Nimejaribu kuwaza hapa, nmna hiyo huduma yako itakanyofanya kazi. Ukiachana na vikwazo vya BoT, Takukuru, TRA etc.
Changamoto kubwa ni fee, tax na charge
1. Kutoa pesa kuziweka kenye iyo system (huduma yako) paypal watakata [fee + vat + charge]
2. Pesa zikisha fika kwenye system yako, mtu kutoa hizo pesa ziende kwenye mpesa au tigo pesa wewe utakata [fee + vat + charge]
3. Pesa zikifika tigo pesa au mpesa mtu kuzitoa azipate cash mkononi hapa atakatwa tena [fee + vat + charge + kodi ya uzalendo ]
Yani njinsi hizo tozo no kozi zitakanyo kua. ukiwa una elf 10 paypal mpaka uje upokee cash mkononi kwa hiyo system hapi juu utapata elf 4
Sisajua utatumia system gani lkn, mm naona ni changamoto labda utumia mfumo kama wa selcom.
Jisajili kama fintech firm. Tengeneze e wallet.
Mtu aki transfer kutoka paypal ana deposit kwenye e wallet yake (hapa iyo e wallet ipo kwenye mfumo wako) alafu aweze kufanya withdrawal direct kwenye wallet yake kuwe hamna haja ya kutuma kwenda mpesa au tigo pesa. Ukifanya hivi hadi mm nitakua mteja wako
Lkn hayo mambo ya tozo no kodi
aise hapana