Pisi ( Wanawake) kali za JF

Pisi ( Wanawake) kali za JF

Machingafx

Member
Joined
Sep 25, 2026
Posts
87
Reaction score
99
Eti kuna jamaa mmoja anasema kua pisi (wanawake) kali za umu JF ni mbaya...

Asa sijajua ni kweli anachosema ama vipi... asa nataka pisi kali mjitetee apo.. maana mwana. Naona anawaponda kinoma ike mbaya😄😄😄😄

Maoni hapa chini tafadhali👇👇👇 tunajadili.🙏🙏🙏
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom