please daniel...


Acha kulalama kaka, real men hawafyati mikia kama pappy, nani kakambia mapenzi ni pesa, good looking unata upake wanja sio. Love is all about the Chemistry.....!!!
Ningekuona wa maanaana sana kama ungeuambia uta fight kwa meno na makucha kuhakikisha una mkeep girl wako......

Swts dear anaongea nini huyu....
 
Mimi Daniel nimewasikia... lakini kama huyo she mwenyewe amefall mi ntafanyaje.. "survival for the fittest" no way can a strong creature have mercy to the weak one, so dont cry.. The world is always not fair!... continue fighting on on on on on on and on....
 
Njaa? Karne hii kweli kama wataka kula utalala njaa?
Hawa ndo watongoza afu wanauliza jinsi ya kuomba gem, lol...

Unaweza ukalala njaa aisee......ila baadaye akili ikikusogea ndo unaweza kuwaza vizuri na kufanya mpango wa chakula kingine tofauti na ulichokuwa unakitaka.

BTW; yule dogo nae bhana.....hahahahah!!! ataelewa tu kadri desire yake inavyozidi kuongezeka!
 
yani imebidi nikuite
 

Mkuu Nyani Ngabu ni kweli jamaa anatufedheesha sisi wanaume ila inatakiwa apewe ushauri kwani hana tena muelekeo.
 
Last edited by a moderator:
Mr. Dolly Parton.......
Whats up.....
 
Hata kama Daneil atakuachia bado atamegwa na wengine demu wako hana msimamo. Pole kwa kupenda asiye kupenda
 
Pumbavvvvvv mwanaume gani unajiliza kibwege namna hiyo kisa mwanamke?
Huyu jamaa anadhalilisha uanaume huyu. Sisi wazee inabidi tumuite kwenye mahakama ya wanaume ajieleze kama bado anastahili kuwa na tuzo adhimu ya uanaume.
 
I feel terribly sorry for your Mom and Dad...
 


Hii kitu iliwahi kunitokea when i was a young man katika mapenzi..jamaa alichukua demu wangu niliekua nimedumu nae kwa miaka mitatu..tena alimchukua kirahisi coz alikua na hela ya kutosha kunizidi and above all he was stronger than me! nilipoteza uzito kama ten kg ndani ya mwezi!
Nilipozinduka nilijidharau sana i acted like a kid(of coz ndo alikua demu wa kwanza kwangu)! Nilijifunza mengi and my opinion kwa Wajojo ni KAMA UNAMPENDA MPIGANIE,UKISHINDWA TAFUTA MKALI ZAIDI YAKE SONGA NA MAISHA HAJAZALIWA PEKE YAKE SI AJABU MUNGU ANAKUEPUSHA NA MENGI,kwa sasa demu alienikimbia tukikutana huwa anakosa raha anawambia wenzake anajuta....coz i changed frm who i was to a real man na matokeo yake nayaona na haijanitokea tena. STAND UP,CHANGE UR WAYS,BE A REAL MAN. WATAKUJA KWA KASI
 
Amenikumbusha wimbo wa Dolly Parton unaitwa Jolene.
nadhani hii ni tafsiri na modification ndogo tuu ya ule wimbo.
 
Kesha google na ujisomee madesa ujue mwanamke anataka nin,piga gym,ingekuwa pesa ndo kila kitu mushi asingetumia bastola,na wanaume mackin wacngekuwa na wapenzi
 
Ungekuwa karibu ningekung'oa hizi mbupu zake inaonekana haziko kwa mtu sahihi. Mwanaume unamlilia mwanaume mwenzako, pambana wewe na ukishindwa unakubali kama mwanaume na kusonga mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…