umeamua kujiuzulu.

View attachment 3523795

Tangu umefika ofisi kuu, umesababisha ujinga mwingi sana nchini. Umeumiza wengi. Kibri kilitamalaki!

Uliwadanganya wengi kuwa wewe ndo unaendesha mfumo - kiko wapi?

Na wote uliokuwa ukiwahonga tutawaanika. Na pesa ulizoficha Dubai zitafikiwa!

Kila mmoja atachanganyikiwa kwa wakati wake

View attachment 3523797

Asalaleheeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom