Pius Msekwa: Jela yamnukia Makonda

Pius Msekwa: Jela yamnukia Makonda

Wakuu, hivi kama hairuhusiwi mtu yeyote kutangaza habari za njaa, kuna mtu anaweza kuruhusiwa kutangaza kuhusu elimu ya Mkuu wa Mkoa?
 
Ukiona wazee wanaingilia kati ww mkosa hekima inakulazimu uinamishe sura yako uangalie chini
 
Shikamo ah"bibinnaa, post: 19828542, member: 410157"]Mzee Warioba....Nakusalimia ki mila na desturi zote za sisi watanzania...kwa kiswahili nasema Babu Shikamoo..
Baada ya hizo salaam naomba tuje kukuomba maombi yetu
Ahsante
Shikamoo sio destur yetu ni utumwa wa mwarabu kwa mwafrika hujamboo habar yako kama unataka kuweka heshima weka cheo baba mtoto babu mkuu na nk ndio heshima sio shikamoo ipo kibaguz yaan nipo chini ya miguu yako waarabu walitumia kuwadharau waafrica na kiwadhalilisha[/QUOTE]
Pamoja na kuheshimu mawazo yakeo,nyumbani kwetu baada ya salamu zote hizo ulizozitaja au kabla ya hizo salaamu SHIKAMOO lazima ikutoke,jaribu kuacha hiyo SHIKAMOO utajuwa kwa nini hatuendeshi magari upande wa kulia...tuna keep left.
Ukuuaji wa lugha ya kiswahili maana ya neno SHIKAMOO imebadilika.
 
Hakika nampongeza Kwa dhati kabisa Mzee wetu Bwana Piusi Msekwa Kwa kuthubutu kumsema Malaika wetu " PAUL MAKONDA" Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam.Mzee Msekwa amekerwa na tabia ya Paulo Makonda pamoja Na kauli mbalimbali anazozitoa .Makonda huyu aliwahi kutamka kuwa " Alipo yeye Mungu kasimama"Nampongeza Mzee Msekwa kwani Wazee wenzako wameshindwa kusema chochote kama vile hawaoni au kusikia.Pongezi kwako Mzee Msekwa Kwa kusema Ukweli.
Tanzania tuna wazee "midabwada"
 
Makonda wa dar hivi kidato cha NNE amesoma wapi?
 
Maunga mnaokomaa sana na dogo ila kawaweza, naona leo mmenunua magazeti yote kumuimba makonda taarifa tu utawala huu mateja nyote mtatubu na kuhamia kwenye soda Mungu bariki
 
ni aibu kubwa kwa kiongozi kuidharau mahakama.ni sawa na kuisigina katiba.
Mahakimu na majaji sasa waamke, wawe bold na wafanye kazi zao bila kuingiliwa.

Wasipochangamka na kubaki wakinyenyekea hawatapata heshima wanayoistahili kutoka kwa viongozi wa serikali.
 
Back
Top Bottom