Please! Please! Please CHADEMA nawaomba mkubali matokeo Igunga

Please! Please! Please CHADEMA nawaomba mkubali matokeo Igunga

Amekiri???!! Mbona kaenda kupiga kampeni igunga? Hapo ndipo ujue ccm wapo more than stable
Wewe Mwana CCM acha ushamba wako. Unatetea chema chenye siasa uchwara ambacho Mbunge wa Igunga wa zamani alikiri.Unatakiwa kubadilika.
 
Acheni visingizio vya kitoto!! Kwanza cdm hawatapata kura ya muislamu hata 1,wanazuoni wa kiislamu wameshatamka

Mkuu, hoja yako ilikuwa nzuri sana ingawaje hukuiweka ki-proffesional, na hapa ndo umezidi kuiharibu zaidi!!! Hata mimi siwezi kuichagua cdm kutokana na vile wanavyoendesha siasa zao!! Hata hivyo si kwamba siwezi kuwachagua kv tu mimi ni muislamu bali staili yao haina mvuto kwangu!!! Naunga mkono hoja kwamba cdm wakubali matokeo kwani hata nami sioni ni namna gani wanaweza kutwaa jimbo hilo!!!
 
All in all tukubali ccm ni wezi wa kura na ndio wanaopandikiza udini na ukabila ambao ni usaliti mkubwa kwa mwalimu nyerere, nilikua sitegemei usaliti kama huo kufanywana na chama alichokua nyerere ila imetokea ivo, masiki tz amani tuliyoa achiwa na mwasisi wa chama inapotelea mikononi mwa chama hichohicho

There is one thing watanzania hawajui, mkulu ni mpinzani mkubwa wa fikra za Nyerere na ameamua makusudi kupingana na Nyerere kwenye hili swala la udini kwa kuamua kupandikiza udini TZ.

He has an Anti Christ like spirit operating in him.
 
Excuses ni mbaya sana! Mtu ambaye kila anaposhindwa basi ana kisingizio huwa hafanikiwi

Umenena vyema kuwa CCM walishinda viti vya ubunge 170 na CDM viti 20 sawa, je kati ya hivyo viti 170 CDM walilalamika kuibiwa kwenye majimbo mangapi? Kuhusu kura za urais kamuulize mstaafu Lweis makame atakuambia kama kweli JK alishinda kwa idadi iliyotangazwa. Kutiwa hatiani sio lazima ukamatwe readhanded, hata mazingira tu yanatosha kukutia hatiani, mazingira ya ujumlishaji na utangazji kura za urais yanatosha kabisa kwa mwenye akili timamu kujua kura ziliibiwa. Igunga tutakubali kama tu uchaguzi utakuwa huru na haki, maana sio tu haki itendeke lakini pia ionekane kutendeka!
 
Cdm wana tabia za usimba na uyanga. Always hawakosi VISINGIZIO pale wanaposhindwa. Leo hii simba or yanga hata wakicheza na Barcelona wakifungwa utasikia oh kocha mbovu,mabeki waliongwa,waamuzi walipendelea,walitulaza njaa et cetera!! The same like cdm,wakishindwa visingizio kibao vya kitoto na vya kiuchokozi! Mara oh ccm wameiba kura,mawakala wetu waliongwa,maboksi ya kura yameingizwa,wapiga kura kutoka nje waliongwa,kompyuta zimechakachua,crap crap crap et cetera! Mfano uchaguzi mkuu uliopita ccm walipata wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 170 and cdm walipata kama 20 hivi, then wanasema eti kura za uraisi walishinda!!! What a crap!! Hata kichaa ukimpa hizo statistics then ukimwambia eti cdm ilishinda urais atakuona wewe ni kichaa zaidi yake!!RAIS ANA WABUNGE 20!!! KWA HALI ILIVYO IGUNGA NOW NO WAY CHADEMA WANAWEZA KUSHINDA,NO WAY!! Nawaomba sana cdm wakubali matokeo next week baada ya kukamuliwa na waache visingizio vyao vya kitoto vya Yanga na Simba.

Wewe huko duniani gaaaniii?KENYA 2008 PNU VS ODM chama gani kilikuwa na wabunge wengi tena wakuchaguliwa na nani alitangazwa kuwa mshindi wa urais?Dont be a miser in thinking!!
 
Naipendatz.
Usijali, hata kama hawatokubali. Hawana cha kufanya zaidi ya kulalamika, kususa na kuandamana ambayo ni silaha yao kubwa which has no effect though.
Maneno yao ni "hapatokalika, patachimbika, mpaka kieleweke nk" hawajawahi kumaanisha na hawatokaa wamaanishe kwa sababu tanzania ina nguvu kushinda viongozi walafi.
Nimeipenda mada yako. Wako hivyo, wazoee.
The King...
 
Mwambie aliyekutuma kuwa, huo mpango wake wa kuiba kura utamgharimu yeye na ukoo wake. Dhuluma hii siyo nzuri anaweka laana kwenye ukoo wake na kizazi chake.
iikyo na loi.
 
Huyu jamaa angejua majibu yatakayowekwa asingeweka hili bandiko.
 
Wewe ndo umepotea kabisa! Huko kenya tofauti ya wabunge ilikuwa ni 150 kama ccm na cdm?
Wewe huko duniani gaaaniii?KENYA 2008 PNU VS ODM chama gani kilikuwa na wabunge wengi tena wakuchaguliwa na nani alitangazwa kuwa mshindi wa urais?Dont be a miser in thinking!!
 
JF imekuwa very dilluted lately, utafikiri Facebook. Hapo nyuma you say something kwa hoja zilizoshiba na watu wanakupinga au kukusupport kwa hoja zilizoenda shule. This forum used to be a learning platform.

Kwa sasa ni ushabiki tu na hoja nyepesi nyepesi, its a pity really!!
 
Cdm wana tabia za usimba na uyanga. Always hawakosi VISINGIZIO pale wanaposhindwa. Leo hii simba or yanga hata wakicheza na Barcelona wakifungwa utasikia oh kocha mbovu,mabeki waliongwa,waamuzi walipendelea,walitulaza njaa et cetera!! The same like cdm,wakishindwa visingizio kibao vya kitoto na vya kiuchokozi! Mara oh ccm wameiba kura,mawakala wetu waliongwa,maboksi ya kura yameingizwa,wapiga kura kutoka nje waliongwa,kompyuta zimechakachua,crap crap crap et cetera! Mfano uchaguzi mkuu uliopita ccm walipata wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 170 and cdm walipata kama 20 hivi, then wanasema eti kura za uraisi walishinda!!! What a crap!! Hata kichaa ukimpa hizo statistics then ukimwambia eti cdm ilishinda urais atakuona wewe ni kichaa zaidi yake!!RAIS ANA WABUNGE 20!!! KWA HALI ILIVYO IGUNGA NOW NO WAY CHADEMA WANAWEZA KUSHINDA,NO WAY!! Nawaomba sana cdm wakubali matokeo next week baada ya kukamuliwa na waache visingizio vyao vya kitoto vya Yanga na Simba.
Kwani matokeo yashatangazwa na ikaonekana tayari wameshashindwa natume ya uchaguzi imeshatangaza hamna uchaguzi?
 
Huu upuuzi kwani ni CDM pekee ndo inapashwa kushauriwa kukubali matokeo? Mbona hajasema wanzake CUF ? Mbona mnamzunguka badala ya kusema live. Huyu anatusumbua na uCUF wake.

Hebu tujihesabu hata kwenye hii thread tujue wangapi tungekua igunga tarehe 2 tungechagua nini CUF , CDM au CCM halafu watupe majibu hawa vijana wa chama cha waenda kwa miguu. Nasikia na wao leo eti wanataka kutumia chopa!

Nakumbuka 1995 huko kwetu mgombea wa ubunge wa CUF alikuwa akifanya kampeni za kimasikini sana kwa kutembea kwa mguu kijiji hadi kijiji.
Baado ya hapo ikawa kila mtu ukionekena unatembea kwa mguu safari ndefu kidogo wanankutania unaenda mwendo wa CUF.Kipindi hicho CUF ilikuwa ni ya wazee wa kwenye gahawa na siku hizi wengi walishafariki hivyo ilishafutika kabisa siku hizi.
 
Matusi ya nini sasa chademas?? Halafu wewe ni kiongozi mkubwa tu wa chama,jiheshimu bana!! Mods watu kama hawa wanawaangalia tu,hapo angekuwa ni mwita25,ritz,rejao et cetera wangekuwa banned already

Kumbe lengo lako watu wale bann kama nduguyo mwita25 umechemsha ndugu. Waambie ndugu zako magamba ndo wakubali matokeo, mmezoea kuchakachua safari hii moto utawaka wape ujumbe kama wamekutuma utupooze mmechemsha this tim.
 
shida tupu....

huyo anayejiita naipendatz naomba ani-pm tujadiliane kidogo...
 
na lazima kitaeleweka mmezoea kuiba kura, ibeni na hapa igunga tuone, ni lazima pachimbike msijeleta huo wizi wenu hapa.

hivyo vijimkwara tu hamna lolote CDM tumewazoea tatizo lenu mnashindwa kusoma alama za nyakati!
 
kwa nini mtanzania usivite bangi za tanzania kama ile ya tarime au mererani, hizi za nje ni mbaya sana matokeo yake ni haya unaandika upuuuz.

Subiri matokeo ya igunga yatoke then huu unaouita upuuzi ndio mtakaoufanya CDM zenu kulalamika tu hamna lolote.
Upuuz ni huu mnaoufanya humu JF kuhamasisha wakristo nao wachague CDM ili kujibu Bakwata,mnachokifanya ndio upuuz na mnaonesha ni jinsi gani mnavyotumia masaburi kufikiri!
 
Naomba nieleweke, ushindi wa ccm unategemea nguvu ya dola na pesa. Nipo igunga mtaa wa masanga naona jinsi pesa inavo mwagwa!. Ova
 
Cdm wana tabia za usimba na uyanga. Always hawakosi VISINGIZIO pale wanaposhindwa. Leo hii simba or yanga hata wakicheza na Barcelona wakifungwa utasikia oh kocha mbovu,mabeki waliongwa,waamuzi walipendelea,walitulaza njaa et cetera!! The same like cdm,wakishindwa visingizio kibao vya kitoto na vya kiuchokozi! Mara oh ccm wameiba kura,mawakala wetu waliongwa,maboksi ya kura yameingizwa,wapiga kura kutoka nje waliongwa,kompyuta zimechakachua,crap crap crap et cetera! Mfano uchaguzi mkuu uliopita ccm walipata wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 170 and cdm walipata kama 20 hivi, then wanasema eti kura za uraisi walishinda!!! What a crap!! Hata kichaa ukimpa hizo statistics then ukimwambia eti cdm ilishinda urais atakuona wewe ni kichaa zaidi yake!!RAIS ANA WABUNGE 20!!! KWA HALI ILIVYO IGUNGA NOW NO WAY CHADEMA WANAWEZA KUSHINDA,NO WAY!! Nawaomba sana cdm wakubali matokeo next week baada ya kukamuliwa na waache visingizio vyao vya kitoto vya Yanga na Simba.

Wewe unamatokeo tayari? Mambo ya mpira na uchaguzi wa kisiasa na vitu viwili tofauti kabisa.
 
Back
Top Bottom