HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 607
- 553
Habarini,
Haya mambo ya Umungu mtu ndani ya mahakama yamepitiliza kiasi kwamba watumishi wanafanyiwa mambo ya ajabu hasa kwenye maslahi yao kukatwa ovyo bila ridhaa zao.
Ni hivi majuzi tu Jaji Mfawidhi ambaye aliripoti Kanda ya Sumbawanga alifiwa na mama mkwe wake chakushangaza Hakimu wa Mkoa Rukwa Mh. Saguda(Ex-Police/Msukuma) aliamrisha watumishi wote kukatwa posho zao kwaajili ya rambirambi ya msiba wa mama mkwe wa jaji mfawidhi huyo.
Kwakweli huu ni uonevu mambo ya kuchangia misiba au sherehe ni hiari ya mtu siyo kuchangishwa kwa lazima.
Watumishi hao wamekatwa Tshs. 50,000/= kwa 20,000/= kitu ambacho ni uonevu.
Tunaomba Jaji Mkuu na Waziri husika mkemee haya kwani double standard zimezidi ndani ya idara ya mahakama.