Rejea, post hapo juu ndugu nimesema nafikiria sijasema kama tayari inawezekanaTuambie utaihamishaje Tigopesa Mpesa ilihali huna njia ya kupokea hiyo pesa kwenye Paypal.
Aisee watanzania, hebu rudia kusoma nilichoandika ndugu, nimesema nafikiria kutengeneza sijasema kuwa tayari inawezekanaHaja address tatizo bado kwasababu inaelekea hata chanzo cha tatizo hajakijua.
Tatizo ndio hilo paypal TZ hata malipo haipokei. Sasa unahamishaji pesa amnayo hujapokea
Nafikiria kutengeneza kwahiyo nitafanya juu chini kupata solutionUmetoa wazo zuri tu kwamba jamaa awe na Ewallet mfano then utoe pesa paypal kisha zije kwenye wallet then u withdraw to cash
issue inarudi palepale Paybpal TZ haina option yoyote ya kufanya miamala
Shida ni PayPal wao kama wao kuondoa hiki kitu na ni pale kanuni za miamala zitakapobadilishwa nchi hii.Aisee watanzania, hebu rudia kusoma nilichoandika ndugu, nimesema nafikiria kutengeneza sijasema kuwa tayari inawezekana
Nimejaribu kuwaza hapa, nmna hiyo huduma yako itakanyofanya kazi. Ukiachana na vikwazo vya BoT, Takukuru, TRA etc.
Changamoto kubwa ni fee, tax na charge
1. Kutoa pesa kuziweka kenye iyo system (huduma yako) paypal watakata [fee + vat + charge]
2. Pesa zikisha fika kwenye system yako, mtu kutoa hizo pesa ziende kwenye mpesa au tigo pesa wewe utakata [fee + vat + charge]
3. Pesa zikifika tigo pesa au mpesa mtu kuzitoa azipate cash mkononi hapa atakatwa tena [fee + vat + charge + kodi ya uzalendo ]
Yani njinsi hizo tozo no kozi zitakanyo kua. ukiwa una elf 10 paypal mpaka uje upokee cash mkononi kwa hiyo system hapi juu utapata elf 4
Sisajua utatumia system gani lkn, mm naona ni changamoto labda utumia mfumo kama wa selcom.
Jisajili kama fintech firm. Tengeneze e wallet.
Mtu aki transfer kutoka paypal ana deposit kwenye e wallet yake (hapa iyo e wallet ipo kwenye mfumo wako) alafu aweze kufanya withdrawal direct kwenye wallet yake kuwe hamna haja ya kutuma kwenda mpesa au tigo pesa. Ukifanya hivi hadi mm nitakua mteja wako
Lkn hayo mambo ya tozo no kodi aise hapana
Nitafanya juu chini kupata solutionShida ni PayPal wao kama wao kuondoa hiki kitu na ni pale kanuni za miamala zitakapobadilishwa nchi hii.
Sasa utawezaje kufanya PayPal TZ accounts zipokee pesa kwa kutengeneza mkuu?
All the bestNitafanya juu chini kupata solution
Asante mkuuAll the best
Nafikiria kutengeneza kwahiyo nitafanya juu chini kupata solution
Sawa. Pambana.Rejea, post hapo juu ndugu nimesema nafikiria sijasema kama tayari inawezekana
Kiusalama PayPal wako vzr snUsalama wake unakuwaje?
Ngoja tumuombe mangekimambi atusadie ku push hiliWazo lako ni zuri sn na utakapofanikiwa tu Naomba unitonye mkuu maana binafsi nimeshapigania sn issue ya PayPal bila mafanikio. Kimsingi tuko wengi tu tunaotamani huduma ya PayPal nchini. Kikwazo ni viongozi wetu tuliowachagua wenyewe. Viongozi wa serikali hii hawana uelewa juu ya biashara za mtandaoni. Kwao wao wanaposema suala la fursa kwa vijana wanaangazia zaidi machinga, bodaboda, mama ntilie na biashara ndogondogo za bidhaa za kusindika.
Nirudi kwako, kwa kuanzia Si itabidi awali ya yote uwafikishie wazo lako hili BOT? BOT hii hii ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ambayo miaka yote hii imetugomea kutusikiliza! Aisee watakuelewa kweli?
Labda tuvizie siku Mama anafanya uzinduzi mahali tuwape dili mtu2/3 waende na bango.
Swali atakubali?? Akikubali tu inapita kwa awareness atakayopenyeza kwa hawa mazumbukukuNgoja tumuombe mangekimambi atusadie ku push hili