mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,557
- 10,607
Hamtaelewana Msekwa amesema kwa kosa la kudharau wito wa Bunge mwenzio miezi sita anayosema ni kwa kosa la kukataa wito wa mahakama. Mkuu ana makosa mengi nae ameshakuwa mhalifu tu kama Manji .Daaah wa TZ cjui tuna matatzo gani hv kwann unabishana na kiongoz ambae ameliongoza bunge kwa mda mrefu?