please daniel...

please daniel...

Jolene x3 l am begging of u please don't take my man. You can have a choice of men, but l could not love again, he is the only one for me Jolene.

Dolly Parton aliimba.

Sheila sheila nionee huruma kwani moyo unaniuma..

Hahahah mkuu kulia waachie wanawake, mwanaume ni kupambana!

SAN
 
mimi kama ni daniel hata ulie machozi ya damu , ilimradi mwanamke namtaka nitamchukua tu........ jifunze kupambana kiume kiroho safi.
 
We mwanaume wa wap? Yaan unakera unachukuliwa demu unabaki kulia lia? Unataka tukusaidieje

Gangamala mtoto wa kiume ohoo
 
Pumbavvvvvv mwanaume gani unajiliza kibwege namna hiyo kisa mwanamke?

We unataka alie kisa mwanaume mwenzie!!!!keshasema kuwa hapo ndio moyo wake umefika so u got to respect his feelings
 
I know una uwezo wa kifedha, u are good physically,I can not compete with u for that, na una kila sifa za kupendwa na mwanamke yeyote, na najua una uwezo wa kumchukua demu wangu hilo sipingi , but please she means everything to me, najua kuna wasichana wengi but my heart umekwama kwake,sina jeuri yeyote ya kupambana na wewe daniel, nakuomba tu uniachie demu wangu, najua umenizidi kwa vyote but please...
Wewe na Daniel, nyote ni wavulana wala si wanaume, siwatofautishi na Munissi wala Mushi wa Ufoo!
 
I know una uwezo wa kifedha, u are good physically,I can not compete with u for that, na una kila sifa za kupendwa na mwanamke yeyote, na najua una uwezo wa kumchukua demu wangu hilo sipingi , but please she means everything to me, najua kuna wasichana wengi but my heart umekwama kwake,sina jeuri yeyote ya kupambana na wewe daniel, nakuomba tu uniachie demu wangu, najua umenizidi kwa vyote but please...

Unatia huruma mkuu.....hahahahahaha una pesa ngap nikuonganishe na vijana wa kazi wa deal nae ?? Kwan kua na hela kitu gan ?? Watu wanakufanyia tu mjini hapa na unakua na respect kwa madem wa wenzio. Be a man and fight for what belongs to you nigga. Sikiliza chorus ya 50 Cent hapo chini.

Last edited by a moderator:
Ningekupe bonge la tusi ila naogopa ban.....

Unatutia aibu mtoto wa kiume acha ungese hata huyu demu akijua haujiamini lazimaakupige chini faster
 
I know una uwezo wa kifedha, u are good physically,I can not compete with u for that, na una kila sifa za kupendwa na mwanamke yeyote, na najua una uwezo wa kumchukua demu wangu hilo sipingi , but please she means everything to me, najua kuna wasichana wengi but my heart umekwama kwake,sina jeuri yeyote ya kupambana na wewe daniel, nakuomba tu uniachie demu wangu, najua umenizidi kwa vyote but please...

Come on straighten up man!!!
a) A man fights to "death" literally literally to death n never admit failure to please, take care and protect his woman
b) If shes the kind of woman who'd be intimidated by looks and money while she has a real man, then y bother for her?
c) It hurts yes but a man holds it in to death
 
Unatia huruma mkuu.....hahahahahaha una pesa ngap nikuonganishe na vijana wa kazi wa deal nae ?? Kwan kua na hela kitu gan ?? Watu wanakufanyia tu mjini hapa na unakua na respect kwa madem wa wenzio. Be a man and fight for what belongs to you nigga. Sikiliza chorus ya 50 Cent hapo chini.

The last time I checked msichana ama "demu" ni binadamu mwenye utashi wa kuamua mema na mabaya. I fail to understand kwa nini umfanyizie mtu wakati huyo mtu wako mwenye huo utashi kaona kuwa naye ni jambo jema kwake . Kama Daniel kachaguliwa na aachwe ajilie vyake alivyogharamikia
 
Inategemea na mazingira ya kuachwa. Tehe. Wengine wana achishwa.
 
wajojo am suprised!cant you fight for the woman you love?after all mpaka umefikia hatua hii it means no love from your woman,na mapenzi yakishaisha ni tatizo,so hata kama ni ngumu kwako jitahidi ulet her go,let her be.
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa ana sikitisha sana yani hajiamini hata chembe.ujinga mtupu.

yan mi naona sio mzima!mwanaume gan kalegea hivi?na nadhan kalegea kila mahali..."jaman daniel,please niachie demu wangu!najua umenizid kila kitu!kah!". Mi nngekuwa huyo demu,ndo namkuta huyu ----- ndo analalamika kwa huyo daniel hivi,hapohapo nambwaga!
 
We unataka alie kisa mwanaume mwenzie!!!!keshasema kuwa hapo ndio moyo wake umefika so u got to respect his feelings

Kumbe wazembe. Mpo wengi ee? Yaani mtu analilia upuuzi kama huo badala akomae kutafuta hela ili amzidi huyo Daniel. Ni mjinga tu ataunga mkono huo uzembe.
 
Kwa mtindo huu risasi zitaendelea kumaliza wenye roho nyepesi
 
Back
Top Bottom