Pinda afuta amri ya Waziri Magufuli

Pinda afuta amri ya Waziri Magufuli

Pindaaaaaaa... wallahi nchi hii ina guiness world records nyingi mno!!! khaaaaa sasa kwa nini asingemuita magufuli akamwambia alimalize yeye mwenyewe?

''Tukiwakamata mafisadi nchi itayumba"-Mizengo Peter Kayanza Pinda
 
Pindaaaaaaa... wallahi nchi hii ina guiness world records nyingi mno!!! khaaaaa sasa kwa nini asingemuita magufuli akamwambia alimalize yeye mwenyewe?

''Tukiwakamata mafisadi nchi itayumba"-Mizengo Peter Kayanza Pinda

Maamuzi ya magufu daima nimaamuzi yenye kuleta madhara kwa taifa.
 
Magufuli hajafanya utafiti wa kina kuhusiana na RAIS na PM wanavyoweka mbele maslahi ya chama kuliko nchi. Amesahau kuwa wamiliki wa makampuni ya usafirishaji ni wachangiaji wakuu wa CCM!!! Haikuhitaji degree kujua JK na Pinda watamtosa Magufuli
 
Pindaaaaaaa... wallahi nchi hii ina guiness world records nyingi mno!!! khaaaaa sasa kwa nini asingemuita magufuli akamwambia alimalize yeye mwenyewe?

''Tukiwakamata mafisadi nchi itayumba"-Mizengo Peter Kayanza Pinda
Pinda laitaka pate sifa kuwa kasitisha maamuzi ya Magufuri. Itakumbukwa majuzi Hanspoppe katamka kuwa walijitahidi mara nyingi kutaka kukutana na PM huko Dodoma ilishindikana, leo anampiga dongo Magufuri kuwa maamuzi yalipaswa yafikiwe kwa pamoja kwa kuhusisha mawazo ya wadau wote!!
 
MAGUFULI a.k.a makufuri AMETHIBITISHIA umma kuwa ni JITU la KUKURUPUKA utadhani linaongoza WATOTO wake wa NYUMBANI kwao. #AIBU IWE JUU YAKE NA MiCCM wenzake.
 
Magufuli hajafanya utafiti wa kina kuhusiana na RAIS na PM wanavyoweka mbele maslahi ya chama kuliko nchi. Amesahau kuwa wamiliki wa makampuni ya usafirishaji ni wachangiaji wakuu wa CCM!!! Haikuhitaji degree kujua JK na Pinda watamtosa Magufuli

KAUMBULIWA vibaya sana.... Ni heri LIJIUZURU.
 
Uamuzi wa waziri Magufuli ulikuwa ni wa kujitafutia sifa za kijinga kwa gharama za kuhujumu uchumi wa nchi.

Kwa taarifa yenu weigh bridges za Tanroads zina variations za ajabu. Unakuta transporter anapima mzigo mzani wa Kibaha anapata readings X, akipima mzigo huo huo Chalinze bila kuongeza hata kilo moja anapata readings Y, akipima mzani wa Msata anapata readings Z!

Hili ninalisema kwa uhakika kwakuwa nimepata ku deal nao hao watu wa weigh briges (Tanroads). Kwahiyo transporters kutolipia hiyo variation ya 5% ilikuwa ni sawa kabisa.
.MAGUFULI Ajiuzulu kwa kututengenezea barabara zisizo kuwa na viwango.Magari hayo hayo huku TZ yanalaumiwa kuharibu barabara mbona hayazuiliwi huko yaendako,mengi yanaenda ZAMBIA,CONGO,ZIMBABWE,BURUNDI,UGANDA RWANDA.Inamaa yakifika huko na uzito unapungua? Wenzetu bara bara zao zina ubora wa kimataifa.sio zetu kanjanja tu
 
Tatizo la Magufuli kwamba alishindwa kufanya uchunguzi wa kutosha ili kuelewa anashindana na watu wenye nguvu namna gani kwenye nchi hii ya kitu kidogo na uswahili Swahili mwingi kwenye mambo ya msingi. basi mwisho wake ikabidi apigwe nyundo ya shingo!!! kwa taarifa yenu hakuna sekta yenye watu wakubwa na wazito serikalini na familia mashuhuri (hapa sitaki kuwa specific) kama sekta ya usafirishaji na nishati particularly mafuta na gesi. hapa hata kama ungekuwa wewe ni waziri mkuu bado ukishindana lazima utaumbuka tuu tena kwa aibu kama zilivyomkuta Magufuli. labda ambaye angethubutu japo kukoroma kidogo akasikilizwa ni Lowassa of which kwa misimamo yake na ujanja wake ndio kilichomfanya hadi akatoswa na swahiba wake mkuu. Magufuli wewe ni mwanaume una familia yako tena inakuheshimu sana kama baba na una mamlaka ya kutosha tuu kwenye familia yako na hii nimekuwa nahesabu ni mara ya 3 waziri mkuu na Rais wanakuumbua tena hadharani kwenye jumuia na watu wote wanaona na wewe unasimamia sheria zilizopo ila nakushangaa sana unaendelea kung`ang`ania madaraka tuu na kutoa sifa za kijinga zisizo na maana yeyote!!!!!! just step down brother to hold on your dignity!!!!!!!!! its a big shame u know!!!!!!!!!!
 
Uamuzi wa waziri Magufuli ulikuwa ni wa kujitafutia sifa za kijinga kwa gharama za kuhujumu uchumi wa nchi.

Kwa taarifa yenu weigh bridges za Tanroads zina variations za ajabu. Unakuta transporter anapima mzigo mzani wa Kibaha anapata readings X, akipima mzigo huo huo Chalinze bila kuongeza hata kilo moja anapata readings Y, akipima mzani wa Msata anapata readings Z!

Hili ninalisema kwa uhakika kwakuwa nimepata ku deal nao hao watu wa weigh briges (Tanroads). Kwahiyo transporters kutolipia hiyo variation ya 5% ilikuwa ni sawa kabisa.

Labda kwa kuwa umedeal na hao watu kama unavyodai basi tupe difference ya X na Y na Z, ili tujue error ni kiasi gani , then tujue kama 5% ni kubwa au ndogo. 5% of 50 tones ni 2.5tones, huu ni mzigo mkubwa tu.

Hivi tujiulize ni kweli barabara zimeharibika kwa haya malori kujaza sana?? Kuna kipande kimoja kabla ya kufika Chalinze tokea Dar, kitakupa jibu, full makunyanzi....

Mfumo mzima wa usafirishaji mizigo toka bandarini unatakiwa uangaliwe upya; hauko regulated vizuri ndo maana hata tractor zinatumika kusafirisha mizigo. Malori mengi mabovu; yanapaki hovyo barabarani, ajali nyingi zimesababishwa na haya madude.....
 
magufuli a.k.a makufuri amethibitishia umma kuwa ni jitu la kukurupuka utadhani linaongoza watoto wake wa nyumbani kwao. #aibu iwe juu yake na miccm wenzake.

hivi vijana wa lumumba (buku 7 fc) ni mtu mmoja au?huwezi amini hadi sasa sijamuona hata mmoja humu!ingekua inahusu cdm ungeshangaa wanavyopishana!
 
TANZANIA YETU NA MAAMUZI YANAYOCHELEWA

Tumeshuhudia hivi karibuni maamuzi muhimu yanayohitaji umakini wa hali ya juu na wa haraka, kufanywa kama mzaha na kulisababishia taifa gharama kubwa. Nitatoa mifano miwili ambayo wengi wetu tunaifahamu vizuri
1. Maamuzi ya kuwalazimisha wasafirishaji kulipia tozo ya uzito unapozidi kwa asilimia tano. Suala hili lilisababisha mgomo ambao sio tu umeathiri usafirishaji wa bidhaa ndani ya nchi, ila umewagharimu sana tu na majiranio zetu. Tujikumbushe tu hivi karibuni Waziri wa Usafirishaji alizunguka karibia nchi zote zinazotumia bandari yetu kuwatia moyo wafanyabiashara wao kuwa tutawahudumia vizuri. Sasa hivi leo maamuzi haya yatasababisha mizigo kuchelewa si chini ya wiki mbili; wateja hawa tukiwapoteza nani wa kulaumiwa?
2. Suala la serikali kukataa kutoa fedha kuikomboa Precision Air. Nimesoma taarifa ya Waziri akisema wamekataa kwasababu PrecisionAir ina mbia mwenye uwezo KQ. Ikumbukwe hata KQ wenyewe wana matatizo yao huko nyumbani watatoa wapi fedha za kuikomboa Precision Air?. Tukiachilia mbali hayo kama PrecisioAir itakufa leo nani ataumia zaidi? KQ au Tanzania kama nchi?. Nchi hii inategemea Precision Air sana kwenye usafiri wa ndani, ni kwanini tunafanya maamuzi ya muono wa karibu(short sightedness) badala ya kuangalia mambo kwa mapana yake.
3. Kwa maoni yangu, maamuzi yetu mengi tunayoyafanya haswa kwa watendaji wa serikali yamekuwa ni kikwazo katika kuikwamua nchi hii kutoka kwenye dhiki na umaskini mkubwa. Hata tukiwa na maliasili nyingi kiasi gani maamuzi kama haya wakati wote yanaturudisha nyuma, tena nyuma hatua kumi na mbili.
4. Tunachoomba kama raia wema watanzania maamuzi mabovu kama haya yanapofanywa ni lazima yapingwe na wakuu wan chi kwa nguvu zote. Nampongeza Waziri mkuu kwa kusuluhisha hili la malori lakini bado nasikitika imechukua siku takribani nne kwake yeye kuingilia kati. Siku nne kwenye uchumi inaweza kuwa ni hasara ya zaidi ya mabilioni ya shilingi…kwa nini tusubiri kiasi hicho?
5. Tunaomba Mheshimiwa Rais mwenyewe aliangalie hili suala la Precision Air kwakuwa nina imani gharama ya kufa kwa kampuni hii itakuwa kubwa sana kwa uchumi wan chi hii
 
Hii ni mara ya pili sasa Magufuli anabwagwa na Serikali yake!
Mkuu lakini hii inaleta picha gani? Kwani gharama za kujenga barabara za lami kilometer moja ni kiasi gani? Hivi ni sahihi kuleta mambo ya siasa kwenye vitu vya kiufundi - binafsi nashindwa kuelewa kabisa, kuna mantiki gani Wasafirishaji wa barabara ambao baadhi yao ni waharibifu wakubwa wa barabara, na ndio wako very vocal wanapewa leeway ya kujadiriana na Magufuli ambaye anatetea kwa nguvu zake zote barabara zetu zisiaharibiwe ovyo na watu wenye jeuri ya pesa. Serikali yetu ina wajibu wa kumlinda, mradi hakihuki sheria/anasimamia sheria na sio kumfanya ajisikie mnyonge, ili suala la kumshinikiza afanye mazungumzo na wakihukaji sheria binafsi sihafikiani nalo - tusijaribu ku-undermine mawaziri wetu wachache wanao simamia sheria na kufanya kazi kwa ufanisi, kwa bahati mbaya hii si mara ya kwanza kwa ofisi ya Waziri mkuu kujaribu ku-clip wings za Mzalendo Magufuli - tunakwenda wapi ndugu zangu.Kwa nini hatutaki kujilinganisha na majirani zetu mfano: Kenya hivi wanaruhusu uzito kiasi gani kwenye barabara zao? Na kwa nini watu wachache hawa wanag'ang'aniza kuendelea kusamehewa malipo ya excess za tani tano mpaka wanafikia hatua ya ku-hold nchi nzima to ransom, kuna nini pale? Ni excess ya tani tano tu au kuna mengine ya ziada, isije ikiwa walikuwa wana-abuse msamaha huo kufanya madhala zaidi kwenye barabara zetu - na kwa nini wakasirike baada ya wapima mizani walio wazoea kutimuliwa kazi/kuhamishwa na Magufuli, yaani baadhi ya mambo mabaya wanayo mzuria Magufuli tusingekuwa tunaona matunda ya kazi zake tungemtilia shaka sana, Watanzania tu mabingwa sana wa kuwaharibia sifa watu ambao tunawaona ni tishio kwetu hiwe ni kisiasa au kibiashara - Dk.Magufuli na Dk.Mwakyembe wamekuwa victim wa Vices hizi kwa muda sana. Nimalizie kwa kusema Mzalendo Magufuli anapashwa kulindwa sio kumdhalilisha - hayo ni maoni yangu nimeyasema kwa nia njema tu.
 
Waziri mkuu mh Mizengo Peter ameamuru wizara ya ujenzi kuruhusu magari ya mizigo kuendelea na mpango wa zamani ili kunusuru uchumi wa nchi baada ya Wamiliki wa malori kugoma kwa kile kinachodaiwa ni kupinga amri ya Waziri wa ujenzi John Pombe Magufuli ya kutaka wawe wanalipa tozo la 5% ya mzigo unaozidi.

Akiongea na waandishi wa habari mh Pinda ameagiza wizara ya ujenzi kuruhusu magari ya mizigo kuendelea na utaratibu wa zamani kabla ya Mgomo na baada ya mwezi mmoja wataunda tume itakayo washirikisha Wadau wote ili kupata suluhu ya kudumu bila kuleta madhara.

Source;ITV HABARI

Pinda acha kupoteza pesa zetu bwana,, tume for what??? Umeshawakubalia wabebe lumbesa zao, poa! .Kama ni kubadili sheria kafanyieni bungeni mkapigane makonzi na kuvuta mic.
 
Kama ilivyotarajiwa, Serikali imesalimu amri! Sheria imepindwa, na sasa wenye malori ruksa kuendelea kuharibu barabara.

Juzi niliyasema hapa Jukwaani kuwa nitashangaa kama Pinda ataunga mkono msimamo wa Magufuli.

Huu ndiyo wakati mzuri kwa mtu kama Magufuli kujiuzulu maana kila anapojaribu kuafuata sheria, anapigwa nyundo ya utosi.

Magufuri ni kama mtu mwenye kichaa cha msimu,mambo yake ni kukurupuka tu hata uamuzi wa kujiuzia nyumba za serikali alitumia nguvu na kiburi tu.He's just one of those guys.
 
Back
Top Bottom