Please! Please! Please CHADEMA nawaomba mkubali matokeo Igunga

Cdm ndio chama cha wavuta bange
Haswaa hawa jamaa noma sijui wanavuta bangi ya wapi, si MASONY, SI MDENDE SI SUALA , afadhali kidogo KG na MSITU ni wastaarabu. mimi ningekuwa na uwezo ningewashauri KG na MSTU wakaanzisha chama cha Wastaarabu
 
Cdm wana tabia za usimba na uyanga. Always hawakosi VISINGIZIO pale wanaposhindwa. Leo hii simba or yanga hata wakicheza na Barcelona wakifungwa utasikia oh kocha mbovu,mabeki waliongwa,waamuzi walipendelea,walitulaza njaa et cetera!! The same like cdm,wakishindwa visingizio kibao vya kitoto na vya kiuchokozi! Mara oh ccm wameiba kura,mawakala wetu waliongwa,maboksi ya kura yameingizwa,wapiga kura kutoka nje waliongwa,kompyuta zimechakachua,crap crap crap et cetera! Mfano uchaguzi mkuu uliopita ccm walipata wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 170 and cdm walipata kama 20 hivi, then wanasema eti kura za uraisi walishinda!!! What a crap!! Hata kichaa ukimpa hizo statistics then ukimwambia eti cdm ilishinda urais atakuona wewe ni kichaa zaidi yake!!RAIS ANA WABUNGE 20!!! KWA HALI ILIVYO IGUNGA NOW NO WAY CHADEMA WANAWEZA KUSHINDA,NO WAY!! Nawaomba sana cdm wakubali matokeo next week baada ya kukamuliwa na waache visingizio vyao vya kitoto vya Yanga na Simba.
Unajua hawa jamaa bwana hiyo sasa ndo silaha yao kubwa iliyobaki, kujenga mazingira ya kukataa matokeo na nadahani hato ni matokeo ya kushindwa siasa. Look here , Hakuna kulala mpaka kieleweke, ccm ni wezi wa kura, sasa wamekwenda mbali wanafanya matukio wanasema ni CCM wenyewe, Watambue kuwa kuna "THE HAGUE" Huyu jamaa yao analipa fadhila za kulipwa milioni 12 kwa mwezi kwa propaganda chafu hata mbele za sir God
 
............ ccm ni wezi wa kura......
Mbowe ameshakataa kwenye mikutano yake yote ya kuwanadi wagombea udiwani wa CDM kwamba CCM huwa wanaiba kura. Amesema hakuna kura zinazoibiwa ila wagombea huzembea kusimamia upigaji kura. Sasa hii dhana ya kusema CCM wanaiba kura inatoka wapi wakati mwenyekiti wetu wa taifa keshasema CCM hawaibi kura?

Labda tuwe hatumuamini Mwenyekiti wetu katika hili la CCM kuiba kura.
 
Hilo ndio tatizo la cdm,mbowe akisema kitu hata kiwe cha kinafiki and uwongo mnamkubalia na kuufyata
Mbowe ameshakataa kwenye mikutano yake yote ya kuwanadi wagombea udiwani wa CDM kwamba CCM huwa wanaiba kura. Amesema hakuna kura zinazoibiwa ila wagombea huzembea kusimamia upigaji kura. Sasa hii dhana ya kusema CCM wanaiba kura inatoka wapi wakati mwenyekiti wetu wa taifa keshasema CCM hawaibi kura?

Labda tuwe hatumuamini Mwenyekiti wetu katika hili la CCM kuiba kura.
 
Kweli mzee hawa jamaa ni wachonganishi and waongo sana! Me nashangaa huyo slaa upadre aliupata vipi wakati ni mwongo wa mchana kweupe
Unajua hawa jamaa bwana hiyo sasa ndo silaha yao kubwa iliyobaki, kujenga mazingira ya kukataa matokeo na nadahani hato ni matokeo ya kushindwa siasa. Look here , Hakuna kulala mpaka kieleweke, ccm ni wezi wa kura, sasa wamekwenda mbali wanafanya matukio wanasema ni CCM wenyewe, Watambue kuwa kuna "THE HAGUE" Huyu jamaa yao analipa fadhila za kulipwa milioni 12 kwa mwezi kwa propaganda chafu hata mbele za sir God
 
cdm wana tabia za usimba na uyanga. Always hawakosi visingizio pale wanaposhindwa. Leo hii simba or yanga hata wakicheza na barcelona wakifungwa utasikia oh kocha mbovu,mabeki waliongwa,waamuzi walipendelea,walitulaza njaa et cetera!! The same like cdm,wakishindwa visingizio kibao vya kitoto na vya kiuchokozi! Mara oh ccm wameiba kura,mawakala wetu waliongwa,maboksi ya kura yameingizwa,wapiga kura kutoka nje waliongwa,kompyuta zimechakachua,crap crap crap et cetera! Mfano uchaguzi mkuu uliopita ccm walipata wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 170 and cdm walipata kama 20 hivi, then wanasema eti kura za uraisi walishinda!!! What a crap!! Hata kichaa ukimpa hizo statistics then ukimwambia eti cdm ilishinda urais atakuona wewe ni kichaa zaidi yake!!rais ana wabunge 20!!! Kwa hali ilivyo igunga now no way chadema wanaweza kushinda,no way!! Nawaomba sana cdm wakubali matokeo next week baada ya kukamuliwa na waache visingizio vyao vya kitoto vya yanga na simba.

umeonaa eehee naipenda tz?asante mzee mwanakijiji kwa ku like thread kumbe penye ukweli unakubali..
 
Wewe ndo umepotea kabisa! Huko kenya tofauti ya wabunge ilikuwa ni 150 kama ccm na cdm?

Kazi kweli kweli na wazazi wamekulipia ada eti uwende shule ili uje upotoshe wadaganyika vizuri kama nyinyiem,thithiem.
PNU vs ODM nani mpaka leo ana wabunge wengi bungeni na raisi ni nani?Dont be min in reasoning.
 
Cdm wana tabia za usimba na uyanga. Always hawakosi VISINGIZIO pale wanaposhindwa. Leo hii simba or yanga hata wakicheza na Barcelona wakifungwa utasikia oh kocha mbovu,mabeki waliongwa,waamuzi walipendelea,walitulaza njaa et cetera!! The same like cdm,wakishindwa visingizio kibao vya kitoto na vya kiuchokozi! Mara oh ccm wameiba kura,mawakala wetu waliongwa,maboksi ya kura yameingizwa,wapiga kura kutoka nje waliongwa,kompyuta zimechakachua,crap crap crap et cetera! Mfano uchaguzi mkuu uliopita ccm walipata wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 170 and cdm walipata kama 20 hivi, then wanasema eti kura za uraisi walishinda!!! What a crap!! Hata kichaa ukimpa hizo statistics then ukimwambia eti cdm ilishinda urais atakuona wewe ni kichaa zaidi yake!!RAIS ANA WABUNGE 20!!! KWA HALI ILIVYO IGUNGA NOW NO WAY CHADEMA WANAWEZA KUSHINDA,NO WAY!! Nawaomba sana cdm wakubali matokeo next week baada ya kukamuliwa na waache visingizio vyao vya kitoto vya Yanga na Simba.

Pumba hizo
 
Wewe jamaa huelewi!! Me nazungumzia tofauti ya idadi ya wabunge,ccm wamewazidi cdm kwa idadi kubwa sana. Tofautisha na huko kenya ambapo tofauti yao ni ndogo sana. May be cdm wangekuwa hata na theluthi 1 ya wabunge wangeweza kuwa na power flan! Siyo kenya tu,hata america Democrats wana wawakilishi wachache dhidi ya Republicans but Obama ni rais,ila tofauti ya idadi ni ndogo mno kulinganisha na hii 150
Kazi kweli kweli na wazazi wamekulipia ada eti uwende shule ili uje upotoshe wadaganyika vizuri kama nyinyiem,thithiem.
PNU vs ODM nani mpaka leo ana wabunge wengi bungeni na raisi ni nani?Dont be min in reasoning.
 
cdm wana tabia za usimba na uyanga. Always hawakosi visingizio pale wanaposhindwa. Leo hii simba or yanga hata wakicheza na barcelona wakifungwa utasikia oh kocha mbovu,mabeki waliongwa,waamuzi walipendelea,walitulaza njaa et cetera!! The same like cdm,wakishindwa visingizio kibao vya kitoto na vya kiuchokozi! Mara oh ccm wameiba kura,mawakala wetu waliongwa,maboksi ya kura yameingizwa,wapiga kura kutoka nje waliongwa,kompyuta zimechakachua,crap crap crap et cetera! Mfano uchaguzi mkuu uliopita ccm walipata wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 170 and cdm walipata kama 20 hivi, then wanasema eti kura za uraisi walishinda!!! What a crap!! Hata kichaa ukimpa hizo statistics then ukimwambia eti cdm ilishinda urais atakuona wewe ni kichaa zaidi yake!!rais ana wabunge 20!!! Kwa hali ilivyo igunga now no way chadema wanaweza kushinda,no way!! Nawaomba sana cdm wakubali matokeo next week baada ya kukamuliwa na waache visingizio vyao vya kitoto vya yanga na simba.

hivi una habari kama wakuu wa wilaya walioharibu uchaguzi wamepandishwa vyeo na kuwa wakuu wa mikoa? Angalia mkuu wa wilaya ya karagwe, sasa ni mkuu wa mkoa bukoba. Amepewa pongezi kwa kumtangaza mbunge wa ccm chini ya ulinzi wa polisi wajinga
 
Nawaomba mkubali matokeo cdm! Visingizio vyenu vya kitoto watz wapenda amani tumevichoka
Kwa hiyo wewe matokeo umeshayafahamu tayari? Na kwa nini usiwaambie magamba wakubali kwamba wananchi hawawtaki na waache uchakachuaji??
 
Bila kuwa na usawa kwenye uwanja wa uchaguzi ni lazima malalamiko yawepo penda usipende. Kwa mfano jana Magufuli wakati akimnadi mgombea wa ccm aliahidi kujenga madaraja muhimu ndani ya Igunga kuanzia Novemba mwaka huu kwa sharti kama atateuliwa mgombea wa ccm. Je unapoona Waziri mzima anatoa rushwa ya ahadi kama hii, mtu makini ni lazima ulalamike! Tafakari.

Vp na nyie mkishindwa mtakubali matokeo au ndo mtaenda mahakani kama akina Hawa Ng'humbi na Batilda??
 
Imekuwa desturi sasa kwa Magwanda kukataa matokeo kwa kisingizio cha ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi. Hii imekuwa ikileta matatizo mengi sana hasa katika majimbo husika. Hali kama hii tusingependa itokee kesho kwani serikali imejitahidi sana kuweka kila kitu katika hali ya uwazi na ukweli. Kwakweli magwanda mkikataa matokeo ya uchaguzi wa Igunga mtakuwa mna lenu jambo
 
Ninajua tu ndiyo kitakachotokea kesho
Hauna cha kuandika nini? Tutolee pumba zako hapa, kweli nimeamini umetumwa mwita25 una majina mengi ili uendelee kuchafua hali ya hawa kwa masabuli yako.

.
 
Hakuna siku ngumu na chungu katika maisha ya Kashindye, kama Jumapili jioni baada ya wananchi wa Igunga kufanya maamuzi.

Kwanza hawezi kusaini matokeo ya uchaguzi wa Igunga lazima atasema wameibiwa kura.
Dr Slaa, kaishasema tutaibiwa kura kabla hata ya uchaguzi wewe unategemea nini si Pro-CDM JF hiyo lazima itakuwa kauli mbiu yao
 
Imekuwa desturi sasa kwa Magwanda kukataa matokeo kwa kisingizio cha ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi. Hii imekuwa ikileta matatizo mengi sana hasa katika majimbo husika. Hali kama hii tusingependa itokee kesho kwani serikali imejitahidi sana kuweka kila kitu katika hali ya uwazi na ukweli. Kwakweli magwanda mkikataa matokeo ya uchaguzi wa Igunga mtakuwa mna lenu jambo
Unachekesha!tangu lini mtu akashinda alafu akakataa matokeo
 
Back
Top Bottom