YoyoTheDeveloper
Member
- Oct 9, 2021
- 36
- 40
Habari zenu wakuu,
Kutokana na Paypal kutoruhusiwa kupokea pesa Tanzania, nafikiria kuanzisha huduma itakayosajiliwa ambayo itawawezesha watanzania kupokea pesa kutoka paypal na kuingia kwenye mitandao ya simu ya Tanzania kama M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money.
Napokea maoni, ushauri na mapendekezo yenu 🙏.
Asanteni.