Pius Msekwa: Jela yamnukia Makonda

Pius Msekwa: Jela yamnukia Makonda

mtu mwenye akili timamu hawezi kaidi wito wa mahakama. umefika wakati sasa watu wapimwe akili au kama sivyo wapelekwe mirembe kwa ajili ya marekebisho.
 
Walikazana kuhakiki vyeti na kuwasulubu wengine,huku wanaokunywa nao chai hawajawahi kukanyaga darasani lakini wanavyeti vizuri tu
 
Jibu limeota kwenye mkono wa kutumbulia majibu, hapo ndy utajua donda LA kichwa mkaguzi mkono.
 
Ukiona mpaka wazee wenye ssm yao wanajitokeza na kuongea hayo ujue somthn mst rong somwea...
Unanyea mihimili mingne yote kisa tu unapakatwa na mukulu??
Nimtakie tu mwisho mwema!!!
 
Shikamo ah"bibinnaa, post: 19828542, member: 410157"]Mzee Warioba....Nakusalimia ki mila na desturi zote za sisi watanzania...kwa kiswahili nasema Babu Shikamoo..
Baada ya hizo salaam naomba tuje kukuomba maombi yetu
Ahsante[/QUOTE]
Shikamoo sio destur yetu ni utumwa wa mwarabu kwa mwafrika hujamboo habar yako kama unataka kuweka heshima weka cheo baba mtoto babu mkuu na nk ndio heshima sio shikamoo ipo kibaguz yaan nipo chini ya miguu yako waarabu walitumia kuwadharau waafrica na kiwadhalilisha
 
Mzee Warioba....Nakusalimia ki mila na desturi zote za sisi watanzania...kwa kiswahili nasema Babu Shikamoo..
Baada ya hizo salaam naomba tuje kukuomba maombi yetu
Ahsante

Mbona hutaji kuwa tunaomba amsamehe kijana aliyempiga kofi ???????
 
Hakika nampongeza Kwa dhati kabisa Mzee wetu Bwana Piusi Msekwa Kwa kuthubutu kumsema Malaika wetu " PAUL MAKONDA" Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam.Mzee Msekwa amekerwa na tabia ya Paulo Makonda pamoja Na kauli mbalimbali anazozitoa .Makonda huyu aliwahi kutamka kuwa " Alipo yeye Mungu kasimama"Nampongeza Mzee Msekwa kwani Wazee wenzako wameshindwa kusema chochote kama vile hawaoni au kusikia.Pongezi kwako Mzee Msekwa Kwa kusema Ukweli.
 
Thubutu yao....tangu lini 'miungu' inahojiwa au kufungwa?
Hamuoni waojaribu kumsema vibaya yule mungu mwingine kwenye mitandao ya kijamii wanavyonyanyaswa?
 
Mbona hutaji kuwa tunaomba amsamehe kijana aliyempiga kofi ???????
Kwanza tunaomba ruksa ya kupeleka maombi yetu
Ki mila na desturi,Wazee wetu hawa ukishawaambia hivyo huwa wanaelewa ni kitu gani munataka...mukienda kichwa kichwa kama bado anazo hasira inakula kwenu.
Tusubiri jibu
 
Back
Top Bottom