Pisi za South

Pisi za South

Hakuna KITU kaka usikute na WAO wanna wakubali wabongo SHIDA matunzo Hawa wetu njaa SANA maisha magumu. South wanaishi kishua just imagine pisi ya south ilikuja HUKU ETI ikashanga WATU kufua nguo kwa mkono vumbi la barabarani ETI ikauliza HIVI HUKU Kuna jangwa karibu. Vumbi sana .tetetetehhhh
Daah hili ni tusi kwetu wabongo😂😂😂😂😂
 
Wakuu hv kuna nchi hapa Aftica ina rundo la pisi kali na zilizoumbika kama South Africa.
Aisee south kuna pisi za maana sana.
Nimeona nifunge safari kabisa huu mwezi wanane nizifate huko
Sijui nisemaje, ila siamim kwenye kuumbika. Pisi za south ni ile zakinyamwezi sana mzee. Maisha mazuri nk
 
Back
Top Bottom