Pogba autamani Umaskini

Pogba autamani Umaskini

Clayton Paul

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
2,130
Reaction score
4,390
FB_IMG_16946315293814076.jpg

Kifo Cha Mpira wa Pogba kinachodhaminiwa na nduguze kikaribu kuja.
Kipindi wewe unapambana Hadi kuroga upate pesa wenzako wanatamani kuzikosa maana zinawaletea shida na matatizo kila uchao.

Ndugu wamekuwa sababu ya Labile Paul Pogba kutamani kuwa masikini na asijuane na pesa.
 
Black skin tunalaana wallah Sio za Africa Europe au USA Wote tunamatatzo sijui alietupa hii laana alikua na dhamira gani haswa
 
Msimlaumu kwakuwa hamjawahi kuwa nazo hizo hela,wazungu waliposema more money more problem sio kwamba hawajui,pesa kwa watu wengi sana zimewafanya watu kuyakumbuka maisha ya furaha na amani walipokuwa watu wa kawaida(sio ufukara)kuliko kuwa na mabilioni ya hela na kuishi kwa mateso ya kukosa amani.Tafuta hela ndugu ukishakuwa nazo utatupa mrejesho....
 
Edison Cavani: "It's very difficult to give up your freedom, because as a football player you're always on the bus, in a hotel, plane or stadium. I miss being a kid and have freedom of no commitment or responsibilities. People think that being famous or having money is the most important thing, it's not. Successful people are those who live with freedom, who live their lives with their fully with their loved ones.
 
Lakn hajasema hataki tena pesa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom