Please! Please! Please CHADEMA nawaomba mkubali matokeo Igunga

Ninajua tu ndiyo kitakachotokea kesho

Huu ni ushahidi kuwa CCM mumeshapanga matokeo kabla ya uchaguzi haujafanyika. Za mwizi ni arobaini,na arobaini ya majambazi CCM ni kesho tarehe 2/10/2011. Kauli yako mwita 25 inalingana na kauli aliyotoa Gen. Shimbo kabla ya uchaguzi mkuu wa 2010, asante kwa taarifa hii ya ki intelejisia na tunaifanyia kazi
 
Tunashukuru CDM kuwa wamepeleka watu wao kulinda kura Igunga!
Hatutaki tena kusikia malalamiko kuwa tumeibiwa kura
 
januari 'magamba' anadai kuwa CDM wameleta mamluki wasiopungua 1200 kuja kupiga kura igunga, yaani it's very funny and illogical, hao watu watapataje ukaazi wa igunga na kuwemo kwenye orodha ya wapiga kura wa igunga kwa muda mfupi hivyo! it seems ccm wanaandaa mazingira batili ya kupinga matokeo na kuanzisha vurugu.
 
Hakuna siku ngumu na chungu katika maisha ya Kashindye, kama Jumapili jioni baada ya wananchi wa Igunga kufanya maamuzi.

Kwanza hawezi kusaini matokeo ya uchaguzi wa Igunga lazima atasema wameibiwa kura.
Dr Slaa, kaishasema tutaibiwa kura kabla hata ya uchaguzi wewe unategemea nini si Pro-CDM JF hiyo lazima itakuwa kauli mbiu yao

umekimbilia JF kabla hata ya kupiga mswaki? Loh kweli njaa mbaya
 
Imekuwa desturi sasa kwa Magwanda kukataa matokeo kwa kisingizio cha ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi. Hii imekuwa ikileta matatizo mengi sana hasa katika majimbo husika. Hali kama hii tusingependa itokee kesho kwani serikali imejitahidi sana kuweka kila kitu katika hali ya uwazi na ukweli. Kwakweli magwanda mkikataa matokeo ya uchaguzi wa Igunga mtakuwa mna lenu jambo

Uki arrange jina la mtoa mada utapata Jina MWITA.
Na Hiyo 52 ni kinyume cha 25.
Kwa hiyo mada imetolewa na MWITA25 ambaye anajulikana kwa Ukilaza wake humu jamvini,haitakuwa busara kuendelea kujadili mada ya kilaza huyu wa Magamba.
 
Imekuwa desturi sasa kwa Magwanda kukataa matokeo kwa kisingizio cha ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi. Hii imekuwa ikileta matatizo mengi sana hasa katika majimbo husika. Hali kama hii tusingependa itokee kesho kwani serikali imejitahidi sana kuweka kila kitu katika hali ya uwazi na ukweli. Kwakweli magwanda mkikataa matokeo ya uchaguzi wa Igunga mtakuwa mna lenu jambo

toa shanga zako hapa! matokeo bado!
 
Hakuna haja ya kujadili hoja hewa za mwita25. Huyu masaburi ndiye anayeharibu JF kwa kuwa na ID mia.
 
CDM matokeo mtasikilizia Shelui baada ya kupata hali halisi toka kwa waangalizi wenu, KIUKWELI Igunga wananchi hawataki magwanda kwani yanaleta hofu mitaani!
 
Hauna cha kuandika nini? Tutolee pumba zako hapa.

Haihitaji kuwa na shahada kujua nani ataibuka mshindi kesho! CDM Igunga ina umri wa miezi miwili, unategemea ushindi utoke wapi? Igunga CDM inafukuzia kura za CUF, wana Igunga wamekataa kudanganywa na vyama vya MSIMU wa uchaguzi jimboni mwao.
 
Imekuwa desturi sasa kwa Magwanda kukataa matokeo kwa kisingizio cha ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi. Hii imekuwa ikileta matatizo mengi sana hasa katika majimbo husika. Hali kama hii tusingependa itokee kesho kwani serikali imejitahidi sana kuweka kila kitu katika hali ya uwazi na ukweli. Kwakweli magwanda mkikataa matokeo ya uchaguzi wa Igunga mtakuwa mna lenu jambo

Mwiata25!!!!!!!
Utumwa wa fikira na uendekezaji wa njaa zako kama ulivyo agizwa na Boss zako wa magamba ndio unakutesa hapa JF.
 
Haihitaji kuwa na shahada kujua nani ataibuka mshindi kesho! CDM Igunga ina umri wa miezi miwili, unategemea ushindi utoke wapi? Igunga CDM inafukuzia kura za CUF, wana Igunga wamekataa kudanganywa na vyama vya MSIMU wa uchaguzi jimboni mwao.

zezeta jingine hili! CRAP kamuulize ****** bila uchakachuaji Vyama msimu vilimung'oa madarakani lakin Tume yao na UWT wakamuweka madarakani kwa msaada wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama
 
Jitahidi kutumia akili,kwa nini majimbo yote ya cdm waliyoshinda yalitangazwa kwa shinikizo la maandamano?
 
Back
Top Bottom