CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,423
- 42,143
Nafikiri kigezo alichotumia ni kumlinganisha na huyu mchawi wa Kizimkazi ambacho mimi nakilubali.Mkapa alikua mtu smart?? Huwa mnatumiaga vigezo gani?
Nafikiri kigezo alichotumia ni kumlinganisha na huyu mchawi wa Kizimkazi ambacho mimi nakilubali.Mkapa alikua mtu smart?? Huwa mnatumiaga vigezo gani?
Ungemchepusha saluni kwenye lile ghorofa akupe ubuyuJuzi nilimuona mkewe anaitwa irada kariakoo msimbazi anazurura tu na shoga yake nikajiuliza kulikoni muke ya mutu mkubwa yupo yupo tu mitaa ya kkoo anapiga misele nikanyamaza
Yupo stressedJuzi nilimuona mkewe anaitwa irada kariakoo msimbazi anazurura tu na shoga yake nikajiuliza kulikoni muke ya mutu mkubwa yupo yupo tu mitaa ya kkoo anapiga misele nikanyamaza
Tofauti na juma Lokole ni sura tu ila matendo ni sawaWewe kataa kwenda Ubalozi.
Danganya unataka kuendesha biashara zako binafsi (utaeleza ni biashara gani).
Danganya pia kuwa unauguliwa na kaka yako.
Ukiweza, wambie siafu (chawa) wako kuwa umeamua kujiuzulu.
View attachment 3523795
Tangu umefika ofisi kuu, umesababisha ujinga mwingi sana nchini. Umeumiza wengi. Kibri kilitamalaki!
Uliwadanganya wengi kuwa wewe ndo unaendesha mfumo - kiko wapi?
Na wote uliokuwa ukiwahonga tutawaanika. Na pesa ulizoficha Dubai zitafikiwa!
Kila mmoja atachanganyikiwa kwa wakati wake
View attachment 3523797
Hapo “teeth” upo kitengo gani mkuu?Wewe kataa kwenda Ubalozi.
Danganya unataka kuendesha biashara zako binafsi (utaeleza ni biashara gani).
Danganya pia kuwa unauguliwa na kaka yako.
Ukiweza, wambie siafu (chawa) wako kuwa umeamua kujiuzulu.
View attachment 3523795
Tangu umefika ofisi kuu, umesababisha ujinga mwingi sana nchini. Umeumiza wengi. Kibri kilitamalaki!
Uliwadanganya wengi kuwa wewe ndo unaendesha mfumo - kiko wapi?
Na wote uliokuwa ukiwahonga tutawaanika. Na pesa ulizoficha Dubai zitafikiwa!
Kila mmoja atachanganyikiwa kwa wakati wake
View attachment 3523797
Wewe unataka fact kwani huyo anasaini makaratasi ya Ikulu ndo uamini.Watanzania ujinga ninkama kopo na funiko,sasa uzi gani huu umekaa kimbea mbea hauna fact
Endelea kuwa mzalendo hivi hiviWhat was rubbish mkuu?
Haya, subiri uone akipelekwa China
Kwani alifanya kosa gani mpaka mama yake kaamua kutengana nae?Ninyi vijana mliokuwa kwenye payroll ya Rajab ndo mtateseka zaidi.
Yana mwisho
Nasubiria jibu nami niponee kwenye jibu lakoKwani alifanya kosa gani mpaka mama yake kaamua kutengana nae?
Ulifanya utoto huuWe
Tofauti na juma Lokole ni sura tu ila matendo ni sawa