Pius Msekwa: Jela yamnukia Makonda

Pius Msekwa: Jela yamnukia Makonda

yeye si yuko kwenye mhimili uliojichimbia zaidi hivi vimihimili vya chini vitaweza kweli
 
Jamani Ngurdoto!!! Vijana hawa Ma-Dc, RC, wakurugenzi --hawajui mihimili hii mitatu, mahakama, bunge na serikali vinafanyaje kazi na mahusiano yao kikazi. Ni tatizo hata katika mikoa, wilaya na halmashauri. Pia kulikuwa na kozi fulani zinatolewa pale Mzumbe IDM, wakati huo, ingesaidia kuondoa hii balaa. Nadhani Waziri Simbachawene ana kazi kubwa sana na hawa wateule.
 
Huyu Msekwa anajua anachokisema , shida watamwandikia wito lini ?
nani amwandikie wakati kasema kabla ya kumhoji mkemia awapime ngada kwanza, wakayeyusha eti walikuwa wanatania tu,
 
4825c05714ac8970ac7b7197694b40c5.jpg
 
Miaka saba kwa katiba gani labda kama gazeti la raia mwema wamesahau kuandika mimi najua ukidharau wito wa Mahakama unafungwa miezi sita jela. Hizo Sheria za kukaidi wito wa bunge kufungwa miaka 7 hazina ukweli.
 
huyu anyongwe tu hafai kabisa kuishi na jamii.
kama bado huyu mkuu anambeba kweli tunaongozwa na nguvu za shetani maana mtu mmoja hawezi kuchafua hali ya amani ya nchi yetu kisa fulani anampenda.
 
Miaka saba kwa Katiba hipi?
Maana Katiba imewekwa pembeni tunanyoosha kwanza inchi.
muhimili mmoja ndio umetupa katiba, ila mihimili mingine (hasa bunge) bado ina katiba. bunge lisimame imara, mahaka nayo japo inaonyesha udhaifu, nayo itasimama imara japo kwa kuchechemea.

huyu aliyetupa katiba eti ananyoosha nchi, katuna hakika kama ananyoosha kwwa wema maana njia zake zinatia shaka. huenda yeye ni kama chatu anayenyoosha vitu ili vielekee ktk tumbo lake. chatu anajali tumbo lake tu
 
Back
Top Bottom