Please! Please! Please CHADEMA nawaomba mkubali matokeo Igunga

Vyama vyote tz hukubali matokeo,isipokuwa cdm tu

statement yako inautata mkubwa sana vyama vyote tz vinakubali matokeo alafu unasema tena isipokua cdm inamaana cdm sio chama hapa tz? Tumia akili na sio masaburi kufikiria
 
All in all tukubali ccm ni wezi wa kura na ndio wanaopandikiza udini na ukabila ambao ni usaliti mkubwa kwa mwalimu nyerere, nilikua sitegemei usaliti kama huo kufanywana na chama alichokua nyerere ila imetokea ivo, masiki tz amani tuliyoa achiwa na mwasisi wa chama inapotelea mikononi mwa chama hichohicho
 
Na Wenye Pistol kiunoni mtawaambia nini? Mtawaambie wafyatue? Unajua wengine walikuwa Felon... Mmmm Scary

Wana Vyombo vya Habari, Vyombo vya Sheria, Wamiliki wa silaha na risasi na bado mnanyanyasa Chadema???
 
Cdm ni taasisi ya kugawana posho mil.7 kwa mwezi,kununua magari mabovu ya mbowe and kudanganya watz! Ni taasisi ya family flani
statement yako inautata mkubwa sana vyama vyote tz vinakubali matokeo alafu unasema tena isipokua cdm inamaana cdm sio chama hapa tz? Tumia akili na sio masaburi kufikiria
 
Cdm wana tabia za usimba na uyanga. Always hawakosi VISINGIZIO pale wanaposhindwa. Leo hii simba or yanga hata wakicheza na Barcelona wakifungwa utasikia oh kocha mbovu,mabeki waliongwa, waamuzi walipendelea, walitulaza njaa et cetera!!

The same like cdm, wakishindwa visingizio kibao vya kitoto na vya kiuchokozi! Mara oh ccm wameiba kura, mawakala wetu waliongwa, maboksi ya kura yameingizwa, wapiga kura kutoka nje waliongwa, kompyuta zimechakachua, crap crap crap et cetera!

Mfano uchaguzi mkuu uliopita ccm walipata wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 170 and cdm walipata kama 20 hivi, then wanasema eti kura za uraisi walishinda!!! What a crap!!

Hata kichaa ukimpa hizo statistics then ukimwambia eti cdm ilishinda urais atakuona wewe ni kichaa zaidi yake!! RAIS ANA WABUNGE 20!!! KWA HALI ILIVYO IGUNGA NOW NO WAY CHADEMA WANAWEZA KUSHINDA, NO WAY!! Nawaomba sana cdm wakubali matokeo next week baada ya kukamuliwa na waache visingizio vyao vya kitoto vya Yanga na Simba.

Wewe ni wakili wa wezi wa kura!! pole hakuna kulala!!
 
Wapenzi wa cdm wakiambiwa ukweli wanabaki kutukana and kukurupuka and kuwaomba mods watoe ban! Ili usonge mbele inakubidi ukishindwa something ukae chini uasses kwa nini umeshindwa ili next time uje na strategy bora zaidi,sio we unatoa EXCUSES tu!!
 
Ccm ni noma wanatoa wanatwaa bora cdm hela wanazo fanyia kampeni wengeongeza matawi ya chama kuliko kwenda kuuza sura igunga.
 
Nawaomba mkubali matokeo cdm! Visingizio vyenu vya kitoto watz wapenda amani tumevichoka
unamanisha kuwa ccm si wezi sio. Ktk hayo hayo majimbo 20 ya CDM ni yapi ambayo Tume ilitangaza rightaway bila harsal ya wananchi mfano Mwanza, Arusha, Ubungo, mbeya etc. Kama suala idadi ya viti vya ubunge ndo determinant ya idadi ya kura za Urais why Zanzibar haiongonzwi na Cuf. Dunia imebadilika ndugu yangu 19's not same as 20's.
 
Kwa nn usiwaambie ndugu zako wa CCM wakubali matokeao. Au unafikiri kila siku ni j2. Imekula kwenu subirin kudharirika tu kushneey kabisa PAMBAFUUU.......
 
NaipendaTZ,

Kama walivyouliza wadau, hivi zinakutosha kweli?? Kwa nini CDM pekee ndo unawaomba wakubali matokeo. CCM hawatakiwi kukubali matokeo???

Lakini ni matokeo yapi anayotaka CDM wayakubali? Mbona kura hazijapigwa, yeye mshindi kamjuaje??

Safari hii kama mmejiandaa kuchakachua imekula kwenu. Ilishatosha 2010 mlivyofanya lazima demokrasia ichukue nafasi yake. Na kwa taarifa yenu haendi mtu mahakamani. Maana huo wote ni ujanja. Mtu unaibiwa kura, ukilalamika unaambiwa nenda mahakamani. Ukisahafungua kesi inapigwa dana dana miaka 4 ghafla uchaguzi mwingine huu hapa, jamaa anapeta mjengoni kwa kura za wizi.

Mkae mkijua kabisa mkiiba tu lazima kieleweke hapo hapo. Habari ndo hiyo.
 
Mkuu 170 to 20 ni tofauti sana kiuwiano!may be ingekuwa 110 to 80 or 100 to 90!! Zenji tofauti ya wabunge kati ya ccm na cuf ni ndogo sana
unamanisha kuwa ccm si wezi sio. Ktk hayo hayo majimbo 20 ya CDM ni yapi ambayo Tume ilitangaza rightaway bila harsal ya wananchi mfano Mwanza, Arusha, Ubungo, mbeya etc. Kama suala idadi ya viti vya ubunge ndo determinant ya idadi ya kura za Urais why Zanzibar haiongonzwi na Cuf. Dunia imebadilika ndugu yangu 19's not same as 20's.
 
Hawa ndio watu wa cdm wanaotaka tuwapatie nchi!!!wakipata hiyo nchi si watatutukania hadi mama zetu! No wonder walitaka kumbaka yule dc
 
Kila chaguzi cdm wanaongeza wabunge na madiwani kwa kura lakini ccm wanapunguza...uhitayaji akili ya ziada kutambua hilo
 
We naipendatz huna akili umeshindia mavi eeh?.umetoka MIREMBE lini?.ha ha ha husiwe unakurupuka cku nyingine UTAPAKATWA ohoo mwizi wa kura we!
 
Mkuu 170 to 20 ni tofauti sana kiuwiano!may be ingekuwa 110 to 80 or 100 to 90!! Zenji tofauti ya wabunge kati ya ccm na cuf ni ndogo sana
kwanini ccm inaposhindwa wanaingilia tume, na tume nayo inakubali kutoa visingizio visivyokua na maana. Uchaguzi uliopita kuna majimbo mengi tu tume ilijidai wanekosea tena baada ya kushitukiwa ndo wakaja na excuse zisizo na mashiko. Afu kwa kinini unataka Cuf wakikubali na CDM wakubali? We need more transparency before your conclusions.
 
Back
Top Bottom