Nimeshaandika.
Ziko hapa nyingi tu zinauzwa.
http://everythingelse.shop.ebay.com...dcuffs&_catref=1&_fln=1&_trksid=p3286.c0.m283
Ebay wanatoa na risiti na ushahidi kuwa uliagiza EBAY upo.
Hivi KOVA nguo na viatu vya kiraia alivyonavyo ana Risiti? Mie sina risiti ya vitu vingi tu. Hivi PINGU ni silaha?
Raia ya kawaida siku hizi ruksa kumiliki pingu ukimata kibaka unampiga pingu mpaka sentro
mbongo tz umenena na utenzi wako umetulia,na yale uloyasema hakika yatatokea,ada ya mja hunena muungwana ni vitendoPingu ile ya mapenzi
wala si ya ujambazi
polisi Muro hamumwezi
yupo juu kama mkwezi
Polisi lazima mtaumbuka
kwa kushindwa mashtaka
miguu juu mtaanguka
kama mende anavyokauka
Jerry wewe ni shupavu
na wala si mpumbavu
Polisi hawana ubavu
watakuzidishia mashavu
Na wakimaliza kesi yao
Kawafungulie na wao
Uwadai mamilioni yao
Na kudhalilisha jeshi lao
Kamanda punguza sifa
kwa kushabikia yasiyofaa
utakuja kuumbuka
Siku Muro atakapotoka
Pingu ile ya mapenzi
Mwanakijiji ayaenzi
polisi fanya chunguzi
utakuja kumaizi
To be continued....
Kawaida Polisi wakikukamata na kosa hili na kuikuta kosa lingine basi ujue utawajibika kwa yote.mbona mtu akipekuliwa mfano labda nyumbani kwake wakiisi kitu wakikuta bangi na wakikuta Gongo pia wakikuta Bastola hayo yote ni makosa tofauti walikuja kusaka bangi wakakuta na makosa mengine yoote unashtakiwa nayo. hiyo ndio Sheria ya Nchi ilivyokaa nyie si mnapiga kura tuu sheria hamuijui sasa ndo hiyo na yeye kosa lililompeleka ni Rushwa na amekutwa na kosa la kukutwa na pingu sasa yote atapelekwa mahakamani. kwani si sheria kuwa na pingu bila kibali. Nawashauri msinunue pingu bila kuwa na kibali. mimi nimetoka keko kulivyoo du usiombe upelekwe asante.
ndo maana nimemwambia cousin wangu akuulize coz i knw u knw that i know u knw!!!!!!!!!
B agiza online sasa of your choice tena nyingine zina manyoya ya sufi......
mkuu suala zima la kudai risiti kwa wabongo ni tatizo!!! mtu hata ukimpa risiti anakwambia aah mi sihitaji kaa nayo mwenyewe
(ila si kwa issue kama ya kununua silaha i hope)
Fide wats wrong with your key board lakini??????????? unanipa kazi bana mi nimechoka!!!!!!
Wahi mapema maana Valentine day is around the corner.
Nyumba ndogo za MAPOLISI zinunuliwe hizi zawadi.
haya mkuu namfikishia ujumbe Kaizer a-execute
Key board yangu ni antique
mbona mwingine yuko nje ya mabano? isije ikawa mambo ya MAGAZIJUTO!
Kakutwa mtu na pingu
Sasa yazua majungu
Imeleta kiwingu
Polisi waja na rungu
Kumbe pingu ya mapenzi!!-Polisi wamechemsha!
Akisharudi nyumbani
Muro na wake mwandani
Wakijifunga chumbani
Uwanja wa kitandani
Kumbe pingu ya mapenzi! - Polisi wamechemsha!
Afungwa mtu mkononi
Upande mwingine kichagani
Sisemi chafuata nini
Ni mambo ya mtimani
Kumbe pingu ya mapenzi- Polisi Wamechemsha
Swali: Ni kosa kukutwa na pingu ya mapenzi kwenye gari?
Naikubali Mkuu
Akisharudi nyumbani
Muro na wake mwandani
Wakijifunga chumbani
Uwanja wa kitandani
Kumbe pingu ya mapenzi! - Polisi wamechemsha!
Pingu kwangu inanisaidia sana nikilala na kimada nisicho kiamini amini kinaweza niibia usiku tunakubaliana tu nakipiga pingu tu kitandani kikitaka kwenda kujisaidia kinaniambia tu nataka kwenda haja. Hii ni kulinda masrahi.