Pius Msekwa: Jela yamnukia Makonda

Pius Msekwa: Jela yamnukia Makonda

Miaka saba kwa katiba gani labda kama gazeti la raia mwema wamesahau kuandika mimi najua ukidharau wito wa Mahakama unafungwa miezi sita jela. Hizo Sheria za kukaidi wito wa bunge kufungwa miaka 7 hazina ukweli.
Daaah wa TZ cjui tuna matatzo gani hv kwann unabishana na kiongoz ambae ameliongoza bunge kwa mda mrefu?
 
View attachment 473117

Kibo10 said,
Spika mstaafu Pius Msekwa amesema RC Makonda anaweza kufungwa jela hadi miaka 7 kama atakaidi wito wa bunge kutokana na kauli zake alizotoa kuhusu bunge hilo.

Chanzo: Raia Mwema

Ngoma inazidi kuwa mbichi,Huu mchezo hauitaji hasira.Wapo wamezama kwenye maombi usiku na mchana.
Wacha afungwe tu
 
Mleta mada jitahidi Ku paraphrase kuturahisishia tulio mbali na huduma ya magazeti
 
Hivi mawakili wanao mtetea Mh. Mbowe sinao watakamatwa kama Pombe alivyo agiza
Kama sijasahau sana kama vile Rais alisema wale wanaokamatwa na kithibitisho halisi cha uovu husika. Sasa huyo Mbowe kakamatwa na mini au ni zile nyaraka zake za kikazi kama ilivyo kawaida ya viongozi wote wa kisiasa? Mambo mengine tunapoongea au kuandika tuache chuki na mihemko ya kiitikadi ili mwisho was siku tuweze kirekebisha pale palipoharibika.
 
Iyo ni ngumu ukitegemea na magufuli ndio mahakama na kila kitu.
 
View attachment 473117

Kibo10 said,
Spika mstaafu Pius Msekwa amesema RC Makonda anaweza kufungwa jela hadi miaka 7 kama atakaidi wito wa bunge kutokana na kauli zake alizotoa kuhusu bunge hilo.

Chanzo: Raia Mwema

Ngoma inazidi kuwa mbichi,Huu mchezo hauitaji hasira.Wapo wamezama kwenye maombi usiku na mchana.
Ile kauli iligeuzwa ili kumtia hatiani, lakini Makonda hakumanisha walivyotafsiri wao.
 
View attachment 473117

Kibo10 said,
Spika mstaafu Pius Msekwa amesema RC Makonda anaweza kufungwa jela hadi miaka 7 kama atakaidi wito wa bunge kutokana na kauli zake alizotoa kuhusu bunge hilo.

Chanzo: Raia Mwema

Ngoma inazidi kuwa mbichi,Huu mchezo hauitaji hasira.Wapo wamezama kwenye maombi usiku na mchana.
Jera gani hiyo? Huyo naye kawa mwanasheria?
 
Sasa itabidi makonda kesho asubuhi kwenye mahojiano na clouds aende kalewa ili amsaidie Mheshimiwa Rais kumtumbua kistaarabu kama yule kaka yake.
 
mkuu hatakubali, mbona ni bora bunge livunjwe , mahakimu wafukuzwe na si kufungwa makonda
 
Back
Top Bottom