Pole! Iliyozua utata...

Pole! Iliyozua utata...

Nifinyie kwa ndani,adeeededee,ale shush a nchungulie,adeedeedee.🎵🎵🎶🎶🎤
 
Anazeeka vibaya tu huyu mama.........

Kama aliyoeleza hapa yana ukweli basi kwa umri wake hakupaswa kuandika huu upupu kama fumbo angeandika tu kinachoeleweka ili watakaofurahishwa na bandiko lake wachangie kwa mawazo yao.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Kwa maandiko yako nahisi wewe hujawahi kupewa "pole ya puani" katika umri wako. Nikuulize kwanini?
 
Fundo lililozua utata baina yangu na somo yangu takriban miaka 40 iliyopita.

Ilikuwa katika matayarisho ya harusi yangu, shoga'ke kipenzi bibi yangu nae nilimwita bibi, alikuwa ananisiriba manjano mwilini, kunitayarisha bi harusi, huku ananifunda hili na lile.

Akanambia, basi mumeo "anapomaliza" atakuwa hoi, na wewe umpe "pole", tena pole isitokee mdomoni, itokee puani". Nikauliza, pole ya nini?

Jibu halikuja moja kwa moja bali lilianzisha mjadala mrefu baina yangu na somo yangu. Ingekuwa sijamzoea tusingekuwa na mjadala lakini kwa kuwa alikuwa ni mtu wa karibu sana na nikimuita bibi kwa kuamini kabisa naye pia ni bibi yangu, tulikuwa na utani wa ubibi na mjukuu uliopelekea kutohofia kuongea nae chochote, naona hilo ndilo likawa kigezo cha yeye kuwa somo yangu.

Toka siku hiyo na mjadala huo, somo yangu mpaka anakwenda mbele ya haki, kila tukikutana husema, pole, tukawa tumejenga msamiati wa siri ya utata wa malumbano kwa pole ya kutokea puani.

Kabla sijatoa majibu ya malumbano na utata na majibu niliyopewa nawauliza wanajamvi, mwanamke hutoa pole ya nini na mwanamme hupewa pole ya nini baada ya.

Funda nikufunde mwana.

Huu ni usungo[emoji849]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom