mashikolomageni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 1,570
- 193
Yaani inamaanisha AHMADA na Bwn CHUCHU?
lol tumekisha!
lol tumekisha!
madhara ya ganja ni makubwa sanasiri nzito imefichuka kuhusu kauli ambayo vijana wa UVccm pwani walitoa kwamba jina la mgombea urais kwa tiketi ya CCm 2015 liko mezani mwa rais, habri za kiitelenjensia zinasema mgombea huyo ni ndugu Karume kutoka zanzibar na mgomea mwenza kutoka bara ni ndugu Yusuf Makamba,
tusubirini tuone
Itakuwa comesy hii!
Hapo ndio ukweli utakuja kwamba 'nchi haitatawalika'!
siri nzito imefichuka kuhusu kauli ambayo vijana wa UVccm pwani walitoa kwamba jina la mgombea urais kwa tiketi ya CCm 2015 liko mezani mwa rais, habri za kiitelenjensia zinasema mgombea huyo ni ndugu Karume kutoka zanzibar na mgomea mwenza kutoka bara ni ndugu Yusuf Makamba,

Hivi Pinda na yeye si mjumbe wa hivyo vikao vya chama? Mbona hakuleta malalamiko na mashauri yake kwenye vikao vya chama? au yeye ni exception kwenye hiyo kanuni anayotaka wenzie wafuate?