Je, unatafuta nyumba yenye eneo kubwa na fursa ya kuikamilisha kulingana na mahitaji yako?
Hii ndiyo nafasi yako
Eneo: Mbezi Beach
Ujenzi umekamilika kwa 80%
Ukubwa wa kiwanja: Square mita 1,400
Bei: TSh 600,000,000 (Mazungumzo yapo)
Usikose fursa hii ya kupata nyumba katika eneo lenye...