Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,188
- 10,915
Sio kuchepuka, hiyo ilikuwa kabla ya Mkapa, mambo ya ujana, usitake kupotosha.Mmmmmh huyu mama kazeeka mnooh lol, alikua anachepuka na Basir Mramba hadi akazaa nae mweeeeeh.
Sio kuchepuka, hiyo ilikuwa kabla ya Mkapa, mambo ya ujana, usitake kupotosha.Mmmmmh huyu mama kazeeka mnooh lol, alikua anachepuka na Basir Mramba hadi akazaa nae mweeeeeh.
Nilitazama mara mbili nikijiuliza hilo swali.Mbona Mama Mkapa jichoni ni kama pamevimba?
Ulipata ujasiri wa kuacha upadre, baada ya kusikia kesi yao!Niache unafiki mwaka 1991 nikiwa mwanafunzi wa upadre nikaenda likizo pale Parokia Katoliki ya UPANGA. Paroko akaniambia kuna kesi ya ndoa ingia pia ukasikilize upate uzoefu. Kesi ilikua ya Baba Ben na huyu Mama. Mungu nashukuru bado ulinipa ujasiri wa kuweza kuoa pia. Ben alikua BINADAMU Mvumilivu sana.
Swala gani hili, au hujui kama Basil alikuwa katika baraza la mawaziri?nauliza tu kwa wema BASIL atakuwepo msibani?
najua bt basil huyo huyo alikua akimhujum mkapa kwa mkewe ndo maana nikaulizaSwala gani hili, au hujui kama Basil alikuwa katika baraza la mawaziri?
Hapo kuna mengi....Baada ya hapa Wangazija na Wapemba walikimbilia Ulaya na kuomba ukimbizi. Mkapa alitembelea Uingereza waandishi wa habari walimhoji kuhusu watu kukimbia kwa vitisho vya dola, alijibu si kweli na msiwapokee, Tanzania hatuna matatizo.
Ndiyo alizaa na Mramba, kwani ni kificho? Mmmmmh
Na aliendelea kuliwa na Mramba angali yuko ndoani na Mkapa, kwan hujui hilo? KhaaaahSio kuchepuka, hiyo ilikuwa kabla ya Mkapa, mambo ya ujana, usitake kupotosha.
Sawa babuuh.OK OK sawa
Jr
Hapa ndio maana uwa wanasema usioe mwanamke aliyezaaa labda mwanaume aliyemzalisha awe amekufa na kaburi ulione.Na aliendelea kuliwa na Mramba angali yuko ndoani na Mkapa, kwan hujui hilo? Khaaaah
Wewe mama umeanza umbea wa kwenu mpuuzi wewe! hapa sio mahali pale peleka ktk ukoo wenu huu umbea! pusi wewe!Hivi walikkuwa wanaishi wote kumbe!!!!
Nakumbuka lile sakata la marehemu kuvunjika mkono
Tumekaa kimya, jitahidini kupunguza zarau.Wewe mama umeanza umbea wa kwenu mpuuzi wewe! hapa sio mahali pale peleka ktk ukoo wenu huu umbea! pusi wewe!
Mkonoo!!!!!!!!?Hivi walikkuwa wanaishi wote kumbe!!!!
Nakumbuka lile sakata la marehemu kuvunjika mkono
Pamoja na juhudi kubwa za mwanamke kutafuta usawa lakini bado jamii yetu inatawaliwa na mfumo dume.(sijui kama nitaeleweka na wengi)
Benjamin William Mkapa ...Ben ametwaliwa jana kutoka maidha haya...huu ni msiba mzito kwakuwa ndio rais wa tatu wa Tanzania tangu uhuru. Tunamkumbuka kwa mema na mabaya yake..hakuna mkamilifu...lakini mizania ya haki ndio itaamua ni aina gani ya kumbukumbu ametuachia.
Kwenye kila mwanaume mwenye mafanikio nyuma yake kuna mwanamke (japo pia wanawake wengi wamekuwa chanzo cha anguko la wanaume wengi)...mwanamke ni kama moto au kisu..inategemea unatumiaje...!!!!
Mafanikio ya Ben Mkapa RIP mpaka kufikia kuwa rais wa nchi hayawezi kukamilika bila ya kumtaja mkewe pekee wa ndoa takatifu ya kikristo mama Anna Mkapa na mwenyekiti mwanzilishi wa mfuko wa FURSA SAWA KWA WOTE...EOTF..
Ni mama huyu wa shoka .
Aliyempa mzee faraja kitandani
Aliyemshibisha mezani
Aliyemgh'arisha upenuni
Aliyempa tumaini jipya pale mzee alipochoka na kukata tamaa
Aliyemshika mkono pale mzee alipotaka kuanguka...
Kuna ya sirini kati yao..haya hayatuhusu..hata wewe una yako...hayo ni yako mwenyewe..kuna ya nuruni..tumeyaona ...tuyaenzi yale mazuri..na yale yasiyo mazuri yawe mwalimu wetu wa kutufunza kuwa watu wema na bora zaidi
Ben kalala...apumzike kwa amani..mwendo ameumaliza..kikomo chake cha kuwa kimefika tamati...msiba wake usitufanye tumsahau mwandani wake ,kipenzi na rafiki mama Anna Mkapa..naye anastahili pole nyingi kuliko marehemu
Anabaki mjane...wajane ni wengi kwakuwa wanaume tunakufa haraka kuliko wao...tuna maisha mafupi kwakuwa sisi tunatoa wao wanapokea
Mama atabaki peke yake..mkiwa na mwenye huzuni..yule rafiki na soulmate wake hatakuwapo tena kuonekana popote..sio chumbani sio sebuleni ..hata akitaka kusema wee Ben uko wapi hataweza tena.
Ni msiba mkubwa zaidi kwakwe kuliko mamia watakaoenda msibani kwa ajili ya show off za ukwasi, urembo umaridadi na umaarufu..ni msiba mkubwa kwakwe kuliko maelfu watakaotuma salam za rambirambi
Ni msiba mkubwa kwakwe kuliko makumi ya wanasiasa watakaoutumia kujipendekeza na kujipitisha huko na huko ili waonekane kwenye camera za waandishi wa habari
Mama yetu Mama Anna Mkapa nachukua nafasi hii kukupa pole nyingi sana...nakuombea kwa Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mwandani wako....
TUKO PAMOJA MAMA JAPO HUTATUONA HAPO MSIBANI..View attachment 1516078
Jr
[/QQUO
I second this...umenena vyema,I wish ningekuwa mkuu wa nchi Hakika ningekusogeza karibu na meza yangu🙏
Hapa ndio maana uwa wanasema usioe mwanamke aliyezaaa labda mwanaume aliyemzalisha awe amekufa na kaburi ulione.
Maumivu yakikuzidi muone daktariWewe mama umeanza umbea wa kwenu mpuuzi wewe! hapa sio mahali pale peleka ktk ukoo wenu huu umbea! pusi wewe!
Hilo SoMo naomba niwepo