Ndom zipo kakaSouth kuna pisi haswa na zina nyama kweli kweli, shida moja nyingi zina umem
Hakuna wa kufananisha na South Africa ikija Kwa Wanawake, Kuna Kila type za Wanawake Toka pande zote za Dunia, Unakuta Dada mkaliii type ya kina Wema Sepetu ama Irene uwoya walivyokua Mabinti, sio Hawa Waliozeeka, hafu ana date Machinga muuza viatu Street.Wakuu hv kuna nchi hapa Aftica ina rundo la pisi kali na zilizoumbika kama South Africa.
Aisee south kuna pisi za maana sana.
Nimeona nifunge safari kabisa huu mwezi wanane nizifate huko
ngwengwe ya huko ni kali Njombe ziwe 100
clips za hao madada nyingi za kubambiana ndiyo nakwea nazo mnazi
Inategemea namacho Yako, inawezekana hayaon mbaliMbona hata mtandaon hazina maajabu
South mashine ya kufulia ipo ya laki moja na nusu used au rejected kutoka kiwandani mpaka mashine ya kuosha vyombo ni laki nne mpya bongo mashine ya kuosha vyombo utaikuta kwenye hotel kubwa na sio mtaani..Hakuna KITU kaka usikute na WAO wanna wakubali wabongo SHIDA matunzo Hawa wetu njaa SANA maisha magumu. South wanaishi kishua just imagine pisi ya south ilikuja HUKU ETI ikashanga WATU kufua nguo kwa mkono vumbi la barabarani ETI ikauliza HIVI HUKU Kuna jangwa karibu. Vumbi sana .tetetetehhhh
Hawa jamaa sio wenzentu, south ni ulaya, baadhi ya nchi za ulaya hawaiifikii south,,,mkabulu aliijenga sana south na siku wakija kutawala tena kupitia chama chao cha DA south itakua habari ingineSouth mashine ya kufulia ipo ya laki moja na nusu used au rejected kutoka kiwandani mpaka mashine ya kuosha vyombo ni laki nne mpya bongo mashine ya kuosha vyombo utaikuta kwenye hotel kubwa na sio mtaani..
huko nenda na ndoo nzima ya PrEP unanishukuru
😂😂😂😂huko nenda na ndoo nzima ya PrEP unanishukuru
Daaah😄😄😄mwendo wa kumwaga na kuunga