Pius Msekwa: Haki ya mtu inaweza kudhulumiwa hata Mahakamani, kuna watu wameumbwa na dhulma

Huyu mzee ni wa kutukana, lkn namstahi kidogo. He has always been quiet all this time when human rights violations by his party is at its peak. Leo anasema nini, nani amsikilize? amewahi kukemea? wale wale wa matumbo yao na familia zao! Magufuli amevunja haki Za binadamu to the highest level, he muted for 5 solid yrs, leo anabwabwaja!

Mkuu ule ujasiri wa kuyatamka tu inatosha sana. Better late than never:

Kama CCM siyo adui, mchawi wetu ni nani?

Tumeyasikia kwa akina Pole pole, Diallo, Vicky na sasa kina Nape.

Tuangalie mbele bila kuwaacha wahanga wetu nyuma au kuwasahau.
 
Spika mstaafu mzee Pius Msekwa amesema kuna watu wana tabia ya kupenda kuumiza na kudhulumu watu wengine, hata mahakamani haki ya mtu inaweza kudhulumiwa kwani kuna watu wameumbwa na dhulma, na hii si sawa.

Mzee Msekwa anasema kimsingi katika bunge la vyama vingi panapaswa kuwepo KUB na Baraza kivuli la Mawaziri, ndipo bunge hilo linakuwa limekamilika.

Chanzo: ITV

Kipindi rasmi kitarushwa Jumatatu Dakika 45
Baadhi ya watu ambao wanahofu ya Mungu, na wazalendo wa kweli, ni pamoja na Msekwa, japo sijui sana wakati was uspika wake na zaidi ilikuwa enzi za chama kimoja, mwingine ni Samwel japo nao wezalendo feki waliamua kumnyima fursa ya kuuonyesha weledi wake, Kwa kisingizio walichoona kitawezesha kunusuru maslahi Yao yaliyoungia shakani wakati huo.
 
Na huyo KUB apatikane kwa kura za wananchi kupitia wingi wa wabunge alionao bungeni kwa chama chake, sio KUB wa kutengenezwa na watawala.

Hawa wazee umri unaenda naona wanaanza kutubu taratibu, kumbe wakiwa wanafanya mambo ya hovyo ili kukilinda chama chao hujua wanakosea ila matumbo yao huzitawala akili zao.
Nibora yule aliyetambua kuwa anayosababu yakufanya toba Kwa mola wake.Kuliko wanaojidai vichwa nunda ilhali wanayajua maovu yao.
 
Spika mstaafu mzee Pius Msekwa amesema kuna watu wana tabia ya kupenda kuumiza na kudhulumu watu wengine, hata mahakamani haki ya mtu inaweza kudhulumiwa kwani kuna watu wameumbwa na dhulma, na hii si sawa.

Mzee Msekwa anasema kimsingi katika bunge la vyama vingi panapaswa kuwepo KUB na Baraza kivuli la Mawaziri, ndipo bunge hilo linakuwa limekamilika.

Chanzo: ITV

Kipindi rasmi kitarushwa Jumatatu Dakika 45
Mnafiki huyu mzee, wao ndio walimwingiza mwendazake madarakani!
 
Spika mstaafu mzee Pius Msekwa amesema kuna watu wana tabia ya kupenda kuumiza na kudhulumu watu wengine, hata mahakamani haki ya mtu inaweza kudhulumiwa kwani kuna watu wameumbwa na dhulma, na hii si sawa.

Mzee Msekwa anasema kimsingi katika bunge la vyama vingi panapaswa kuwepo KUB na Baraza kivuli la Mawaziri, ndipo bunge hilo linakuwa limekamilika.

Chanzo: ITV

Kipindi rasmi kitarushwa Jumatatu Dakika 45

Ujumbe umetumwa kwa awamu ya 5 na hii ya awamu-mrithi ya 6 pamoja na mizizi yake iliyojikita siyo tu katika vyombo vinavyosimamia mfumo wa haki jinai ( (Criminal Justice System) mpaka ndani ya mihimili mingine ya dola yaani bunge na mahakama.

Inapaswa viongozi waliopo madarakani sasa wajipime na kujiulizwa, kulikoni wazee kama kina Joseph Butiku, Gertrude Mogella, Joseph S. Warioba na sasa Mzee mzima spika mstaafu aliyepata pia kuwa kiongozi mtendaji wa CCM Pius Msekwa ameamua naye kujumuika kutuma ujumbe kwa wahusika.
1635270170448.png
 
Huyu mzee ni wa kutukana, lkn namstahi kidogo. He has always been quiet all this time when human rights violations by his party is at its peak. Leo anasema nini, nani amsikilize? amewahi kukemea? wale wale wa matumbo yao na familia zao! Magufuli amevunja haki Za binadamu to the highest level, he muted for 5 solid yrs, leo anabwabwaja!
Mh.Pius Msekwa alikuwa ni spika wa muhimili wa BUNGE...unataka angeusema muhimili mwingine wa dola akiwa kitini?!!!

Mahakama ni muhimili mwingine mkubwa kabisa....

Siempre JMT
 
Spika mstaafu mzee Pius Msekwa amesema kuna watu wana tabia ya kupenda kuumiza na kudhulumu watu wengine, hata mahakamani haki ya mtu inaweza kudhulumiwa kwani kuna watu wameumbwa na dhulma, na hii si sawa.

Mzee Msekwa anasema kimsingi katika bunge la vyama vingi panapaswa kuwepo KUB na Baraza kivuli la Mawaziri, ndipo bunge hilo linakuwa limekamilika.

Chanzo: ITV

Kipindi rasmi kitarushwa Jumatatu Dakika 45
Huyu babu huwa namkubali sana
 
13 October 2021
Chato, Geita
Tanzania

KITABU CHA NYERERE CHAFICHWA / MONGELA AFUNGUKA SABABU ZA KUFICHWA KITABU HICHO

Gertrude Mongella akemea siasa za ubaguzi zinazoendekezwa na jamii iwe kisiasa, kijamii, kijinsia, rika n.k

Ametoa hotuba moja ikigusia mfano kuwa mwanamke (2021) ni anasifa zote

  1. Ni binadamu
  2. Raia wa nchi fulani
  3. Haki
  4. Ana akili
  5. Ana vipaji
  6. Mwanamke siyo malaika wala shetani
Na sifa hizo msingi nne binadamu wote wanazo awe mwanamke, mwanamumu, mwanachama wa asasi yoyote n.k

Hivyo ubaguzi wa namna yoyote hautakiwi kwa kufuatana na sifa sita (6) za Binadamu hapo juu.

Mama Gertrude Mongella anakwenda zaidi na kusema mwanamke pia ana sifa ya ziada kwani binadamu tumeumbwa kwa dongo, lakini Mungu alipomuumba mtu-mume kwanza kwa kutumia udongo akamtazama kiumbe huyu akaona kuna kasoro/ mapungufu hivyo badala ya kuchukua udongo kufinganya kiumbe kingine akaona ni vizuri zaidi kuchomoa ubavu kutoka kwa mtu-mume na kutengeneza mtu-mke yaani katika hatua ya juu zaidi isiyo dongo lililofinyangwa hivyo kusahihisha yale aliyoyafikiria akifinyanga dongo.

Hivyo kuna kusudio kubwa la Mungu kumtengeneza mtu-mke katika hatua ya juu zaidi ili mtu-mke aweze kufanya majukumu mengi zaidi.

Hivyo mtu-mke asitiwe unyonge na jamii kuwa kuna masuala hawezi kuyatekeleza kwa manufaa ya jamii pana zaidi. Gertrude Mongella asema kuna njama za jamii na wala siyo za wanaume, ambazo zinatala kuzuia wanawake wasitambulike kama binadamu sawa au raia wenye haki sawa n.k

Mwaka 1944 Julius Nyerere akiwa mwanafunzi chuo kikuu cha Makerere Uganda, aliandika kitabu kuhusu wanawake ambacho kinafichwa fichwa ...

Mifumo hii ya kutenga baadhi ya wanaume kushiriki , wanawake kuwepo ktk nafasi za maamuzi , demokrasia kupewa wanachama wa chama fulani n.k mifumo hiyo ya kuwazuia baadhi ya raia katika jamii inatakiwa kubadilishwa...

Chanzo: Mwanahalisi TV
 
Spika mstaafu mzee Pius Msekwa amesema kuna watu wana tabia ya kupenda kuumiza na kudhulumu watu wengine, hata mahakamani haki ya mtu inaweza kudhulumiwa kwani kuna watu wameumbwa na dhulma, na hii si sawa.

Mzee Msekwa anasema kimsingi katika bunge la vyama vingi panapaswa kuwepo KUB na Baraza kivuli la Mawaziri, ndipo bunge hilo linakuwa limekamilika.

Chanzo: ITV

Kipindi rasmi kitarushwa Jumatatu Dakika 45

Agnotology
The Making and Unmaking of Ignorance
EDITED BY ROBERT N. PROCTOR AND LONDA SCHIEBINGER

What don't we know, and why don't we know it? What keeps ignorance alive, or allows it to be used as a political instrument?

Agnotology—the study of ignorance—provides a new theoretical perspective to broaden traditional questions about "how we know" to ask: Why don't we know what we don't know?

The essays assembled in Agnotology show that ignorance is often more than just an absence of knowledge; it can also be the outcome of cultural and political struggles.

Ignorance has a history and a political geography, but there are also things people don't want you to know ("Doubt is our product" is the tobacco industry slogan). Individual chapters treat examples from the realms of global climate change, military secrecy, female orgasm, environmental denialism, Native American paleontology, theoretical archaeology, racial ignorance, and more.

The goal of this volume is to better understand how and why various forms of knowing do not come to be, or have disappeared, or have become invisible.

Source : Agnotology: The Making and Unmaking of Ignorance | Edited by Robert N. Proctor and Londa Schiebinger
Agnotology Chapters are grouped into the following categories: legalizing ignorance through laws and regulations targeting particular content; mythologizing ignorance by producing false or alternate cultural narratives about a specific population or event in history; and nationalizing/globalizing ignorance by using educative processes (a combination of regulatory and cultural factors) to achieve political, economic, and ideological ends. Source : The Harvard Educational Review - HEPG
 
Spika mstaafu mzee Pius Msekwa amesema kuna watu wana tabia ya kupenda kuumiza na kudhulumu watu wengine, hata mahakamani haki ya mtu inaweza kudhulumiwa kwani kuna watu wameumbwa na dhulma, na hii si sawa.

Mzee Msekwa anasema kimsingi katika bunge la vyama vingi panapaswa kuwepo KUB na Baraza kivuli la Mawaziri, ndipo bunge hilo linakuwa limekamilika.

Chanzo: ITV

Kipindi rasmi kitarushwa Jumatatu Dakika 45
Kudhulumiwa mahakamani , mara KUB huyu mzee alikuwa anataka kuzungumzia nini ?
 
Back
Top Bottom