Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,256
- 103,667
Ulikuwa unampagawisha huyo hadi anashukuru ki-vice versa.Kuna binti mmoja yeye alikuwa anasema asante
Ulikuwa unampagawisha huyo hadi anashukuru ki-vice versa.Kuna binti mmoja yeye alikuwa anasema asante
Babu ebu tuachie na sisi vijana tupewe pole bana
Hii kitu haina uzee ndugu yangu FaizaFoxy mbona yupo sawa tu na uzi wake. Hii mambo ya pole na kubana pua hayana uzee. Kama unabisha kaulize Kapuya.Anazeeka vibaya tu huyu mama.........
Kama aliyoeleza hapa yana ukweli basi kwa umri wake hakupaswa kuandika huu upupu kama fumbo angeandika tu kinachoeleweka ili watakaofurahishwa na bandiko lake wachangie kwa mawazo yao.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Sasa wewe utatoa pole kwa wangapi kwa siku. Mmoja unaweza mpe pole lakini wakifika 10 sidhani pole kama ni muhimu zaid sana utasikia Nipe changu.
Kwa mgegedo
Mnaosema asante mtakuwa sio magogo, magogo ndio husema pole🤣
Mwenza kwahiyo huwa unamshukuru Kaboom[emoji134][emoji134][emoji134]
Kumbe ndio maana hakauki kwako!!
Be you.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenza kufikishwa kileleni sio jambo dogo kuna watu hawajui hii raha ukiipata unashukuru anaekupa
Sent using Jamii Forums mobile app