Pius Msekwa: Haki ya mtu inaweza kudhulumiwa hata Mahakamani, kuna watu wameumbwa na dhulma

Watamtukana hao! Pole sana Mzee Msekwa former UDSM VC, Msanifu Mkuu 1977 Constitution, former Speaker of the National Assembly. Halafu kuna mazuzu yatabishana na jabali la sheria na siasa kama hili! Ila ndio hivyo CCM wana ndimi elfu kidogo.
Jabari la sheria wapi? Hawa ndio wanafiki kupitiliza. Walikuwepo madarakani. Hakuna hata kupigania kutuletea katiba mpya,mbwa hawa wakafie mbele huko.
Wengi tunatamani Tanzania mpya. Sio hii iliyooza hii ya kuogopa kila mtu
 
Mihimili mitatu yaani serikali, bunge na mahakama viwe na uhuru wa kufanya kazi kikatiba bila kuingiliwa na muhimili mwingine wao ndio wa kwanza kukataa leo wanalia nini wamezoea maelekezo waendelee tu
 
Achana na huyo kifaduro mlamba viatu
Kama huyu?
1277909902.jpg
 
Mihimili mitatu yaani serikali, bunge na mahakama viwe na uhuru wa kufanya kazi kikatiba bila kuingiliwa na muhimili mwingine wao ndio wa kwanza kukataa leo wanalia nini wamezoea maelekezo waendelee tu
Ccm ni adui nambari 1 hapa Tanzania
 
Hujaona JPM alikua anadekeza sana hawa wazee wake, unadhani kifo cha jpm wao hawajapagawa na kuchanganyikiwa? Zile ndoo za sato fresh za kuja na ndege hakuna tena wapo wapo tu
Wanaishia kupiga mihayo tu
 
Nazani anaongelea jinsi alivyodhurumiwa sabaya.
Ni kweli hata mahakamani unaweza kudhurumiwa
 
Huyu mzee alienda kusomea uendeshaji mabunge, sijui tulienae sasa kama ana chochote au uzoefu, tena kutoka makind, hamna kitu!
 
Back
Top Bottom