Pokea pesa kutoka Paypal kuja M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money

Oct 9, 2021
36
40
Habari zenu wakuu,

Kutokana na Paypal kutoruhusiwa kupokea pesa Tanzania, nafikiria kuanzisha huduma itakayosajiliwa ambayo itawawezesha watanzania kupokea pesa kutoka paypal na kuingia kwenye mitandao ya simu ya Tanzania kama M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money.

Napokea maoni, ushauri na mapendekezo yenu 🙏.

Asanteni.
 
Cost itakuwaje ?

Je itakuwa Cheaper kuliko wengine ? (Payment Gateway Aggregators ni nyingi)

itabidi uingie mikataba na hao providers wote uwapa commission ambayo itakuwa charged kutoka kwa mtumiaji na wewe bado ubaki na faida...., bila kusahau marketing ya nguvu na kuhakikishia watu security...

Kwahio think from a Position of Costs kwa mteja na Profit kwako as well as marketing..., pia jiulize kama kuna GAP bado kubwa paypal used to be a be it end all ila kwa sasa options ni nyingi...

Pia Option hii Kenya ipo na Nadhani ni Safaricom wenyewe wanafanya bila a middleman; kumbuka with more middle men more costs to customer and less profits to you
 
Pole , taifa lako lipo kipindi cha zama za mawe ya zamani acha haya ya sikuhizi yana afadhali.
 
Bora kufungua YouTube na PayPal, kenya /UG au South Africa ..

BOT wanazingiwa sana kwa kweli kutoruhusu paypal kupokea hela ..na hsis gata siku wakiruhusu basi kuitoa kuja tz makato yaatkuwa ni balaa
 
Nimejaribu kuwaza hapa, nmna hiyo huduma yako itakanyofanya kazi. Ukiachana na vikwazo vya BoT, Takukuru, TRA etc.

Changamoto kubwa ni fee, tax na charge

1. Kutoa pesa kuziweka kenye iyo system (huduma yako) paypal watakata [fee + vat + charge]

2. Pesa zikisha fika kwenye system yako, mtu kutoa hizo pesa ziende kwenye mpesa au tigo pesa wewe utakata [fee + vat + charge]

3. Pesa zikifika tigo pesa au mpesa mtu kuzitoa azipate cash mkononi hapa atakatwa tena [fee + vat + charge + kodi ya uzalendo ]

Yani njinsi hizo tozo no kozi zitakanyo kua. ukiwa una elf 10 paypal mpaka uje upokee cash mkononi kwa hiyo system hapi juu utapata elf 4

Sisajua utatumia system gani lkn, mm naona ni changamoto labda utumia mfumo kama wa selcom.

Jisajili kama fintech firm. Tengeneze e wallet.
Mtu aki transfer kutoka paypal ana deposit kwenye e wallet yake (hapa iyo e wallet ipo kwenye mfumo wako) alafu aweze kufanya withdrawal direct kwenye wallet yake kuwe hamna haja ya kutuma kwenda mpesa au tigo pesa. Ukifanya hivi hadi mm nitakua mteja wako

Lkn hayo mambo ya tozo no kodi aise hapana
 
Umetoa wazo zuri tu kwamba jamaa awe na Ewallet mfano then utoe pesa paypal kisha zije kwenye wallet then u withdraw to cash

issue inarudi palepale Paybpal TZ haina option yoyote ya kufanya miamala
 
Umetoa wazo zuri tu kwamba jamaa awe na Ewallet mfano then utoe pesa paypal kisha zije kwenye wallet then u withdraw to cash

issue inarudi palepale Paybpal TZ haina option yoyote ya kufanya miamala
Haja address tatizo bado kwasababu inaelekea hata chanzo cha tatizo hajakijua.
Tatizo ndio hilo paypal TZ hata malipo haipokei. Sasa unahamishaji pesa amnayo hujapokea
 
Tuambie utaihamishaje Tigopesa Mpesa ilihali huna njia ya kupokea hiyo pesa kwenye Paypal.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom