Ana Killango Inasemekana
Mafisadi walikuogopa kuwa Ungeshinda Uenyekiti wa Wazazi, Ungeweza
Kusababisha Mwenyekiti wa CCM wa Taifa Mh. Raisi Hasingepita,
Kwani Inasemakana Sophia Hakuwa na Sifa za Kukushinda wewe, Pole
sana.
Hala lolote ni DOMO KAYA tualisema sema "kama pesa ya EPA haitorudishwa patachimbika" ilikuwa bungeni vip cjuwi pesa ilirudishwa na ushahahidi anao mmmhhh
mama vuguvugu mtaka yote kwa pupa
Pole sana Mama Shupavu Anna Killango, Lakini pia nakulaumu wewe kuwa kigeugeu ndio maana hata huo Uchaguzi wamekuzunguka na wamekushinda, Huwezi kuwa Chumvi tthe Same time Sukari.
Nazani timu ya Mh. Iliona Anna Akishinda basi Mafisadi na Hata Nafsi ya Uenyekiti wa Mh. Kikwete Ungekuwa Hatarini.
Huyu mama mgumu kutoa shirikishi.