Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,401
- 31,659
[emoji23][emoji23][emoji23]Huo wivu umeuanza lini?Hawatakaa wafike wanne mimi ninaondoka
[emoji23][emoji23][emoji23]Huo wivu umeuanza lini?Hawatakaa wafike wanne mimi ninaondoka
😂😂😂 wivu kama wote. Lakini mume ninampenda.[emoji23][emoji23][emoji23]Huo wivu umeuanza lini?
[emoji122][emoji122][emoji122]Hongera sana mwanakwetu, nami ngoja nianze kuitoa hiyo pole ya puani[emoji6]Wewe ndiyo maana bado yupo ingawa tuko damu changa lakini hawezi kusema Sky was Eclat nenda hapana.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Somo alikuwa si wa "mchezo mchezo".
Huwa yanaanguka kama magogo, wanaichezea power ya K hawa.
Ha ha ha haHujaisoma hii...
"anapomaliza" atakuwa hoi, ...
Yaani MKUU Huyu kama hachekeshi group tu la wachangiaji basi hajawahi kuimbishwa, kuongea maneno ambayo hayajui hata maana YakeYaani jamàa kakundamiza na Nkolandoto yake tena vilivyo usitoe pole, basi utakuwa na lako jambo...
Hakika Huyu hajafika kule akifika kule hata huo muda wa kubusu hataupata maana choka Yake Acha kabisa ni zaidi ya mwanammeHuwa wanasema Ahsante,huku akiishika dushe na kuibusu!
Ngoja nirudi nikasome upya.... dah!Nashangaa nyie (wanaume) mmesoma na kuiona "pole" tu ya puani, ile "atakuwa hoi" hamjaiona?
Bado kuna nafasi mbili. Naona kama viatu vyako vinanitosha[emoji23][emoji23][emoji23]Wacha weee