please daniel...

please daniel...

pole sana kaka,sasa jua ukiona umeachwa hiyo kuna mwenzako kapendwa na ukiona umependwa jua kuna mwenzako katendwa.sifikiriii kama daniel ana kosa lolote kwani naye kampenda ila huyo unayedai demu wako ndo alokusaliti kama alijua yuko na wewe kwanini akubali kuingia kwenye relation na daniel?she never mean alot 2u kwakuwa sio maji yeye.mpendwa mimi niliwai kuwa na mpeni tanu darasa la6 mpaka chuo mwaka wa pili tena alikuwa jirani yangu mpaka akatoka kwao akawa nakaa kwetu wazazi wetu walikuwa wanajua gafla kijana kabadilika akalala na mtoto wa baba yangu mkubwa tulikalishwa chini tukamaliza baadae tena jamaa akawa kiwembe mbaya hapa mtaani safari hii niliamua kuvunja relation mwenyewe ingawaje nilimpenda sana naye alinipenda sana ,nakumbana na mambo magumu kweli lakini sikiri kwamba yeye ni kila kitu kwangu no!kaka hujui mungu anakuhepusha na nini hivyo tulia mapenzi ya kweli hayapimwi na uwezo wa fedha bwana kwakuwa bado wa mpenda basi kama wako atazunguruka kisha atarudi na kama si wako basi wako yupo njiani kuja na huyo alokuwacha ni kama mapito.husiwe hivyo kaka yangu unajidhalilisha .pole sana ila songa mbele
 
Kaka,women are like devel,when they trape your mind you can forget the sudness of the world, at the same time if they play with your mind,you can see you are nothing in the world,Don't complicate on them they are no more on you.
 
I swear nitacheka mpaka kesho. Teh teh teh. Dude what the hell? Don't you have it in you to fight for your woman? Nyani Ngabu come this way please.What's your say on this?

Nyani Ngabu ndo walewale washika bunduki bora huyu kajakushtakia hapa. ninekupenda bure mtoa mada
 
Last edited by a moderator:
Linalia lia tu kibwege hapa. Huyo demu wako kanifata mwenyewe. Alafu hakutaki ujue!! Bora unajua nakuzidi kwa kila kitu, so why waste ur time crying for her? Bwegebwege sana wee dogo!!

wenye vidomodomo kama wewe ndio wanaokong'otewa. majigambo ya maneno watu wanahitaji vitendo wewe Pokola
 
Last edited by a moderator:
I know una uwezo wa kifedha, u are good physically,I can not compete with u for that, na una kila sifa za kupendwa na mwanamke yeyote, na najua una uwezo wa kumchukua demu wangu hilo sipingi , but please she means everything to me, najua kuna wasichana wengi but my heart umekwama kwake,sina jeuri yeyote ya kupambana na wewe daniel, nakuomba tu uniachie demu wangu, najua umenizidi kwa vyote but please...

Kama unamiliki bastola nahisi ndo itakuwa your alternative Daniel asipokusikia, you seem to be desperate...!
 
Kama unamiliki bastola nahisi ndo itakuwa your alternative Daniel asipokusikia, you seem to be desperate...!

hata mimi nimemwonea huruma kweli. Baba V . kinachomshinda ni hofu tu daniel ana vijisenti na anapiga pamba. yeye ampe demu nyama ya ulimi tu ndo kila kitu
 
Last edited by a moderator:
Hunijui vizuri wewe. Mie nishike binduki?

I'm always ahead of the curve.

AaaH wapi nilishawahi kukuambia bado hujakamatika wewe ndo maana unajufanya hujali kumhudumia demu wako. tena watu kama nyie mnashika bunduki hata kama hujamgharamia!!!!
 
AaaH wapi nilishawahi kukuambia bado hujakamatika wewe ndo maana unajufanya hujali kumhudumia demu wako. tena watu kama nyie mnashika bunduki hata kama hujamgharamia!!!!

Na wewe nilishawahi kukuambia mimi ni namba nyingine kabisa. Sikamatiki kijinga jinga na kipumbavu.

Na siwezi kushika binduki kwa sababu ya mwanamke. Nitashika binduki kwa sababu yangu mwenyewe na binti tu.
 
haya bhana
 
I know una uwezo wa kifedha, u are good physically,I can not compete with u for that, na una kila sifa za kupendwa na mwanamke yeyote, na najua una uwezo wa kumchukua demu wangu hilo sipingi , but please she means everything to me, najua kuna wasichana wengi but my heart umekwama kwake,sina jeuri yeyote ya kupambana na wewe daniel, nakuomba tu uniachie demu wangu, najua umenizidi kwa vyote but please...

Sa kama kanipenda kuliko wewe!
 
Wajojo Samahani mkuuu ni yupi kati ya wale wengi nilio nao, hebu nifafanulie vizuri nitamuacha leo leo kwa manufaaa ya penzi lenu.
 
pole mwaya. jiburudishe na huu wimbo mwenzio alibembeleza. kama haumpi raha za dunia mpenzio, kaanga ubuyu acha wenye meno wakule.
BAK, Fixed Point; plz do ze nidifule

"Jolene"

Jolene, Jolene, Jolene, Jolene
I'm begging of you please don't take my man
Jolene, Jolene, Jolene, Jolene
Please don't take him just because you can
Your beauty is beyond compare
With flaming locks of auburn hair
With ivory skin and eyes of emerald green
Your smile is like a breath of spring
Your voice is soft like summer rain
And I cannot compete with you, Jolene

He talks about you in his sleep
There's nothing I can do to keep
From crying when he calls your name, Jolene
And I can easily understand
How you could easily take my man
But you don't know what he means to me, Jolene

Jolene, Jolene, Jolene, Jolene
I'm begging of you please don't take my man
Jolene, Jolene, Jolene, Jolene
Please don't take him just because you can

You could have your choice of men
But I could never love again
He's the only one for me, Jolene
I had to have this talk with you
My happiness depends on you
And whatever you decide to do,

JoleneJolene, Jolene, Jolene, Jolene
I'm begging of you please don't take my man
Jolene, Jolene, Jolene, Jolene
Please don't take him even though you can

Jolene, Jolene
sorry best kwa kuchelewa kutuma hii
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom