Pius Msekwa: Jela yamnukia Makonda

Pius Msekwa: Jela yamnukia Makonda

Pius msekwa umenena baba. wazee wenye busara Kama hawa naona wako kimya huku mtumbwi unazama
Wakati wa utawala wa Mwalimu na waliomfuatia hadi awamu ya nne ulikuwa hupewi cheo cha kuteuliwa na Rais bila file lako kupitia taasisi za usalama nawe mwenyewe kuchunguzwa na familia yako hadi wajiridhishe ndipo wampe Mh Rais go ahead.
Sasa Rais akiamka asubuhi akimbuka kuna ndugu yake alikuwa fundi viatu anaamua ampe kazi ya mkurugenzi. Bila taasisi husika kujiridhisha. Haya ndiyo yanatokea. Mara mkuu wa mkoa amekuwa polisi, mwalimu, mwanajeshi, yaani ni shida. Mkurugenzi nae anaamua from no where anawafungia madiwani ofisi na tupo tuu.. Lazima ifike mahali tufuate utawala wa sheria..
 
Mika mitatu ijayo tutakapokuwa tunasimulia hii vita ya madawa tutamkumbuka kamanda wa kujilipua na kujivisha vyeo visivyo vyake, kutoka ukonda hadi ujemedari
 
Huyo ni mwanampendwa,heri kuvunja bunge na kuwatoa majaji na mahakimu wote kuliko huyo kuathibiwa. "Mimi pekee ndiye ninaruhusa ya kutangaza ....." "Mimi ninaposimama basi ni mungu amesimama"
Sijaribiwi!
 
makonda aajuwe kabisa kuwa mahakamani siyo pazuri kuna maswali ambayo anaweza tamani wale malaika washukuke kuwanyonga mahakimu!
 
Jamaa balaa sana, ana dalili za kugomea Bunge, keshagomea Mahakama, nini kimebaki sasa?
 
Hakika nampongeza Kwa dhati kabisa Mzee wetu Bwana Piusi Msekwa Kwa kuthubutu kumsema Malaika wetu " PAUL MAKONDA" Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam.Mzee Msekwa amekerwa na tabia ya Paulo Makonda pamoja Na kauli mbalimbali anazozitoa .Makonda huyu aliwahi kutamka kuwa " Alipo yeye Mungu kasimama"Nampongeza Mzee Msekwa kwani Wazee wenzako wameshindwa kusema chochote kama vile hawaoni au kusikia.Pongezi kwako Mzee Msekwa Kwa kusema Ukweli.
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam......kwa nini inakupa kigugumizi kukemea kauli hiyo "nikisamama kama......"
 
Spika mstahafu Pius Msekwa amesema RC Makonda anaweza kufungwa jela hadi miaka 7 kama atakaidi wito wa bunge kutokana na kauli zake alizotoa kuhusu bunge hilo.

Chanzo: Raia Mwema

Ngoma inazidi kuwa mbichi,Huu mchezo hauitaji hasira.Wapo wamezama kwenye maombi usiku na mchana.
 
Ili ujue wabongo ni wajinga utajionea kwenye huu uzi!

Yani kabisa wapinzani wamerilaksi na kuchekelea kwamba Makonda atafungwa? Nani wa kumfunga Makonda? Kwa mahakama zipi? Yani mnachezewa huku mnaona alafu mnachekelea?
 
Wala sidhani kama kuna sheria inaweza kumhukumu hata kama ipo haiwezi

Sisi hatuna shida na kufata utaratibu ni matamko kwanza
 
Na issue ya cheti je anaweza kula miaka mingapi? ili na yeye akapumzike huko kama anavyopeleka wenzie kwa visa na visasi.
 
Patamu hapa. kama sheria hizi zipo, basi zianze kufanya kazi ili kuwapa hofu hawa 'wakoloni mambo kesho' ktk kutenda mabaya yao kwa Watanzania.
 
Back
Top Bottom