tigo pesa

  1. chiembe

    Wadau washauri Tigo Pesa ya Inonga ifuatiliwe

    Na mimi naunga mkono, nashani sasa aondolewe kikosini, na mechi zilizobaki asicheze hata moja
  2. Jiwe_

    Tigo Mastercard 💳🤔

    Wana JF, nimelipia Facebook Ads kwa kutumia Tigo Mastercard. Pesa zimetoka tigo pesa kwenda Mastercard sasa kwenye ads naonekana bado nadaiwa, nmewasilia na Tigo Huduma kwa Wateja wananiambia hilo ni tatizo la Mastercard niwapigie directly nmekuwa na walakini kwakua Tigo ndo wananiconnect na...
  3. GENTAMYCINE

    Leo Boss alikuwa anatesti kama bila Tigo Pesa watashinda na kagundua hapana hivyo utamaduni utaendelea kwa Mechi zijazo

    Nje ya Mada tafadhali anayejua Nauli ya kutoka Dar es Salaam kwenda Kagera kupitia Geita aniambie nahitaji kwenda huko hivi karibuni tu. GENTAMYCINE nilikuwa Najiuliza kwanini Marefa hadi Washika Vibendera wa Taifa Moja hivi Afrika ya Mashariki hawapati nafasi ya Kuchezesha Michuano mikubwa na...
  4. FRANCIS DA DON

    Napendekeza kura za uchaguzi mkuu zipigwe kwa kutumia Tigo pesa

    Itakapofika uchaguzi mkuu 2025, mtu aruhusiwe kupiga kura kwa kutumia simu yake ya mkononi kwa kutumia mifumo ya mobile money. Pawekwe kipengele cha kupiga kura kwenye menu, ambapo atachagua Rais, Mbunge, Diwani, kisha atatuma kura yake. Kwa wasio na simu wataenda kwa mawakala kwa kutumia...
  5. GENTAMYCINE

    Mna Siku 4 tu za Kushangilia Ushindi wenu wa Tigo Pesa wa Jana, ila Jumapili mtajuta Kukutana na Mbabe wa Magoli mengi mengi

    Tunataka tutoe Salamu kwa Wydad Casablanca FC na Mitambo yetu yote na Mbinu zetu zote za Kimafia na Kiuchawi tutazijaribia Kwenu Jumapili tarehe 16 April, 2023 kwa Mkapa. Tukiwakosa GENTAMYCINE nahama rasmi Tanzania na kurejea Kwetu Gisenyi nchini Rwanda.
  6. J

    Msaada kuhusu till za Tigo Pesa

    Naomba kuuliza wadau, nawezaje kuangalia tena zile namba za wakala kwenye till yangu ya tigo pesa kama nimezisahau? Naombeni msaada
  7. MOSHI UFUNDI

    Nauza laini ya uwakala ya Tigo pesa

    Nauza laini ya uwakala ya Tigo pesa Bei elfu 50 (50,000/=)
  8. agudev

    Kuweza kutumia line moja ya wakala kwenye simu zaidi ya moja

    Habari za muda huu wadau, kama kichwa kinavyojieleza, nataka kujua iwapo kama kuna namna ya kutumia akaunti moja ya uwakala wa simu mf. Tigo Pesa, M pesa, Airtel Money n.k na kuweza kutumia kwenye simu zaidi ya moja. Kwa sasa ninavyoelewa kwenye upande uwakala lazima line iwe imechomekwa...
  9. GENTAMYCINE

    Kwanini wana Yanga SC na Uongozi wao haujakanusha kauli ya shabiki mwenzao kuwa ushindi wao NBC ni wa Tigo Pesa tu?

    Nimeshashuhudia wana Yanga SC wakijitokeza kwa nguvu zote kutetea kauli za kuwachafua na kuwatuhumu ila kwa hii ya mmoja wa shabiki na mwanachama wao hivi majuzi baada ya kutoka Suluhu na Club Africaine ya nchini Tunisia kusema kuwa Unbeaten Record yao na ushindi wao katika Ligi Kuu ya NBC ya...
  10. tang'ana

    Tigo pesa ina shida gani leo?

    Toka saa 11 alfajiri nataka kumtumia mtu pesa kupitia number yangu ya simu lakini kila nikijaribu naambiwa connection error. Kuna mwingine amekutana na hiyo changamoto au ni simu yangu ndio ina tatizo?
  11. Jamii Opportunities

    Head of Pricing, CVM and Business Analytics – MTMSL (Tigo Pesa) at Tigo

    Job Title: Head of Pricing, CVM and Business Analytics – MTMSL (Tigo Pesa) Job Description You drive adoption, penetration and ARPU of customers across all segments, products and services to ensure MTMSL meets its targets by designing and implementing strategies and initiatives that will help...
  12. Jamii Opportunities

    Commercial Manager – MTMSL (Tigo Pesa) at Tigo

    Job Title: Commercial Manager – MTMSL (Tigo Pesa) Job Description You are responsible for revenue budget achievement, product development, portfolio management, pricing and segmentation as well as to provision of business analytics for the tigo pesa corporate business decisions...
  13. Teko Modise

    Huduma za Tigo pesa sasa zinapatikana kwenye Zantel

    Baada ya tigo na zante kuungana, sasa huduma za tigopesa zinapatikana kwenye zantel. Yaani iko hivi, wewe kama mteja wa Zantel unaweza kuweka na kutoa hela kupitia wakala wa TigoPesa. Hivyo, ukiwa Zantel yako unapata huduma za tigo pesa bila ongezeko la gharama yoyote ile.
  14. Mdadamwema.

    Mwongozo wa uwakala wa M-pesa na Tigo pesa

    Salaam kwenu wakuu, ninaomba mwongozo wa namna ya kupata uwakala wa mpesa na tigo pesa.
  15. YoyoTheDeveloper

    Pokea pesa kutoka Paypal kuja M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money

    Habari zenu wakuu, Kutokana na Paypal kutoruhusiwa kupokea pesa Tanzania, nafikiria kuanzisha huduma itakayosajiliwa ambayo itawawezesha watanzania kupokea pesa kutoka paypal na kuingia kwenye mitandao ya simu ya Tanzania kama M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money. Napokea maoni, ushauri na...
  16. rich1

    Makato yameanza kwa wanaolipia kwa Tigo Pesa

    Kwema wandugu, Naona Tigo wameanza kukata kwa wale wanaotumia lipa kwa simu kupitia TIGO PESA. Kuweni makini.
  17. D

    Kwanini wakala wa Tigo Pesa, M-pesa, Airtel Money hawataki pesa itolewe na mtu wa mbali?

    Tangu ongezeko la tozo kwa mitandao ya simu, mawakala wengi hususani Tigo Pesa na M Pesa wamekua wakigoma mtu kutoa pesa akiwa nje ya eneo la ofisi zao. Jamaa yangu alikua anataka kunitumia pesa akashauri niende kwa wakala ili atoe hapo na nichukue pesa. Wakala akakataa kwa hoja mtoaji yupo...
  18. Red Giant

    Mpesa inakataa kutuma pesa tigo pesa, TCRA waangalieni hawa voda.

    Siku nyingi. Nikijaribu kutuma pesa kutoka Mpesa kwenda Tigopesa inakataa. Inarudiarudia kusema niweke namba ya siri hata mara kumi. Nahisi Voda wanafanya hili makusudi, labda wana bifu na Tigo. Maana hata kununua airtime tigo kwa kutumia Mpesa haiwezekani. Kama wana bifu, basi linatukwamisha...
  19. rich1

    Napataje laini za Lipa kwa M-Pesa au Tigo Pesa?

    Kwema ndugu, Naombeni utaratibu wa kupata hizi lain za lipa hapa kwa M-Ppesa au Tigo Pesa.
  20. Thailand

    SoC01 M-pesa Kibubu, Tigo Pesa Kibubu n.k: Njia nyepesi ya kuweka akiba kwa wananchi

    Habari ndugu! Imekuwepo changamoto kubwa kwa watu kupata pesa toshelevu kwa ajili ya kuendeleza shughuli zao za maendeleo. Hii inatokana na ugumu wa maisha unaozikumba familia nyingi hivyo kila kiasi kidogo kinachopatikana kinaishia katika manunuzi ya maitaji ya muhimu kama chakula na kulipa...
Back
Top Bottom