NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 8,516
- 17,425
Mkapa ameenda!japo hayo ya sirini ni sanaa hata sisi wakubwa hatuelewi!!!!Nyerere peke yake ndio anajua kwanini alimshika mkapa mkono hadi uraisi!!!
Umepotea sana mkuuMsiba usikie kwa mwenzako tu.
Pole sana Mama Mkapa.
Public figure wanakuwa na mambo ya sirini tangu lini? Hii mpya kabisaKuna ya sirini kati yao..haya hayatuhusu..hata wewe una yako...hayo ni yako mwenyewe..kuna ya nuruni..tumeyaona ...tuyaenzi yale mazuri..na yale yasiyo mazuri yawe mwalimu wetu wa kutufunza kuwa watu wema na bora zaidi
Jr
On serious note....Ben alinifanya nizidi kukichukia chama na kuzichukia siasa
Jr
Haiye Karui ,kuwanze na Ruwa nakusongoyePamoja na juhudi kubwa za mwanamke kutafuta usawa lakini bado jamii yetu inatawaliwa na mfumo dume.(sijui kama nitaeleweka na wengi)
Benjamin William Mkapa ...Ben ametwaliwa jana kutoka maidha haya...huu ni msiba mzito kwakuwa ndio rais wa tatu wa Tanzania tangu uhuru...Tunamkumbuka kwa mema na mabaya yake..hakuna mkamilifu...lakini mizania ya haki ndio itaamua ni aina gani ya kumbukumbu ametuachia....
Kwenye kila mwanaume mwenye mafanikio nyuma yake kuna mwanamke (japo pia wanawake wengi wamekuwa chanzo cha anguko la wanaume wengi)...mwanamke ni kama moto au kisu..inategemea unatumiaje...!!!!
Mafanikio ya Ben Mkapa RIP mpaka kufikia kuwa rais wa nchi hayawezi kukamilika bila ya kumtaja mkewe pekee wa ndoa takatifu ya kikristo mama Anna Mkapa na mwenyekiti mwanzilishi wa mfuko wa FURSA SAWA KWA WOTE...EOTF..
Ni mama huyu wa shoka ....
Aliyempa mzee faraja kitandani
Aliyemshibisha mezani
Aliyemgh'arisha upenuni
Aliyempa tumaini jipya pale mzee alipochoka na kukata tamaa
Aliyemshika mkono pale mzee alipotaka kuanguka...
Kuna ya sirini kati yao..haya hayatuhusu..hata wewe una yako...hayo ni yako mwenyewe..kuna ya nuruni..tumeyaona ...tuyaenzi yale mazuri..na yale yasiyo mazuri yawe mwalimu wetu wa kutufunza kuwa watu wema na bora zaidi
Ben kalala...apumzike kwa amani..mwendo ameumaliza..kikomo chake cha kuwa kimefika tamati...msiba wake usitufanye tumsahau mwandani wake ,kipenzi na rafiki mama Anna Mkapa..naye anastahili pole nyingi kuliko marehemu
Anabaki mjane...wajane ni wengi kwakuwa wanaume tunakufa haraka kuliko wao...tuna maisha mafupi kwakuwa sisi tunatoa wao wanapokea
Mama atabaki peke yake..mkiwa na mwenye huzuni..yule rafiki na soulmate wake hatakuwapo tena kuonekana popote..sio chumbani sio sebuleni ..hata akitaka kusema wee Ben uko wapi hataweza tena...
Ni msiba mkubwa zaidi kwakwe kuliko mamia watakaoenda msibani kwa ajili ya show off za ukwasi, urembo umaridadi na umaarufu..ni msiba mkubwa kwakwe kuliko maelfu watakaotuma salam za rambirambi
Ni msiba mkubwa kwakwe kuliko makumi ya wanasiasa watakaoutumia kujipendekeza na kujipitisha huko na huko ili waonekane kwenye camera za waandishi wa habari
Mama yetu Mama Anna Mkapa nachukua nafasi hii kukupa pole nyingi sana...nakuombea kwa Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mwandani wako....
TUKO PAMOJA MAMA JAPO HUTATUONA HAPO MSIBANI..View attachment 1516078
Jr
Oyaa acha ukuda !!?Hivi walikkuwa wanaishi wote kumbe!!!!
Nakumbuka lile sakata la marehemu kuvunjika mkono
Kabla marehemu hajazikwa wanaomdai wa wanaodaiwa huitwa kuweka wazi madeni na ikiwezekana yalipwe kabla ya mazishi.Ila kwa utamaduni wetu, kitabu cha mapungufu kwa sasa hatukifunui kabisa. Tujadili kile chenye mazuri.
Siasa ni mbaya kuliko ukahaba
Kabla marehemu hajazikwa wanaomdai wa wanaodaiwa huitwa kuweka wazi madeni na ikiwezekana yalipwe kabla ya mazishi.
Kama wewe ni NGANGARI mimi ni NGUNGURI ..kauli hii ya IGP Mahita chini ya utawala wa Ben ndio ilisababisha mauaji Zanzibar 2001 na kuzalisha wakimbizi kwa mara ya kwanza...Ila kwa utamaduni wetu, kitabu cha mapungufu kwa sasa hatukifunui kabisa. Tujadili kile chenye mazuri.
Siasa ni mbaya kuliko ukahaba
Ilikuwaje??Hivi walikkuwa wanaishi wote kumbe!!!!
Nakumbuka lile sakata la marehemu kuvunjika mkono
Kweli kabisa ndugu Mshana.Kuna ya sirini kati yao..haya hayatuhusu..hata wewe una yako...hayo ni yako mwenyewe..kuna ya nuruni..tumeyaona ...tuyaenzi yale mazuri..na yale yasiyo mazuri yawe mwalimu wetu wa kutufunza kuwa watu wema na bora zaidi
Jr
Sure Mshana yuko vizuri.Mshana Jr una busara Sana nawashangaa waliokushindanisha na popoma mwenye kura Moco.
Umejuaje?,inawezekana wewe ndo ulishindwa kuwaelewa.Kati ya watu ambao hawajawahi kueleweka basi ni Ben na Anna.
Baada ya hapa Wangazija na Wapemba walikimbilia Ulaya na kuomba ukimbizi. Mkapa alitembelea Uingereza waandishi wa habari walimhoji kuhusu watu kukimbia kwa vitisho vya dola, alijibu si kweli na msiwapokee, Tanzania hatuna matatizo.Kama wewe ni NGANGARI mimi ni NGUNGURI ..kauli hii ya IGP Mahita chini ya utawala wa Ben ndio ilisababisha mauaji Zanzibar 2001 na kuzalisha wakimbizi kwa mara ya kwanza...View attachment 1516185