Pius Msekwa: Jela yamnukia Makonda

Pius Msekwa: Jela yamnukia Makonda

Hivi toka Makonda tulivyomuona mara ya mwisho akimkabizi Sianga yale majina awamu ya pili sasa hivi atakuwa amekwenda nchi gani?
 
jela ya magogoni ama?
napita tuu lakn...ila makonda kimyaaaaaaaaa..kama kafumaniwa na agiii..njoooo vile
 
Huyo ni mwanampendwa,heri kuvunja bunge na kuwatoa majaji na mahakimu wote kuliko huyo kuathibiwa. "Mimi pekee ndiye ninaruhusa ya kutangaza ....." "Mimi ninaposimama basi ni mungu amesimama"

Usiseme kwa SAUTI utaambiwa uchochezi
 
Pius msekwa umenena baba. wazee wenye busara Kama hawa naona wako kimya huku mtumbwi unazama

Naogopa kesho asije kana maneno yake,nakumbuka Mkullu wa awamu ya pili alivyoyakana ya kwake week moja baada ya kuongea ya moyoni
 
hivi alishawahi kusema chochote kuhusu mkoa wa DSM kuibuka kwa kishindo na shule sita za mwisho kwenye matokeo ya kidato cha nne ya 2016.au imekuwa ngumu kama kuchambia upupu ??!!
 
Hakuna wakumuweka jela huyo kijana huko mahakamani hao wauza madawa wamo pia bungeni wamo serikalini wamo kwenye chama pendwa wamo ila mkulu atampigania
 
Huenda ikawa bwana Daud katangulizwa chato hku mkuu wa kaya anampumulia kwa nyuma huez faham kwan si kwa neno lile la mzee wa monduli alilolisema alvyoenda kwa aliyetuhumiwa kuuza ngada
 
Mzee Warioba....Nakusalimia ki mila na desturi zote za sisi watanzania...kwa kiswahili nasema Babu Shikamoo..
Baada ya hizo salaam naomba tuje kukuomba maombi yetu
Ahsante
Mzee anakumbuka pale "alipopigwa" na Daudi
 
nina mashaka na hii stori. hawa makada wakubwa wa CCM kama Msekwa huwa si rahisi sana kum-criticise mkulu. of course, Makonda is one of the mkulu's most favourite boys, so ukimshambulia huyu dogo ni sawa na kumshambulia baba. I cant see Msekwa (of all people) treading that line...

embu tupate details za article hii ili tujue both its content and context.
 
Jamani sheria iheshimiwe hili ndilo jambo la msingi.Tunaongozwa kwa utaratibu wala tusiruhusu akili ya mtu kututawala ni hatari kwa mustakabali wa taifa letu.Nchi tuliikuta na tutaiacha kwa vizazi vijavyo na si vinginevyo
 
Shikamo ah"bibinnaa, post: 19828542, member: 410157"]Mzee Warioba....Nakusalimia ki mila na desturi zote za sisi watanzania...kwa kiswahili nasema Babu Shikamoo..
Baada ya hizo salaam naomba tuje kukuomba maombi yetu
Ahsante
Shikamoo sio destur yetu ni utumwa wa mwarabu kwa mwafrika hujamboo habar yako kama unataka kuweka heshima weka cheo baba mtoto babu mkuu na nk ndio heshima sio shikamoo ipo kibaguz yaan nipo chini ya miguu yako waarabu walitumia kuwadharau waafrica na kiwadhalilisha[/QUOTE]

Akiwa chini ya miguu ya ''Mzee wake anayemuheshimu '' ni dharau?
kwa vipi ?
Tufahamishe.
 
Back
Top Bottom