Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,550
- 6,513
- Thread starter
- #61
Mimi nataka tu hayo matako akili tutatumia zanguWana matako makubwa lakini akili ndogo
Mimi nataka tu hayo matako akili tutatumia zanguWana matako makubwa lakini akili ndogo
Mkuu vp shughuli yao wanayaweza mamboNimekaa south miaka kama mitano kwa dingi mdgo nimeacha copy za kitz kama mbili pale kwa zulu natal
Ukimw saiv ni malaria tuRate ya UKIMWI huko unakokusifia ni 2/30
dah wameungua kinoma asee.
Lloyd Munroe yupo huko mda,Daaah😄😄😄
Hahaha umezivunja mbavu zangu kwa kicheko. Ni kweli South kuna miji hakuna barabara ya vumbi hata moja kila sehemu ni barabara za rami kwanini wasishangae bongo?😄Hakuna KITU kaka usikute na WAO wanna wakubali wabongo SHIDA matunzo Hawa wetu njaa SANA maisha magumu. South wanaishi kishua just imagine pisi ya south ilikuja HUKU ETI ikashanga WATU kufua nguo kwa mkono vumbi la barabarani ETI ikauliza HIVI HUKU Kuna jangwa karibu. Vumbi sana .tetetetehhhh
wanakuny* hao balaa akiingia toilet wanatumia masaa matano.Matako makubwa akili kidogo
Vaa miwani😎Bongo pisi nyingi zimejaa mtandaoni, mtaani huzioni
Tupo na ya kitaifa tukimaliza tutarejea humu.
Ya kitaifa muachie polepoleTupo na ya kitaifa tukimaliza tutarejea humu.
Iwapo weye Mrundi tuachie yetu yakheeYa kitaifa muachie polepole
Wao hawana kitu chochote hatari kwao kila kitu ni sawa tu kwa matumizi ya binadamu Nchi zetu masikini unaleta kitu hao TRA wenyewe wanakushangaa kwa kikokotea chao jinsi walivyoweka kodi kubwa.Hawa jamaa sio wenzentu, south ni ulaya, baadhi ya nchi za ulaya hawaiifikii south,,,mkabulu aliijenga sana south na siku wakija kutawala tena kupitia chama chao cha DA south itakua habari ingine