Please! Please! Please CHADEMA nawaomba mkubali matokeo Igunga

Cdm wana tabia za usimba na uyanga. Always hawakosi VISINGIZIO pale wanaposhindwa. Leo hii simba or yanga hata wakicheza na Barcelona wakifungwa utasikia oh kocha mbovu,mabeki waliongwa,waamuzi walipendelea,walitulaza njaa et cetera!! The same like cdm,wakishindwa visingizio kibao vya kitoto na vya kiuchokozi! Mara oh ccm wameiba kura,mawakala wetu waliongwa,maboksi ya kura yameingizwa,wapiga kura kutoka nje waliongwa,kompyuta zimechakachua,crap crap crap et cetera! Mfano uchaguzi mkuu uliopita ccm walipata wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 170 and cdm walipata kama 20 hivi, then wanasema eti kura za uraisi walishinda!!! What a crap!! Hata kichaa ukimpa hizo statistics then ukimwambia eti cdm ilishinda urais atakuona wewe ni kichaa zaidi yake!!RAIS ANA WABUNGE 20!!! KWA HALI ILIVYO IGUNGA NOW NO WAY CHADEMA WANAWEZA KUSHINDA,NO WAY!! Nawaomba sana cdm wakubali matokeo next week baada ya kukamuliwa na waache visingizio vyao vya kitoto vya Yanga na Simba.
aha kumbe we ni "naipendaccm" na sio tz, vua gamba akilini mwako.
 
Wewe Usiyependatz
Hakika umetumwa na wana-Magamba wewe. Kukubali matokeo ni BAADA YA KURA KUPIGWA KUPITIA SANDUKU LA KURA KWA UCHAGUZI AMBAO NI HURU NA HAKI NA SI VINGINEVYO.

Kwa vile unafikiri kwa kutumia MASABURI ndiyo UNATAKA KULAZIMISHA CHADEMA WAKUBALI MATOKEO IGUNGA
HATA KABLA YA KUPIGA KURA HAPO OKTOBA 2,2011.

Kwa hiyo mtu akisoma between the lines(katikati ya mistari) moja kwa moja anajua kuwa CCM mmeshaandaa KURA ZENU ZA WIZI ILI KUCHUKUA JIMBO LA IGUNGA. But let me tell you my friend nicknamed Usiyependatz kuwa KILA JAMBO LINA MWANZO NA MWISHO. Abraham Lincoln alikuwa Rais wa Taifa kubwa la Marekani na aliwahi kusema maneno haya yenye HIKIMA KUBWA sana, kwamba, You can fool some people sometime but you cannot FOOL ALL THE PEOPLE ALL THE TIME na kwamba,"THE BALLOT IS STRONGER THAN THE BULLET'' Tumeshuhudia IGUNGA wabunge na makada wa CCM WAKITEMBEA NA BASTOLA NA HATA KURUSHA RISASI KWA kwa viongozi waandamizi na wafuasi wa chama makini cha CHADEMA. Hiyo yote ni kudhihirisha KUWEWESEKA KWA CCM.
Ni mijitu yenye kufikiri kwa kutumia MASABURI tu ndiyo inaweza kupingana na ukweli huu wa Abraham Lincoln.

Cdm wana tabia za usimba na uyanga. Always hawakosi VISINGIZIO pale wanaposhindwa. Leo hii simba or yanga hata wakicheza na Barcelona wakifungwa utasikia oh kocha mbovu,mabeki waliongwa,waamuzi walipendelea,walitulaza njaa et cetera!! The same like cdm,wakishindwa visingizio kibao vya kitoto na vya kiuchokozi! Mara oh ccm wameiba kura,mawakala wetu waliongwa,maboksi ya kura yameingizwa,wapiga kura kutoka nje waliongwa,kompyuta zimechakachua,crap crap crap et cetera! Mfano uchaguzi mkuu uliopita ccm walipata wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 170 and cdm walipata kama 20 hivi, then wanasema eti kura za uraisi walishinda!!! What a crap!! Hata kichaa ukimpa hizo statistics then ukimwambia eti cdm ilishinda urais atakuona wewe ni kichaa zaidi yake!!RAIS ANA WABUNGE 20!!! KWA HALI ILIVYO IGUNGA NOW NO WAY CHADEMA WANAWEZA KUSHINDA,NO WAY!! Nawaomba sana cdm wakubali matokeo next week baada ya kukamuliwa na waache visingizio vyao vya kitoto vya Yanga na Simba.
We unaipenda TZ ua unapenda TZ inayoangamizwa na maghamba's??????????? Vita yako na CDM ni kusema ukweli wa uozo wa CCM na dhuluma za wazi wazi wanazofanyia Watanzania. Lakini kwa mkono wa Bwana jibu litapatikana wezi watapigwa chini tuu!!!!!!!!Hakuna propogandist nzuri kama Ghadafi lakini kiko wapi ameondoka kwa aibu!!!!!!!!!!!!
 
According to you and padri slaa,wapenzi wa cdm sijui mmerogwa na nini?? Hamuoni wala hamsikii!!! Viongoz wa cdm wanawatumia kama mazuzu then wenyewe wanajilipa miposho ya mil.7 per month
Unaandika nini wewe, umelogwa nini?????? Unataka kuvuruga watu nini, acha upuuzi wako watu wanajitolea kukomboa Tanzania iwe nchi nzuri kama unavyo taka tuamini kwa sasa!!!!!!!!!
 
Bwana mkubwa mnatumiwa tu na hawa akina padri slaa! Haingii akilini chama ambacho kina piga kelele posho za wabunge zipunguzwe katibu wake anashinikizwa alipwe posho hizo hizo! Huo ni unafiki,ufisadi and uchawi
Unaandika nini wewe, umelogwa nini?????? Unataka kuvuruga watu nini, acha upuuzi wako watu wanajitolea kukomboa Tanzania iwe nchi nzuri kama unavyo taka tuamini kwa sasa!!!!!!!!!
 
2015 kitaibuka chama kingine cha upinzani kitachoifunika cdm! Maana kila mwaka wa uchaguz kinaibuka chama kipya maarufu! R.I.P. Chadema

Are you reffering to CCJ resurfacing come 2015? I doubt, may be it'd be CCK, Nape knows better (he's keeping his fingers crossed on this).
I would have let my poppy loose had it been that you'd had used your real ID.
Keep on hiding coward! S..p..d... (hidind is more inferior that comoflaugue).
 
Huyu anawakilisha mawazo chama chake jamani ni ufinyu wa fikra na kutaka kupotosha jamii
 
.... uchaguzi mkuu uliopita ccm walipata wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 170 and cdm walipata kama 20 hivi, then wanasema eti kura za uraisi walishinda!!! What a crap!! Hata kichaa ukimpa hizo statistics then ukimwambia eti cdm ilishinda urais atakuona wewe ni kichaa zaidi yake!!RAIS ANA WABUNGE 20!!! .

Nimekuona kichaa kuliko huyo unayemwelezea hapo! Wabunge 170 walipatikanaje? Hivi kweli hazikutoshi kiasi hicho?
Hata VICHAA hawana mpango na CCM isipokuwa labla wenye njaa kama wewe, masikini wajinga, vijana wasomi majobless ama wanafiki wanaoujua ukweli basi tu wanalinda matumbo yao (kama wewe)
 
Kulipwa analipwa Dr. Slaa, wewe huku unawashwa masaburi. Hiyo akili au matope.
According to you and padri slaa,wapenzi wa cdm sijui mmerogwa na nini?? Hamuoni wala hamsikii!!! Viongoz wa cdm wanawatumia kama mazuzu then wenyewe wanajilipa miposho ya mil.7 per month
 
Matusi ya nini sasa chademas?? Halafu wewe ni kiongozi mkubwa tu wa chama,jiheshimu bana!! Mods watu kama hawa wanawaangalia tu,hapo angekuwa ni mwita25,ritz,rejao et cetera wangekuwa banned already
Ungefanya jambo la maana sana kama pia ungetoa ushauri kuwa Chadema wakishinda matokeo yatangazwe immediately.
Yasiwe yale ya mwanza,arusha,ubungo,kawe,etc mwaka jana. Safari hii mkichakachua tutaf.r.na sana tu!
 
Wewe Mwana CCM acha ushamba wako. Unatetea chema chenye siasa uchwara ambacho Mbunge wa Igunga wa zamani alikiri.Unatakiwa kubadilika.
 
Back
Top Bottom