Ipo barabara ya moja kwa moja kwa kutumia Gari mpaka kiwanja kilipo?, Hiyo barabara ina ukubwa wa kuweza magari mawili kupishana? Barabara jirani za kuzunguka huo mtaa zina sehemu rasmi za kuingilia na kutoka?
Umesema kiwanja kimepimwa una approved survey plan ya hapo?