maulaga
JF-Expert Member
- Feb 22, 2009
- 472
- 121
Hivi Pinda na yeye si mjumbe wa hivyo vikao vya chama? Mbona hakuleta malalamiko na mashauri yake kwenye vikao vya chama? au yeye ni exception kwenye hiyo kanuni anayotaka wenzie wafuate?
Mzee Mwanakijiji, tatizo kubwa la viongozi wa CCM hawataki kukubali kwamba wakati wakuficha maovu kwa kutumia kitu wanchoita vikao halali vya chama chao umepita. Pinda ameshindwa hata kuwakemea UVCCM kwa kejeli na matusi wanayowatukana hawa wastaafu kwa sababu hayakumgusa yeye. Hilo yeye halioni bali anaiona fursa ya viongozi hawa wastaafu kumuona mwenyekiti wao. Tusubiri tuone mwisho wake!